Waiting is the key word...futuristic as usual.Ati imagine kusafirisha 260,000 barrels per day at £12.2 for each barrel. That is nearly $3 mln per day! That's aside chances for DRC n South Sudan to join. Meanwhile our LNG project is in waiting..
That's $30 bln investment not to be confused with the $400 mln three berths in Lamu! [emoji23] [emoji115]Waiting is the key word...futuristic as usual.
That's $30 bln investment not to be confused with the $400 mln three berths in Lamu! [emoji23] [emoji115]Waiting is the key word...futuristic as usual.
Where is it, pictures please?That's $30 bln investment not to be confused with the $400 mln three berths in Lamu! [emoji23] [emoji115]
Wacha ujinga keep consoling ur stupid ass living in an economy that GDP grows less than 5% n being derived from cooked data! I suspect Kenya grew less than 4% this year...Where is it, pictures please?
Kama kawaida matusi na povu ukiishiwa hoja. Kojoa ulale dawa imekuingia hadi kwa mfupa.Wacha ujinga keep consoling ur stupid ass living in an economy that GDP grows less than 5% n being derived from cooked data! I suspect Kenya grew less than 4% this year...
Ati Kenya inajisifu huo si ujinga wa hali ya juu! Jilishe kwanza halafu ndo uongeeKama kawaida matusi na povu ukiishiwa hoja. Kojoa ulale dawa imekuingia hadi kwa mfupa.
Mna nini nyie masikini wa kutupwa? Povu limekuwa likikutoka kwa miaka kumi hivi na bado litazidi hadi ukubali class yenu ni Malawi Burundi na DRC hivi.Ati Kenya inajisifu huo si ujinga wa hali ya juu! Jilishe kwanza halafu ndo uongee
And yet we r still making u visit ur toilet daily! Boaaaay have respect [emoji23] [emoji115] it's funny u r posting on a thread I started n yet u claim povu!Mna nini nyie masikini wa kutupwa? Povu limekuwa likikutoka kwa miaka kumi hivi na bado litazidi hadi ukubali class yenu ni Malawi Burundi na DRC hivi.
Tanzania itakuwa inapata $1B kwa mwaka toka katika hilo bomba, SGR yenu kwa mwaka pamoja na deni kubwa mlilokopa haifiki $300m kwa mwaka, Tanzania haijawekeza hata $1, hapo kuna direct jobs zaidi ya 10,000
Amewakosesha Uganda pipe line, amewakosesha mapato ya $1B kwa mwaka, ni sawa na mapato ya sector yenu yote ya tourism na kuongeza SGR baada ya kumaliza kulipa deni la mchina[emoji23] [emoji23] [emoji23]hehehe,mipovuu sana..kipara kakaa madarakani miaka miwili sasa amefanya nini😀
Hii pipeline ilikuwa ipite Kenya lakini kwa harufu ya Ufisadi wa akina Ruto ndio maana hawa jamaa walipitisha hapa Tanzania. Sehemu ama ardhi yote ambayo pipeline hii ilikuwa ipitie Kenya viongozi wakuu walijimirikisha ili walipwe fidia kubwa kutoka kwenye fedha za mradi huuwala kina rostam sijui Patel au nani hutawasikia kwenye pipeline. for the FIRST TIME THE BIG PROJECT TO EXECUTED WITHOUT BEING HIJACKED BY GLAND CORRUPT OFFICIALS/POLITICIANS/BUSINESSMEN.
Ccoming soonWhere is it, pictures please?
Kwa mujibu wa makampuni makubwa ya mafuta wanasema hadi 2050 ni 6% ya magari yote ulimwenguni ndio yatakuwa pure electric-powered. Na wameongeza kwamba idadi ya magari yatumiayo fossil fuel yatazidi kuongezeka hasa kwenye emerging/developing markets kuliko idadi ya magari ya umeme katika nchi zilizoendelea. Hivyo ni matumaini yao kwamba fossil fuel demand itazidi kuongezeka zaidi.European countries are rapidly setting deadline for vehicles uses fossil enegy.
It is no far than 2025,
Una uhakika?Rais Magufuli hawa wawekezaji wanaimani na serikali yake sana huu mradi hauna 10 percent wala hauna share ya kiongozi yeyote wa serikali.
Hongera Mheshimiwa Rais Magufuli hawa wapiga kelele kuna siku watakukumbuka.
We are used to such statements from you just peruse threads posted by geza ulole and others and the common denominator is zero complete projects 10 years down the line and still counting.Ccoming soon
Threads zako zote unatoa povu ndio sababu kubwa yako ya kutumia emojis kuficha emotions.And yet we r still making u visit ur toilet daily! Boaaaay have respect [emoji23] [emoji115] it's funny u r posting on a thread I started n yet u claim povu!
Najua umeandika kwa nia kufikisha ujumbe, kuna mijamaa ipo ccm usipoipongeza unakuwa sio mzalendo na inaweza kukutwanga risasi.Kwa mujibu wa makampuni makubwa ya mafuta wanasema hadi 2050 ni 6% ya magari yote ulimwenguni ndio yatakuwa pure electric-powered. Na wameongeza kwamba idadi ya magari yatumiayo fossil fuel yatazidi kuongezeka hasa kwenye emerging/developing markets kuliko idadi ya magari ya umeme katika nchi zilizoendelea. Hivyo ni matumaini yao kwamba fossil fuel demand itazidi kuongezeka zaidi.
Ila wametoa angalizo kwamba endapo China na India zitaingia katika uzalishaji wa batteries kwa wingi na bei ndogo basi total transition kutoka fossil fuel hadi electric power kwa vyombo vya moto itakuwa kwa muda mfupi zaidi ya ilivyokadiriwa.
Lumumba wanakupongezaWewe ndiye mwenye kichwa kibovu, unadhani shifting from one source of energy to the other ni kitu kinachochukua miaka kumi?, hadi leo dunia imeshindwa kabisa kubadilisha matumizi ya petrol car kwenda kwenye gad, japo gas inapatikana kwa wingi na ni cheap