East Africa no longer constitutes a tenable sanctuary for those in pursuit of political asylum


100% agreed , Twaha alikua tracked wengine hawajajua especially kama alikua anatumia SIM card ya Safaricom .

Hao wamekua collaborators wa serikali ya Kenya muda mrefu na walikamatisha watu wengi hapo nyuma.
 
100% agreed , Twaha alikua tracked wengine hawajajua esp kama alikua anatumia SIM card ya Safaricom .

Hao wamekua collaborators wa serikali ya Kenya muda mrefu na walikamatisha watu wengi hapo nyuma.
Kuna mada nilieleza kwa kina kidogo kuhusu hii tracking na hawa jamaa huifanya vipi Nafikiri ilikuwa ni kuhusu kutekwa kwa HP.

Hata VP nae alisikilizwa maongezi yake ni baadhi ya watu na pengine ndo maana Maria kasogea Ulaya.

Ni simu tu na kama si simu ni hapo ufanyapo shughuli yoyote mtandaoni nikashauri matumizi ya VPN.

Lakini pia kutekwa kwa hawa watanganyika wenzetu kwaweza kuwa ni ule mpango wa kuzima lolote kuhusu October 29, yaani kupooza.
 
Kuna Mutual assistance kwenye criminal matters soma East African Treaties kuna Protocol pale

EAC Protocol on Peace and Security: Focuses on counter-terrorism, conflict prevention, cross-border crime prevention, and disaster management.


EAC Protocol on Cooperation in Defence Affairs: Formalizes joint military training, intelligence sharing, and joint peace operations.
 

Naam, ule uzi naukumbuka.
 
Ni hiyo intelligence sharing.

And they way they use this method in outrageous.

Kwasababu wanotekwa hawajaripotiwa (kisheria) kuwa ni wahalifu na watafutwa.
 
Kuna Mutual assistance kwenye criminal matters

Majuzi mkenya aliyekimbia USA kwa kusababisha ajali na kujeruhi amefanyiwa extradition kisheria kurudishwa USA na picha tumeziona hadi anapokabidhiwa kwa maafisa wa ubalozi wa USA.

Abduction mnayotaka kuhalalisha hapa wewe na wajinga wenzio sio due process .

Twaha hajawa extradited , amekuwa abducted kuweka facts sawa na nina hakika mtampoteza na sio kumfikisha katika vyombo vya kisheria sababu hamna kosa mnalomtuhumu hivyo mmetumia illegal procedure kumkamata hivyo hamuwezi mpeleka Tanzania sababu mtakuwa mmejipiga own goal kuficha utekaji mtasema hamjui baada ya kumpoteza.

Hakuna kosa alilokuwa anatuhumiwa nalo hivyo hamkua na ground zozote za kuomba extradition ambayo ni due process.

Hakuna charge sheet wala court order yoyote kutoka mahakama za Tanzania sababu hakuna kosa alilotuhumiwa nalo huyu mkenya alikua ana court ordersa akadogde hivyo wakafanya agreement.

Huu ujinga unaotaka kuuhalalisha hapa tunaukataa leo, kesho na keshokutwa , utekaji sio njia ya kisheria.


View: https://x.com/ODPP_KE/status/2113485764906434745
 
Ndo maana nikasema wao watumia tu huo mwamvuli wa regional cooperation kuficha masuala kama hilo la kuteka watu.

Ipo siku yaja na ikitokea nchi hii itapata mtikisiko mkuu kwa wale wote wanojihusisha na mambo hayo ya kuwatia hofu raia wao wenyewe.
 
Unataka undercover operation ziwekwe wazi?
 
Mary is always scripting and executing very useless dramaz for useless politicians just for creating an environment and reason for seeking asylum in Europe.

In reality,
they are doing nonsense activism completely 🐒
 
Huna unalolijua hapo chawa hiyo ni abduction hakuna chochote utasema kujustify ibadilike kuitwa covert operation.
I’m aware kakamatwa na Tanzania Operatives na I’m aware serikali ya Kenya ilitaarifiwa na inajua Fugitive Criminal mda mwingine huwa wanachukuliwa bila kueneza taarifa kwa sababu wanaweza ku evacuate
 
I’m aware kakamatwa na Tanzania Operatives na I’m aware serikali ya Kenya ilitaarifiwa na inajua Fugitive Criminal mda mwingine huwa wanachukuliwa bila kueneza taarifa kwa sababu wanaweza ku evacuate

0/100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…