GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
I mean infrastructure(miundominu).....sizungumzii EAC kama EAC....
Kumbe Kiswahili unakijua Mkuu? Kubali ' Kukosolewa ' kwani ulichokiandika ( kwa lugha ya Kiingereza ) kama kingesomwa na Mwingereza mwenyewe asingekuelewa. Hata hivyo nikutakie tu kila la kheri na nimefurahi kujua kwamba unakijua Kiswahili lugha ambayo Mimi mwenyewe naihusudu / naipenda mno kuliko lugha zingine zote Ulimwenguni / Duniani.