East Africa Community should host the AFCON

I mean infrastructure(miundominu).....sizungumzii EAC kama EAC....

Kumbe Kiswahili unakijua Mkuu? Kubali ' Kukosolewa ' kwani ulichokiandika ( kwa lugha ya Kiingereza ) kama kingesomwa na Mwingereza mwenyewe asingekuelewa. Hata hivyo nikutakie tu kila la kheri na nimefurahi kujua kwamba unakijua Kiswahili lugha ambayo Mimi mwenyewe naihusudu / naipenda mno kuliko lugha zingine zote Ulimwenguni / Duniani.
 
Wewe nawe umetoka wapi? Hiyo tournament hata Gabon wamehost peke yao halafu Tz ishindwe? Haina haja ya EAC nzima, Tz pekee inamudu kuandaa.

Huna IQ ya kunielewa hivyo ngoja nikuache tu na hayo mapungufu yako makubwa uliyonayo na ambayo yanakugharimu pia.
 
hahahaha Gabon is a rich country yes.... but only because it has a small population and a lot of natural resources so it doesn't count...therefore this doesn't mean that it is ahead of any east african country...maybe uganda but gabon can't beat kenya or tz kimaendeleo...hii ni nchi ndogo tu...
 
Kiufupi hakuna nchi EA inayosimama mbele ya Gabon....mara ya mwisho nakumbuka nilicheki nchi tajiri Afrika,nakumbuka ilirange position 3 ama 4 hv....hivyo siyo nchi ya ki-underdog...
 
Kumbe Kiswahili unakijua Mkuu? Kubali ' Kukosolewa ' kwani ulichokiandika ( kwa lugha ya Kiingereza ) kama kingesomwa na Mwingereza mwenyewe asingekuelewa. Hata hivyo nikutakie tu kila la kheri na nimefurahi kujua kwamba unakijua Kiswahili lugha ambayo Mimi mwenyewe naihusudu / naipenda mno kuliko lugha zingine zote Ulimwenguni / Duniani.
Aiseeh
 
Am saying EAC as a block should host it so as to minimize the costs associated with building new stadiums considering the fact that the teams are going to increase to 24. With the current situation no single EAC country can host on it's own.
 
Huna IQ ya kunielewa hivyo ngoja nikuache tu na hayo mapungufu yako makubwa uliyonayo na ambayo yanakugharimu pia.
Hahaha, ukute hapo huwa unajipiga kifua na kujiona na wewe una akili, Lakini hata reply kama hii yako inaweza kumfanya mtu akapima uelewa wako. Anyway, usipanic take it easy mkuu
 
Usinichoshe na tusichoshane tafadhali mapema yote hii sawa?
 
Mkuu, hata wewe hebu fikiria, unakuta Jitu zima linapanic bila hata sababu, halafu eti linakuambia lina IQ, what an arrogant fool.
 
Nadhani Wewe ama utakuwa ni Mgeni Kwangu au kuna Kitu unakilazimisha kukitafuta kutoka Kwangu hivyo basi nikuombe tu tusije kulaumiana mbele ya safari. Najitahidi sana Kukuvumilia lakini naona bado unajaa tu katika ' Frame ' na muda si mrefu ' trigger ' yangu ' itafyatuka ' na najua jinsi itakavyokuumiza na kukufanya ukose raha kabisa Jamvini. Shauri yako!
 
IQ[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
By the way, I understand, Fear of a panic attack or recalling a panic attack can result in another attack, kindly visit a Psychiatrist mkuu, or I can prescribe you some antipsychotic if you won't mind.
 
Afcon yaweza hostiwa hata na Rwanda. Kwanza viwanja ni vinne vinahitajika. Problem ya EAC countries ni govts hazisupport michezo. Football ni ajira tena kubwa sana lakini huku masomo ndio yatiliwa maanani.

Kama Uganda wamecheza Afcon mara 6, moja wapo walifika fainali na nyingine wakamaliza namba 4 ila serikali yao bado haioni umuhimu wa mpira

Kenya wamecheza Afcon mara 5 na zote wameishia kutolewa kwa makundi. Togo pia wamecheza mara 5 na wameishia kutolewa kwa makundi. Tofauti ni kuwa Togo wamecheza World Cup.

Sasa kama kungekuwa na full support ya michezo, CECAFA pia ingetisha
 
we can host this thing very easily...especially if we do it as a block...TZ already has a good stadium in Dar Es Salaam...plus there is a lot of time until 2025....AFCON ni tournament ndogo tu hata sijui kwanini watu wanasema haiwezekani......hii tournament hata Rwanda tu inaweza host...wacha hata 2025, EAC inaweza ikahost AFCON mwaka ujao
Next year Dar ita host Afcon U20, yani Dar peke yake ina viwanja vitatu vilivyo pitishwa na FIFA. Hizo facilities nyingine zime jaa mpaka zina mwagika. Sasa uki jumlisha Ke, Ug na Rw. Mimi nazani E.A ikaze msuli ku host World cup, siyo rahisi ila malengo yawe hayo.
 
EAC akikaza anaweza mbona Morocco kaweza??
 
Sija kusoma mkuu Morocco ameweza ku host world cup au..
Wanao sema EAC haiwezi ku host Afcon wana kosea sana. Tz peke yake kukiwa na utashi wa kisiasa na uwekezaji kidogo Afcon ina andaliwa vizuri sana. Dar, Arusha, Mwanza, Dom(baada ya uwanja wa Magu kuisha)
 
Morocco kubid inaamanisha kuwa waliweza kuhost.

Hakuna nchi ya EAC isiyoweza kuhost afcon kama govt itapeana full support
 
Sija kusoma mkuu Morocco ameweza ku host world cup au..
Wanao sema EAC haiwezi ku host Afcon wana kosea sana. Tz peke yake kukiwa na utashi wa kisiasa na uwekezaji kidogo Afcon ina andaliwa vizuri sana. Dar, Arusha, Mwanza, Dom(baada ya uwanja wa Magu kuisha)
Morocco ana vigezo vyote vya kuweza kuhost world cup....ndo maana alikuwa anahitaji nafasi ya kuhost 2026 ila nafasi hiyo wamepewa USA, Canada na Mexico coz walimshinda kura...ila kajitosa tena kuhost world cup ya 2030..
sasa kama Morocco kafika huko...EAC inashindwa kweli?? tena AFCON??
 
sijui nianzie wapi.

anza kuingia Google uangalie viwanja vilivyotumika Afcon halafu uvihesabu uvilinganishe na vya kwetu.. kama Arusha, Dodoma,morogoro.

Gabon na sisi ni sawa na China na Qatar. Qatar kamwacha china mbaali saana. Japo LiChina linaliuchumi likubwaaa.
Duh, basi inawezakana nilikuwa naielewa Gabon Tofauti, ngoja nifuatilie,
Thanks mkuu!
 
Back
Top Bottom