GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
I mean infrastructure(miundominu).....sizungumzii EAC kama EAC....
Wewe nawe umetoka wapi? Hiyo tournament hata Gabon wamehost peke yao halafu Tz ishindwe? Haina haja ya EAC nzima, Tz pekee inamudu kuandaa.
Kiufupi hakuna nchi EA inayosimama mbele ya Gabon....mara ya mwisho nakumbuka nilicheki nchi tajiri Afrika,nakumbuka ilirange position 3 ama 4 hv....hivyo siyo nchi ya ki-underdog...hahahaha Gabon is a rich country yes.... but only because it has a small population and a lot of natural resources so it doesn't count...therefore this doesn't mean that it is ahead of any east african country...maybe uganda but gabon can't beat kenya or tz kimaendeleo...hii ni nchi ndogo tu...
AiseehKumbe Kiswahili unakijua Mkuu? Kubali ' Kukosolewa ' kwani ulichokiandika ( kwa lugha ya Kiingereza ) kama kingesomwa na Mwingereza mwenyewe asingekuelewa. Hata hivyo nikutakie tu kila la kheri na nimefurahi kujua kwamba unakijua Kiswahili lugha ambayo Mimi mwenyewe naihusudu / naipenda mno kuliko lugha zingine zote Ulimwenguni / Duniani.
Hahaha, ukute hapo huwa unajipiga kifua na kujiona na wewe una akili, Lakini hata reply kama hii yako inaweza kumfanya mtu akapima uelewa wako. Anyway, usipanic take it easy mkuuHuna IQ ya kunielewa hivyo ngoja nikuache tu na hayo mapungufu yako makubwa uliyonayo na ambayo yanakugharimu pia.
Hahaha, ukute hapo huwa unajipiga kifua na kujiona na wewe una akili, Lakini hata reply kama hii yako inaweza kumfanya mtu akapima uelewa wako. Anyway, usipanic take it easy mkuu
Mkuu, hata wewe hebu fikiria, unakuta Jitu zima linapanic bila hata sababu, halafu eti linakuambia lina IQ, what an arrogant fool.Usinichoshe na tusichoshane tafadhali mapema yote hii sawa?
Mkuu, hata wewe hebu fikiria, unakuta Jitu zima linapanic bila hata sababu, halafu eti linakuambia lina IQ, what an arrogant fool.
IQ[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nadhani Wewe ama utakuwa ni Mgeni Kwangu au kuna Kitu unakilazimisha kukitafuta kutoka Kwangu hivyo basi nikuombe tu tusije kulaumiana mbele ya safari. Najitahidi sana Kukuvumilia lakini naona bado unajaa tu katika ' Frame ' na muda si mrefu ' trigger ' yangu ' itafyatuka ' na najua jinsi itakavyokuumiza na kukufanya ukose raha kabisa Jamvini. Shauri yako!
Next year Dar ita host Afcon U20, yani Dar peke yake ina viwanja vitatu vilivyo pitishwa na FIFA. Hizo facilities nyingine zime jaa mpaka zina mwagika. Sasa uki jumlisha Ke, Ug na Rw. Mimi nazani E.A ikaze msuli ku host World cup, siyo rahisi ila malengo yawe hayo.we can host this thing very easily...especially if we do it as a block...TZ already has a good stadium in Dar Es Salaam...plus there is a lot of time until 2025....AFCON ni tournament ndogo tu hata sijui kwanini watu wanasema haiwezekani......hii tournament hata Rwanda tu inaweza host...wacha hata 2025, EAC inaweza ikahost AFCON mwaka ujao
EAC akikaza anaweza mbona Morocco kaweza??Next year Dar ita host Afcon U20, yani Dar peke yake ina viwanja vitatu vilivyo pitishwa na FIFA. Hizo facilities nyingine zime jaa mpaka zina mwagika. Sasa uki jumlisha Ke, Ug na Rw. Mimi nazani E.A ikaze msuli ku host World cup, siyo rahisi ila malengo yawe hayo.
Sija kusoma mkuu Morocco ameweza ku host world cup au..EAC akikaza anaweza mbona Morocco kaweza??
Morocco ana vigezo vyote vya kuweza kuhost world cup....ndo maana alikuwa anahitaji nafasi ya kuhost 2026 ila nafasi hiyo wamepewa USA, Canada na Mexico coz walimshinda kura...ila kajitosa tena kuhost world cup ya 2030..Sija kusoma mkuu Morocco ameweza ku host world cup au..
Wanao sema EAC haiwezi ku host Afcon wana kosea sana. Tz peke yake kukiwa na utashi wa kisiasa na uwekezaji kidogo Afcon ina andaliwa vizuri sana. Dar, Arusha, Mwanza, Dom(baada ya uwanja wa Magu kuisha)
Duh, basi inawezakana nilikuwa naielewa Gabon Tofauti, ngoja nifuatilie,sijui nianzie wapi.
anza kuingia Google uangalie viwanja vilivyotumika Afcon halafu uvihesabu uvilinganishe na vya kwetu.. kama Arusha, Dodoma,morogoro.
Gabon na sisi ni sawa na China na Qatar. Qatar kamwacha china mbaali saana. Japo LiChina linaliuchumi likubwaaa.
[emoji106]Duh, basi inawezakana nilikuwa naielewa Gabon Tofauti, ngoja nifuatilie,
Thanks mkuu!