East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

EJ9TdQ3WkAEiXQW.jpg


 
Hii ikulu imefunguliwa uzi huko jukwaa la hoja na mabo mbalimbali watu wanaiponda kwamba ni like commercial building
Kwa maelezo ya JPM, Ikulu yenyewe itaanza kujengwa, kwa hiyo hii ni moja ya ofisi ya Ikulu! Mi naliona very modern na liko vizuri kama ofisi ya kisasa!
 
Back
Top Bottom