Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Na hivi tunajua radar zenu nizazima mpaka ndege za kutoka Ethiopia zinataka kugongana hewani, mjipange kutupisha na kwenye soko la usalama wa anga kwenye ukanda huu. Baraka za mlima Kilimanjaro tunaza kuziona.Nilishangaa sana Tanzania kwa miaka yote hii tangu uhuru yaani wamekua hawana radar, walikua wanategemea za Kenya.