East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

kwa mshahara gan???
hakuna Mkenya mwenye akili timamu anayewaza kuja kufanya kazi kwenye nchi masikini. so hilo sahau my fren.
Hehee, wewe hujui tu, hujui ni familia ngapi za wakenya zinatunzwa na hela za wakenya wanaofanya kazi kwenye nchi unayoiita maskini, hii nchi sio maskini, you just dont understand maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona nairobians wameuzarau tu huu uzi hawapost hata picha, na kwa kweli ni upuuzi kulinganisha Nairobi na dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
if the two r cities kuna ubaya gani kufananisha? wewe mbona ume-post?
Hata passo ni gari lakin huwezi kuta wamelinganisha na Nissan patrol V8, bali hulinganishwa Nissan patrol V8 dhidi ya Toyota land cruiser V8, huwezi kulinganishalinganisha tu kisa yote magari! Wewe umelinganisha tu kisa yote majiji na huo ndo ubaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pita kushoto basi maana kuna nyuzi nyingi humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…