East Africa commercial and logistics center - Ubungo

Kwani Kenya mna kitu kama hiki? View attachment 1249824
Mahali kukua commercial and logistics center si majengo ila ni biashara/uchukuzi unaofanyika hilo eneo..... kama Dar-kariakoo ndo kunafanyika bishara na uchukuzi kuliko eneo lengine basi hapo ndo logistics and commercial center ya Dar, haijalishi kama pana majengo mazuri au la....Kwahivyo ikifika wakati ambapo kutakua kuna warehouse kibao hilo eneo na mizigo mingi pamoja na abiria wanasafirishwa kutoka hapo kuliko eneo lengine lolote EAC, basi hapo ndo mtakua mmetimiza na kuwakilisha hilo jina la EA commercial and logistics center.

Sisi huku Kenya tumelauch plan kubwa zaidi ya hii mlioleta hapa, yani itakuani eneo kubwa hadi itakua ni mini city ndani ya Nairobi CBD.... kutakua na hadi hoteli, malls mbali na stendi za BRT, RELI, Mabasi..etc sasa hii ndo itakua commercial center si hako kenu

Kenya Railways wana kiwanja kikubwa sana (Karibia hekari 200ha )hapo CBD ambacho hua hakitumiki, kama ushawahi kuangalia nyimbo ya sauti sol -short and sweet, hua video ilifanyiwa hilo eneo. hicho kiwanja chote kitageuzwa kuwa intergrated commercial,residential, transport hub ambayo itakua haina mfanomwengine ukanda huu

Hichi kianja chote hakitumiki kwa sasa, hapa ndo itajengwa Railway city
1572518969163.png

1572519173900.png

1572519535522.png

1572519603448.png

1572519681251.png

1572519717893.png

1572519860573.png

1572519927936.png

------
Kwahivyo kama ni cha mipango kwenye makaratasi na mionekano yake kwa picha, pia sisi tunayo mipango tena mmizuri kushinda hio yenu... pale mtakapo maliza ujenzi uni tag
 
Mahali kukua commercial and logistics center si majengo ila ni biashara/uchukuzi unaofanyika hilo eneo..... kama Dar-kariakoo ndo kunafanyika bishara na uchukuzi kuliko eneo lengine basi hapo ndo logistics and commercial center ya Dar, haijalishi kama pana majengo mazuri au la....Kwahivyo ikifika wakati ambapo kutakua kuna warehouse kibao hilo eneo na mizigo mingi pamoja na abiria wanasafirishwa kutoka hapo kuliko eneo lengine lolote EAC, basi hapo ndo mtakua mmetimiza na kuwakilisha hilo jina la EA commercial and logistics center.

Sisi huku Kenya tumelauch plan kubwa zaidi ya hii mlioleta hapa, yani itakuani eneo kubwa hadi itakua ni mini city ndani ya Nairobi CBD.... kutakua na hadi hoteli, malls mbali na stendi za BRT, RELI, Mabasi..etc sasa hii ndo itakua commercial center si hako kenu

Kenya Railways wana kiwanja kikubwa sana (Karibia hekari 200ha )hapo CBD ambacho hua hakitumiki, kama ushawahi kuangalia nyimbo ya sauti sol -short and sweet, hua video ilifanyiwa hilo eneo. hicho kiwanja chote kitageuzwa kuwa intergrated commercial,residential, transport hub ambayo itakua haina mfanomwengine ukanda huu

Hichi kianja chote hakitumiki kwa sasa, hapa ndo itajengwa Railway city
View attachment 1249846

View attachment 1249850

View attachment 1249857

View attachment 1249860

View attachment 1249861

View attachment 1249863

View attachment 1249865

View attachment 1249866

Naona umeanza kuchanganyikiwa. Hapa tunaongelea East Africa commercial and logistics center
 
SGR yenu ilibidi ifike hapo.. siyo kuishia vichakani, kuwapa tabu abiria.
 
Bus ya Toy car na jumba la plastic ndio unaturingia? Dah yaani huku tumefika mahali watu wanaringa na renders. Dunia simama nishuke.
Hahahaha!!! Kila kitu kinaanzia kwenye planning dogo. Naona moyo unakuuma sana.
TZ ni baba ya kenya.
 
