Wacheni ujinga bongo kuna upumbavu mwingi sana . Kuna ubaya gani wa kusema wanawake watamkumbuka kwa lipi mzee mwinyi?
East africa huwa wana vipindi vya wanawake na wanajadili mambo ya wanawake kwanini msijikite kwenye mada kama inavyosema?
Bora tu tusipewe sukari