Hujaelewa nini hapo.Mkuu, Kiswahili ni kitamu zaidi, ni bora tukitumie maana kimombo buana niwachache zaidi wanaokitamka na kukiandika Kwa usahihi kuleta maana ya kile wanawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa nini hapo.Mkuu, Kiswahili ni kitamu zaidi, ni bora tukitumie maana kimombo buana niwachache zaidi wanaokitamka na kukiandika Kwa usahihi kuleta maana ya kile wanawasilisha
Sio kweli, hakijatiliwa kabisa mkazo angalia bajeti yake ni shilingi ngapi kisha linganisha na wizara zingine.Cha kusikitisha ni kwamba hicho kilimo kimetiliwa mkazo maisha yote na hakijabadilisha maisha ya mtanzania....p
Sio kweli, hakijatiliwa kabisa mkazo angalia bajeti yake ni shilingi ngapi kisha linganisha na wizara zingine.
Angalia kilimo katika nchi kama Marekani, China, India, Brazil, Argentina au Australia ndio utatambua sisi tunacheza- mchezo wa ukuti ukuti.
Ajaanza hiyo obsession ya miundombinu baada ya kuukwa uraisi bali tangia alipopewa wizara kuna siku alielezea ni jinsi gani alivyoweza mshawishi Mkapa kuanzisha mfuko wa barabara ili kutengeneza network inayo link nchi nzima na ndio chimbuko la kuanza kuiunganisha Tanzania.Lakini jikumbushe pia, hivi hiyo miundo mbinu kweli ni Magufuli ndiye kaianza kiasi kwamba ndiye apewe sifa ya kufanya hivyo?
Safari za kupitia Kenya na kwingineko, zilikoma Magufuli alipoingia madarakani na kutekeleza hiyo mipango?
Na je, ni kweli tunajenga miundombinu hii ili watu toka huko nje wafike huko vijijini kulangua mazao ya wakulima wetu? Ndiyo sababu kuu?
Simwondolei Magufuli nafasi yake katika utekelezaji wa mipango ya utekelezaji wa miundombinu ya nchi yetu, lakini yeye ni sehemu tu ya utekelezaji huo. Kwa bahati nzuri kausimamia na kuuendeleza vizuri; hakuna ninachomwondolea hapo, lakini ni kupotosha kudai kwamba ni yeye ndiye mwanzilishi wa mipango hiyo.
Haina maana kabla ya hapo hapakuwepo na mipango ya kujenga barabara nchini hata kama haikutekelezwa kwa sababu zinazojulikana.Ajaanza hiyo obsession ya miundombinu baada ya kuukwa uraisi bali tangia alipopewa wizara kuna siku alielezea ni jinsi gani alivyoweza mshawishi Mkapa kuanzisha mfuko wa barabara ili kutengeneza network inayo link nchi nzima na ndio chimbuko la kuanza kuiunganisha Tanzania.
Mwenyewe anasema yeye ndio aliyepeleka hilo wazo kwa Mkapa kuanzisha mfuko wa barabara, sasa kama una information zingine kabla ya hapo kulikuwa na utaratibu gani unaweza kunielimisha JF ni shule.Haina maana kabla ya hapo hapakuwepo na mipango ya kujenga barabara nchini hata kama haikutekelezwa kwa sababu zinazojulikana.
Mkuu kilatha, ubishi hapa ni upi.Mwenyewe anasema yeye ndio aliyepeka hilo wazo kwa Mkapa la kuanzisha mfuko wa barabara, sasa kama una information zingine kabla ya hapo kulikuwa na utaratibu gani unaweza kunielimisha JF ni shule.
Lakini kubisha tu bila ya reference hayo mambo waachie wadau JF social lounge.
Wewe hiyo Good Plan yako ni ipi maanake hata hueleweki unachomaanisha.Hakuna plan nzuri ya kilimo....
Kumwezesha mkulima kila mwaka ni ujinga...
Inamfanya mkulima ahamini kuwa kilimo ni shughulu ya serikali...
Next time njoo na plan nzuru mkuu...
Toka uhuru kilimo kimesisitizwa ila hakijamkomboa mkulima wala nchi.
Na ukosefu wa viwanda pia unaumiza kilimo
Come with a good plan mkuu
Mwanzako akiandika kwa ugoko ndio anajiona anajua zaidi.Mkuu, Kiswahili ni kitamu zaidi, ni bora tukitumie maana kimombo buana niwachache zaidi wanaokitamka na kukiandika Kwa usahihi kuleta maana ya kile wanawasilisha
Kwa hiyo unataka Watanzania tusilime halafu tutakula wapi?
Wewe hiyo Good Plan yako ni ipi maanake hata hueleweki unachomaanisha.
Tshs. 700,000,000Mkuu tuwekee figure ambayo Tanzania inalipa kila mwezi kwa IMF na WB?