East Africa: Maendeleo ya mradi wa usimikwaji wa mfumo wa rada nne (4) za kuongozea ndege

Nilishangaa sana Tanzania kwa miaka yote hii tangu uhuru yaani wamekua hawana radar, walikua wanategemea za Kenya.
Na hivi tunajua radar zenu nizazima mpaka ndege za kutoka Ethiopia zinataka kugongana hewani, mjipange kutupisha na kwenye soko la usalama wa anga kwenye ukanda huu. Baraka za mlima Kilimanjaro tunaza kuziona.
 
'Mjiandae kutupusha', tutawapita Wakenya, hawa Wakenya hawapo mbali, aki lazima tuwapite, kha kwani hawa wana nini, mbona ndani ya siku 100 tunawapita tu, jameni hawa ni mfupa uliomshinda fisi naona hawapitiki
 
[emoji23] [emoji23] imba tena Naona wimbo mzuri
 
Kwa hiyo wakiwa wanampango wa kutengeneza satellite ndio inakua tayari inatumika???? #ujinga mzgo
Mimeshakwambia mara nyingi my wife mimi sio mnyaru home ni Bulgaria kama vip join with me nikupeleke nikakutamburishe sawa

Alafu rwanda hawatumii rada ila wanatumia satellite sawa ambazo ni made in rwanda

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waaah you cant make this stuff up for real, yaani Radar siku hizi kazi yake ni ya kuepusha ndege zisigongane, hahahaha, so radar imekua mpaka pilot ama?
Na hivi tunajua radar zenu nizazima mpaka ndege za kutoka Ethiopia zinataka kugongana hewani, mjipange kutupisha na kwenye soko la usalama wa anga kwenye ukanda huu. Baraka za mlima Kilimanjaro tunaza kuziona.
 
Kenya INA radar!!! Sema rada za mzungu na familia ya kenyatta
Yaani radar za Kenya ndio zimekuwa zikilinda anga ya nchi yao miaka hiyo yote, sasa hivi hii 2018 ndio wanajipiga vifua kwasababu wamepata zao. Hahaa! [emoji1]
 
Halafu wanaturingia sisi ilhali walikuwa wanatutegemea sisi kuwajuza ikiwa adui ameingia angani mwao. Asante ya punda ni mateke. Badala ya wao kutuambia asante, wanakuja humu kuturingia. Dunia ina mambo.
Asante yetu ni hii ....sasa hivi ni zamu yetu kukulindieni anga lenu Kwa rada zetu za kisasa siyo zenu zilizo pitwa Na wakati na chakavu
 
Waaah you cant make this stuff up for real, yaani Radar siku hizi kazi yake ni ya kuepusha ndege zisigongane, hahahaha, so radar imekua mpaka pilot ama?
Kumbe ulijua Kazi ya "civilian radar" ni zipi?, acha kujiaibisha, kama hujui kitu nyamaza ili ujifunze.
 
Ngombe wewe, if you dint know radar yetu ilikua incover 75% of your nation and you used to pay kenya about usd.518,000 annually for the services, otherwise airspace yenyu ilikua giza tupu
Kumbe ulijua Kazi ya "civilian radar" ni zipi?, acha kujiaibisha, kama hujui kitu nyamaza ili ujifunze.
 
Mtakimbizana na Kenya ila hamtawahi kutufikia Ng'ooooo. Ukiumwa na hilo mwaga povu hadi uzi ufikie ule wa Mombasa vs Dar es salaam mwanze kulilia mod eti wakenya wanaidhalilisha Dar.
mshamba sana wewe, kenya ilifurukuta kuupita uchumi wa TANZANIA, mwanzoni mwa mwaka wa 1986 na kama siyo vita ya ukombozi wa kusini mwa afrika, vita ya kagera, vita ya BAFRA kunyaland siyo wa kujifananisha na TZ, NA SASA HHATUNA VITA TUNAENDELEA KUWAPITA KAMA MMESIMAMA, NYANGAU NYIE
 
All that time na bado hamjatupiku?

Hivi Kenya mnatengezea radar zenu au mnanunua kama sisi tu. Acheni sifa kijinga kujiona kama mko mbinguni na huku kuna shida maradufu. nyie vumilieni cartel na gangster wawaendeshe. Mkuamka itakua too late.
 
Yaani radar za Kenya ndio zimekuwa zikilinda anga ya nchi yao miaka hiyo yote, sasa hivi hii 2018 ndio wanajipiga vifua kwasababu wamepata zao. Hahaa!
emoji1.png
BTW Kenya airspace is only 90% covered! That means when the 4 radars r ready by 2020 Tanzania will have secured that 10% of Kenya's space!
 
Back
Top Bottom