Naona umeanza kuchanganyikiwa. Hapa tunaongelea East Africa commercial and logistics center
East Africa commercial and logistics center gani hiyo/ hebu nionyeshe!
Huyo jamaa aliniuliza kama tunayo commercial and logistics center kama hio, nimemuoyesha sisi yetu ata si center tena, ni commercial and logistics city! Na haturingi!!!
 
It is a good development albeit extremely small in scale. In kenya we have several logistics centres coming up Tilisi industrial and logistics city Ksh 50 billion private investment (U/C), Nairobi Gate Industrial and logistics park $6Bn private investment (U/C).
We already have bigger commercial centres, we call them malls 🙂 (dedicated spaces for retail commerce complete with supermarkets , global food giants, luxury clothing stores and movie theatres).

In kenya private companies are leading the way not government in defining the structure of the multiple cities coming up around Nairobi.
 
Here is an example of a commercial centre (Private Investment) currently under construction in Meru town. It is called Greenwood park,the project is envisaged to have a 25,000sqm shopping mall, Grade A office block occupying 20,000sqm, 50 apartments of 2 and 3 bedrooms, and a public car park that can fit 240 spaces. Other amenities include a swimming pool, sports club and cinema theatre.
1572534002348.png

1572534034601.png

1572534068234.png

1572534107559.png
 
Here is an example of a commercial centre (Private Investment) currently under construction in Meru town. It is called Greenwood park,the project is envisaged to have a 25,000sqm shopping mall, Grade A office block occupying 20,000sqm, 50 apartments of 2 and 3 bedrooms, and a public car park that can fit 240 spaces. Other amenities include a swimming pool, sports club and cinema theatre.
View attachment 1250090

View attachment 1250091

View attachment 1250092
View attachment 1250094
Mnajua kweli kitu kinachojengwa hapo ubungo au mmeparamia mada tu? Mleta mada nae hajatoa maelezo ndio maana mnapindisha mada na kuleta vitu visivyohusika kama hizi malls na unrealistic projects kama satellite cities

Kwa kifupi hiyo East Africa logistics ni bidhaa zote za China ambazo nchi jirani kama DRC, Zambia, Malawi, Zimbabwe, Rwanda, Burundi, Uganda huja Kariakoo kuzinunua kwa jumla sasa zitakua zikipatikana hapo East Africa logistics kwa bei ile ambayo ungekuta Guan Zhou China

Yaani kama ungeenda China na kununua simu sh 10 ndio hiyo hiyo bei utakuja kuikuta hapo Dar before taxing na ndio maana kwenye hii logistic center ni makampuni makubwa ya China, industrial depots ndio zitakua hapo

So hakutakua na need ya kwenda China kufata mzigo sababu utakua ukipatikana hapa hapa Tanzania kwa bei ile ile ya China
 
Mnajua kweli kitu kinachojengwa hapo ubungo au mmeparamia mada tu? Mleta mada nae hajatoa maelezo ndio maana mnapindisha mada na kuleta vitu visivyohusika kama hizi malls na unrealistic projects kama satellite cities

Kwa kifupi hiyo East Africa logistics ni bidhaa zote za China ambazo nchi jirani kama DRC, Zambia, Malawi, Zimbabwe, Rwanda, Burundi, Uganda huja Kariakoo kuzinunua kwa jumla sasa zitakua zikipatikana hapo East Africa logistics kwa bei ile ambayo ungekuta Guan Zhou China

Yaani kama ungeenda China na kununua simu sh 10 ndio hiyo hiyo bei utakuja kuikuta hapo Dar before taxing na ndio maana kwenye hii logistic center ni makampuni makubwa ya China, industrial depots ndio zitakua hapo
Did you not read all my comments, we have industrial parks and cities under construction which are bigger and better but most importantly private investment. These are special economic zones that will have everything you are trying to achieve with that small four storey building, only difference will be that instead of importing from China, we will manufacture and distribute to the region.
 
Mtatengeneza bidhaa zote za electronics hapo? Ifike wakati muachage ligi za kitoto and let the reality prevail

Kenya mna kitu kama Kariakoo ambapo wafanyabiashara kutoka nchi mbali mbali huja kufunga mizigo yao hapo?
 
In Tatu city (a special economic zone), China is already manufacturing transformers and electronic metres for power lines from Kenya and they are exported to the region ie Uganda, Tanzania, Rwanda.
Also if you do not want comparisons do not post your village projects on an aptly titled, kenya news and politics.
 
Back
Top Bottom