East African Crude Oil Pipeline construction to kick start next month

East African Crude Oil Pipeline construction to kick start next month

Ati imagine kusafirisha 260,000 barrels per day at £12.2 for each barrel. That is nearly $3 mln per day! That's aside chances for DRC n South Sudan to join. Meanwhile our LNG project is in waiting..
Waiting is the key word...futuristic as usual.
 
Where is it, pictures please?
Wacha ujinga keep consoling ur stupid ass living in an economy that GDP grows less than 5% n being derived from cooked data! I suspect Kenya grew less than 4% this year...
 
Wacha ujinga keep consoling ur stupid ass living in an economy that GDP grows less than 5% n being derived from cooked data! I suspect Kenya grew less than 4% this year...
Kama kawaida matusi na povu ukiishiwa hoja. Kojoa ulale dawa imekuingia hadi kwa mfupa.
 
Kama kawaida matusi na povu ukiishiwa hoja. Kojoa ulale dawa imekuingia hadi kwa mfupa.
Ati Kenya inajisifu huo si ujinga wa hali ya juu! Jilishe kwanza halafu ndo uongee
 
Ati Kenya inajisifu huo si ujinga wa hali ya juu! Jilishe kwanza halafu ndo uongee
Mna nini nyie masikini wa kutupwa? Povu limekuwa likikutoka kwa miaka kumi hivi na bado litazidi hadi ukubali class yenu ni Malawi Burundi na DRC hivi.
 
Mna nini nyie masikini wa kutupwa? Povu limekuwa likikutoka kwa miaka kumi hivi na bado litazidi hadi ukubali class yenu ni Malawi Burundi na DRC hivi.
And yet we r still making u visit ur toilet daily! Boaaaay have respect [emoji23] [emoji115] it's funny u r posting on a thread I started n yet u claim povu!
 
hehehe,mipovuu sana..kipara kakaa madarakani miaka miwili sasa amefanya nini😀
Tanzania itakuwa inapata $1B kwa mwaka toka katika hilo bomba, SGR yenu kwa mwaka pamoja na deni kubwa mlilokopa haifiki $300m kwa mwaka, Tanzania haijawekeza hata $1, hapo kuna direct jobs zaidi ya 10,000
 
hehehe,mipovuu sana..kipara kakaa madarakani miaka miwili sasa amefanya nini😀
Amewakosesha Uganda pipe line, amewakosesha mapato ya $1B kwa mwaka, ni sawa na mapato ya sector yenu yote ya tourism na kuongeza SGR baada ya kumaliza kulipa deni la mchina[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wala kina rostam sijui Patel au nani hutawasikia kwenye pipeline. for the FIRST TIME THE BIG PROJECT TO EXECUTED WITHOUT BEING HIJACKED BY GLAND CORRUPT OFFICIALS/POLITICIANS/BUSINESSMEN.
Hii pipeline ilikuwa ipite Kenya lakini kwa harufu ya Ufisadi wa akina Ruto ndio maana hawa jamaa walipitisha hapa Tanzania. Sehemu ama ardhi yote ambayo pipeline hii ilikuwa ipitie Kenya viongozi wakuu walijimirikisha ili walipwe fidia kubwa kutoka kwenye fedha za mradi huu
 
European countries are rapidly setting deadline for vehicles uses fossil enegy.

It is no far than 2025,
Kwa mujibu wa makampuni makubwa ya mafuta wanasema hadi 2050 ni 6% ya magari yote ulimwenguni ndio yatakuwa pure electric-powered. Na wameongeza kwamba idadi ya magari yatumiayo fossil fuel yatazidi kuongezeka hasa kwenye emerging/developing markets kuliko idadi ya magari ya umeme katika nchi zilizoendelea. Hivyo ni matumaini yao kwamba fossil fuel demand itazidi kuongezeka zaidi.
Ila wametoa angalizo kwamba endapo China na India zitaingia katika uzalishaji wa batteries kwa wingi na bei ndogo basi total transition kutoka fossil fuel hadi electric power kwa vyombo vya moto itakuwa kwa muda mfupi zaidi ya ilivyokadiriwa.
 
Hydrocarbons car will vanish like analog tv the technology is running very fast as country we have to change our mindset from depending on Hydrocarbon to renewable energy like solar. electric car and hydrogen
 
Rais Magufuli hawa wawekezaji wanaimani na serikali yake sana huu mradi hauna 10 percent wala hauna share ya kiongozi yeyote wa serikali.
Hongera Mheshimiwa Rais Magufuli hawa wapiga kelele kuna siku watakukumbuka.
Una uhakika?
 
Ccoming soon
We are used to such statements from you just peruse threads posted by geza ulole and others and the common denominator is zero complete projects 10 years down the line and still counting.
 
And yet we r still making u visit ur toilet daily! Boaaaay have respect [emoji23] [emoji115] it's funny u r posting on a thread I started n yet u claim povu!
Threads zako zote unatoa povu ndio sababu kubwa yako ya kutumia emojis kuficha emotions.
 
Kwa mujibu wa makampuni makubwa ya mafuta wanasema hadi 2050 ni 6% ya magari yote ulimwenguni ndio yatakuwa pure electric-powered. Na wameongeza kwamba idadi ya magari yatumiayo fossil fuel yatazidi kuongezeka hasa kwenye emerging/developing markets kuliko idadi ya magari ya umeme katika nchi zilizoendelea. Hivyo ni matumaini yao kwamba fossil fuel demand itazidi kuongezeka zaidi.
Ila wametoa angalizo kwamba endapo China na India zitaingia katika uzalishaji wa batteries kwa wingi na bei ndogo basi total transition kutoka fossil fuel hadi electric power kwa vyombo vya moto itakuwa kwa muda mfupi zaidi ya ilivyokadiriwa.
Najua umeandika kwa nia kufikisha ujumbe, kuna mijamaa ipo ccm usipoipongeza unakuwa sio mzalendo na inaweza kukutwanga risasi.
 
Wewe ndiye mwenye kichwa kibovu, unadhani shifting from one source of energy to the other ni kitu kinachochukua miaka kumi?, hadi leo dunia imeshindwa kabisa kubadilisha matumizi ya petrol car kwenda kwenye gad, japo gas inapatikana kwa wingi na ni cheap
Lumumba wanakupongeza
 
Back
Top Bottom