East African Countries should all have elections on the same day!

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Just think about it.
Kwa sasa nchi zote za EAC husoma budget zao siku moja. Hii imesaidia sana kwa upande wa kufanya cross national reviews and comparisons.
Napendekeza kuelekea EAC political federation;
  1. Nchi zote za EAC (Tanzania, Kenya, Uganda, South Sudan, Rwanda na Burundi) ziwe na siku moja ya kufanya chaguzi.
  2. Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wachaguliwe moja kwa moja na wananchi.
Huenda hili litasaidia kuleta East African standards of electoral democracy. Mtu ukijaribu kubadili katiba ya nchi (Uganda, Rwanda, Burundi) unapigwa chini!
 
La ,mimi sikubaliani na hayo kamwe .Jambo kama hilo litaleta kudhoofika kwa uchumi na utekelezaji wa kazi na kumbuka pia siasa za Burundi na Uganda hazipiti kwa amani na utulivu.Kenya vilevile.
Sijasema tuingiliane kwenye uchaguzi kila mtu anafanya wake kivyake ila on the same day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just think about it.
Kwa sasa nchi zote za EAC husoma budget zao siku moja. Hii imesaidia sana kwa upande wa kufanya cross national reviews and comparisons.
Napendekeza kuelekea EAC political federation;
  1. Nchi zote za EAC (Tanzania, Kenya, Uganda, South Sudan, Rwanda na Burundi) ziwe na siku moja ya kufanya chaguzi.
  2. Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wachaguliwe moja kwa moja na wananchi.
Huenda hili litasaidia kuleta East African standards of electoral democracy. Mtu ukijaribu kubadili katiba ya nchi (Uganda, Rwanda, Burundi) unapigwa chini!

Kuna wengine term moja miaka minne, mitano, saba, itakuwa ngumu kidogo. Ila hoja ya wananchi kuchagua wabunge wa EAC ni nzuri sana.

Ila destiny ya EAC ni kuwa political federation, hivyo haya yote yatawadia tu.
 
Someone must be the observer of the other sasa tukifanya wote siku moja who will be the observer of the other??and it is so risk kwasababu Enemies ni rahisi kuingilia East Afrika kwa wakati mmoja cause wote tupo busy na election ya nchi yake...
 
Exactly.
Hii itakuwa ni opportunity ya kuharmonize na kuapproximate laws za nchi wanachama. Constitutional ammendments zitahitajika.
Kwa mfano, tukianza 2020. Nchi zote ziwe na uchaguzi mwaka huo. Alafu sheria iwe kwamba kila nchi electoral cycle ni 5years. Na hamna mtu kukaa zaidi ya mihula miwili.
 
Someone must be the observer of the other sasa tukifanya wote siku moja who will be the observer of the other??and it is so risk kwasababu Enemies ni rahisi kuingilia East Afrika kwa wakati mmoja cause wote tupo busy na election ya nchi yake...
There can never be a shortage of observers. Kuna Commonwealth, African Union, European Union, ICGLR, SADC e.t.c. Watafanya hiyo kazi.
 
ndo hao enemies ninao wazungumzia,kati ya hao wengine ni adui zetu hapo esp hao wanaojiita European Union
 
Back
Top Bottom