Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi funguka utuambie wanawake mtamkumbuka kwa lipi na kwanini mmeulizwa nyieWacheni ujinga bongo kuna upumbavu mwingi sana . Kuna ubaya gani wa kusema wanawake watamkumbuka kwa lipi mzee mwinyi?
East africa huwa wana vipindi vya wanawake na wanajadili mambo ya wanawake kwanini msijikite kwenye mada kama inavyosema?
Bora tu tusipewe sukari
muulize mama yako kwani yeye si mwanamke mkuu?Basi funguka utuambie wanawake mtamkumbuka kwa lipi na kwanini mmeulizwa nyie
Ata mm nimeshangaa mkuu...Angekuwa Kikwete sawa mana yule mzee nasikia yeye sketi kwake ni sawa na swala.Wacheni ujinga bongo kuna upumbavu mwingi sana . Kuna ubaya gani wa kusema wanawake watamkumbuka kwa lipi mzee mwinyi?
East africa huwa wana vipindi vya wanawake na wanajadili mambo ya wanawake kwanini msijikite kwenye mada kama inavyosema?
Bora tu tusipewe sukari
Hao ndiyo wale ukisikia makanjanja