Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Just think about it.
Kwa sasa nchi zote za EAC husoma budget zao siku moja. Hii imesaidia sana kwa upande wa kufanya cross national reviews and comparisons.
Napendekeza kuelekea EAC political federation;
Kwa sasa nchi zote za EAC husoma budget zao siku moja. Hii imesaidia sana kwa upande wa kufanya cross national reviews and comparisons.
Napendekeza kuelekea EAC political federation;
- Nchi zote za EAC (Tanzania, Kenya, Uganda, South Sudan, Rwanda na Burundi) ziwe na siku moja ya kufanya chaguzi.
- Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wachaguliwe moja kwa moja na wananchi.