East Africa: Three EAC States to pay Sh. 35 trillion in debt servicing

Cha kusikitisha ni kwamba hicho kilimo kimetiliwa mkazo maisha yote na hakijabadilisha maisha ya mtanzania....p
Sio kweli, hakijatiliwa kabisa mkazo angalia bajeti yake ni shilingi ngapi kisha linganisha na wizara zingine.

Angalia kilimo katika nchi kama Marekani, China, India, Brazil, Argentina au Australia ndio utatambua sisi tunacheza- mchezo wa ukuti ukuti.
 
Hakuna plan nzuri ya kilimo....
Kumwezesha mkulima kila mwaka ni ujinga...
Inamfanya mkulima ahamini kuwa kilimo ni shughulu ya serikali...

Next time njoo na plan nzuru mkuu...

Toka uhuru kilimo kimesisitizwa ila hakijamkomboa mkulima wala nchi.

Na ukosefu wa viwanda pia unaumiza kilimo

Come with a good plan mkuu
 
Ajaanza hiyo obsession ya miundombinu baada ya kuukwa uraisi bali tangia alipopewa wizara kuna siku alielezea ni jinsi gani alivyoweza mshawishi Mkapa kuanzisha mfuko wa barabara ili kutengeneza network inayo link nchi nzima na ndio chimbuko la kuanza kuiunganisha Tanzania.
 
Haina maana kabla ya hapo hapakuwepo na mipango ya kujenga barabara nchini hata kama haikutekelezwa kwa sababu zinazojulikana.
 
Haina maana kabla ya hapo hapakuwepo na mipango ya kujenga barabara nchini hata kama haikutekelezwa kwa sababu zinazojulikana.
Mwenyewe anasema yeye ndio aliyepeleka hilo wazo kwa Mkapa kuanzisha mfuko wa barabara, sasa kama una information zingine kabla ya hapo kulikuwa na utaratibu gani unaweza kunielimisha JF ni shule.

Lakini kubisha tu bila ya reference hayo mambo waachie wengine.
 
Mkuu kilatha, ubishi hapa ni upi.

Hapakuwa na mipango ya ujenzi wa barabara kabla ya uteuzi wake ndani ya nchi hii?

Najua alichoeleza yeye kuhusu uanzishaji wa mfuko, lakini hilo sio kuwa barabara zilikuwa hazijengwi kabla ya hapo hata kama ilikuwa ni kwa shida kutokana na ukosefu wa pesa.

Hata hapo juu nimeeleza mchango wake juu ya hilo, sasa ubishi unaosema ni upi.
 
Cha kusikitisha ni kwamba hicho kilimo kimetiliwa mkazo maisha yote na hakijabadilisha maisha ya mtanzania....p

Kwa hiyo unataka Watanzania tusilime halafu tutakula wapi?
 
Wewe hiyo Good Plan yako ni ipi maanake hata hueleweki unachomaanisha.
 
Chakula hakiwezi kukosekana kwa kilimo cha kawaida....

Ila kilimo cha maendeleo ya watu na taifa ndio kime fail miaka yote.

Tunaongelea Serikali kuwekeza kwenye kilimo..
Kwa hiyo unataka Watanzania tusilime halafu tutakula wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…