East africa inaenda kuweka rekodi mpya, tukaze

East africa inaenda kuweka rekodi mpya, tukaze

Tanzania ina asilmia 20 za kupita Lesotho 80% mimi s mzalendo mpumbavu wakaze waache umama kama kweli wanataka kupita
 
Tusipofuzu this time around,tutakaa miaka mingi sana bila kuenda afcon..
 
Taifa stars si ajabu ikapigwa na Lesotho wale jamaa walitukazia sana pale chamazi kwa sababu ya upuuzi wa TFF
 
Back
Top Bottom