sijui tatizo ni exposure, masikini ya Mungu. Sijui kwa kweli.
Kama unajua kinachoendlea duniani you know a capitalist is a cutthroat, ruthless business person, akiona it is cheaper ku import goods and service fulani atai import (kumbuka Dangote).
haujui, inawezekana wanapata tax breaks kwa serikali ya Ufaransa kwa kutengeneza ajira za Wafaransa nje na ndani ya France. Sasa hawezi kuacha benefit hiyo eti kwa sababu Tanzania wamemuomba msaada kwa mdomo, hapana, wanahisa wa TOTAL watawatolea madirishani
halafu capitalist countries wana masheria yanaitwa fiduciary responsibility, yani kampuni lazima uhakikishe unatunza na kuzalisha hela ya mwekezaji to maximum levels (nikisema mwekezaji namaanisha Wafaransa walionunua hisa TOTAL). Kwa hiyo ukitaka capitalist aende kinyume na hivyo weka hivi vitu kwenye makubaliano kimkataba. Hatujifunzi????? Daaah!