nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Hakuna linaloshindikana, All the best StarsTanzania tukishindwa ktk hili kundi Mteremko basi hatutakuja kufuzu tena ktk michuano hii.
Tanzania ina asilmia 20 za kupita Lesotho 80% mimi s mzalendo mpumbavu wakaze waache umama kama kweli wanataka kupita
Sitaki kuamini kama nawe unafanya hivyo!Kazi pekee tunayoweza ni kupost picha za makario mitandaoni..
Amini tu mkuu. Watz hamna jambo tunawezaga kuchukua serious...mojawapo ni mpira..Sitaki kuamini kama nawe unafanya hivyo!
ππππ tukiwa milion moja wenye fukra hizi kombe la dunia tunafuzu.Bora wewe una macho. Hii timu ni mzigo mkubwa sana kwa taifa.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] tukiwa milion moja wenye fukra hizi kombe la dunia tunafuzu.
Lesotho ana 80% za kupita na point zake mbili?Tanzania ina asilmia 20 za kupita Lesotho 80% mimi s mzalendo mpumbavu wakaze waache umama kama kweli wanataka kupita
Akimpiga Tanzania anafikisha 5 anamaliza kazi na cape Verde mwakani.Lesotho ana 80% za kupita na point zake mbili?