La ,mimi sikubaliani na hayo kamwe .Jambo kama hilo litaleta kudhoofika kwa uchumi na utekelezaji wa kazi na kumbuka pia siasa za Burundi na Uganda hazipiti kwa amani na utulivu.Kenya vilevile.Wazo lako ni zuri
Sijasema tuingiliane kwenye uchaguzi kila mtu anafanya wake kivyake ila on the same dayLa ,mimi sikubaliani na hayo kamwe .Jambo kama hilo litaleta kudhoofika kwa uchumi na utekelezaji wa kazi na kumbuka pia siasa za Burundi na Uganda hazipiti kwa amani na utulivu.Kenya vilevile.
Sasha wakati was kuapishwa Nani sense Kwa mwenzake kusherehekea?Sijasema tuingiliane kwenye uchaguzi kila mtu anafanya wake kivyake ila on the same day
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa lakini jambo kama hilo litadhoofisha uchumi na amani kwa nchi zote wakati mmoja.Sijasema tuingiliane kwenye uchaguzi kila mtu anafanya wake kivyake ila on the same day
Sent using Jamii Forums mobile app
Just think about it.
Kwa sasa nchi zote za EAC husoma budget zao siku moja. Hii imesaidia sana kwa upande wa kufanya cross national reviews and comparisons.
Napendekeza kuelekea EAC political federation;
Huenda hili litasaidia kuleta East African standards of electoral democracy. Mtu ukijaribu kubadili katiba ya nchi (Uganda, Rwanda, Burundi) unapigwa chini!
- Nchi zote za EAC (Tanzania, Kenya, Uganda, South Sudan, Rwanda na Burundi) ziwe na siku moja ya kufanya chaguzi.
- Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wachaguliwe moja kwa moja na wananchi.
Exactly.Kuna wengine term moja miaka minne, mitano, saba, itakuwa ngumu kidogo. Ila hoja ya wananchi kuchagua wabunge wa EAC ni nzuri sana.
Ila destiny ya EAC ni kuwa political federation, hivyo haya yote yatawadia tu.
There can never be a shortage of observers. Kuna Commonwealth, African Union, European Union, ICGLR, SADC e.t.c. Watafanya hiyo kazi.Someone must be the observer of the other sasa tukifanya wote siku moja who will be the observer of the other??and it is so risk kwasababu Enemies ni rahisi kuingilia East Afrika kwa wakati mmoja cause wote tupo busy na election ya nchi yake...
ndo hao enemies ninao wazungumzia,kati ya hao wengine ni adui zetu hapo esp hao wanaojiita European UnionThere can never be a shortage of observers. Kuna Commonwealth, African Union, European Union, ICGLR, SADC e.t.c. Watafanya hiyo kazi.