permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Bila kusahau kipaji halisi cha wiziHere in Kenya, we're way too diverse than our East African peers. Talk of rugby, women volleyball, long distance running etc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau kipaji halisi cha wiziHere in Kenya, we're way too diverse than our East African peers. Talk of rugby, women volleyball, long distance running etc.
Long distance??? Hebu leta matokeo ya marathon iliyofanyika juzi kwenu huko Kilimanjaro, Wakenya wachache ambao walijitoa mhanga na kuja bila kuogopa corona, lazima walifanya yao.
21 KM: top 3 Tanzanians
42 KM : top 3 Tanzanians
5 KM : sijui
Umejieleza nafsi yako kisawasawa!🤣Bila kusahau kipaji halisi cha wizi
Halafu mpunguze porno kwenye nyimbo zenu za Kibongo, imekua aibu kuziskliza maeneo yenye watu wa heshima au mbele ya watoto, nyimbo zimejaa maneno ya kikashfa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani tu... jana mchana tulikua tunakula sebuleni halafu kwenye laptop nimeachia nyimbo za YouTube zinacheza moja baada ya nyingine, ghafla ukaja wimbo wa Harmonize na Nandy unaoitwa "acha lizame", ilibidi nizime kabisa maana sio kwa yale maneno..."Usiku nipe shoti ama nishike magoti" "Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea Acha lizame!" "Kutwa nadindinsha mkonga"
Mie mkenya ila nauliza, kati ya Bongo na genge tone, gani zina matusi kupitiliza? Navyojua mimi genge tone zina aibu balaa kushinda za wenzetu.Halafu mpunguze porno kwenye nyimbo zenu za Kibongo, imekua aibu kuziskliza maeneo yenye watu wa heshima au mbele ya watoto, nyimbo zimejaa maneno ya kikashfa.....
Kila pahali ni hivyo sahi mkuu, hakuna utaratibu tena. Leo hii twaambiwa watafunga site zote za nopo, duh vijana wa Kenya(home) najua wameanza backup plans na mapema. Chezea mikono wewee! 🤣Hapo kabla kabla ya kutoa wimbo wako ni lazima upitie BASATA ukahakikiwe...siku hizi ni short cut mpaka wimbo uwe viral mitaani ndio bashata (barshutter)waje kukufungia
Duh! 🙄Kha! Wakenya walisusia kabisa, haya basi walau muachiwe mwaka huu mjimwayi mwayi, kuna washkaji zangu walikuja ila wengine tukaogopa....
Serikali lawamani kuruhusu Mkusanyiko wa Maelfu kwenye Kilimanjaro Marathon wakati Taifa linapambana na Virusi vya Korona
Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua. Mkusanyiko wa mahali hapo ulikuwa ni mkubwa kiasi kwamba kaa kuna wstu wana virusi...www.jamiiforums.com
![]()
😂 😂 😂Ni Kweli nyimbo za kibongo zina porno sana, ila kwa porno ninyi hatuwaezi. Sema tu wasanii wenu waimba porno hawasikiki ( hawahit )
Kukatazwa au kususia haina wasi ila afya ndio kipaumbele cha kila mwanariadha. Huwezi jipeleka kichinjioni mzima mzima!Walisusia au walikatazwa?
Mie mkenya ila nauliza, kati ya Bongo na genge tone, gani zina matusi kupitiliza? Navyojua mimi genge tone zina aibu balaa kushinda za wenzetu.
✌️
Hivi we jamaa ni mkenya kweli au unachangamsha jf tu. Kiswahili chako sio cha kikenya, uwasilishaji wako wa hoja pia una utofauti na wakenya wengi wa jf, youtube na kenya talk.Kashfa za genge huwa kwa lugha ya shen'g, ila hawa wanatumia Kiswahili kabisa, ukipata fursa usklize kwa makini yaani tu...
Kwani sisi Wakenya wa kawaida huwasilisha hoja vipi?Hivi we jamaa ni mkenya kweli au unachangamsha jf tu. Kiswahili chako sio cha kikenya, uwasilishaji wako wa hoja pia una utofauti na wakenya wengi wa jf, youtube na kenya talk.