East African Crude Oil Pipeline construction to kick start next month

East African Crude Oil Pipeline construction to kick start next month

Ndo unachomaanisha maana hao wadau wakuu wanawekeza billions of dollars kwenye mafuta bado.
Very well calculated move!
Hela yao itarudi (inalindwa na mikataba) baada ya hapo endeleeni kumpongeza mwenyekiti.

Hawatatengeneza mfumo wa technology itakayoelekeza hela kwenyu.
 
Ati imagine kusafirisha 260,000 barrels per day at £12.2 for each barrel. That is nearly $3 mln per day! That's aside chances for DRC n South Sudan to join. Meanwhile our LNG project is in waiting..

utamfanya huyo chizi afe kwa wivu.
 
tungekuwa na Rais na washauri makini hayo anayowaambia TOTAL kwa mdomo wangeweka kwenye mkataba, kwamba wawape kazi Watanzania.

kwenye uwekezaji hakuna kilichobadilika awamu hii. Kama we tofauti Magufuli tuonyeshe mkataba!
 
sijui tatizo ni exposure, masikini ya Mungu. Sijui kwa kweli.

Kama unajua kinachoendlea duniani you know a capitalist is a cutthroat, ruthless business person, akiona it is cheaper ku import goods and service fulani atai import (kumbuka Dangote).

haujui, inawezekana wanapata tax breaks kwa serikali ya Ufaransa kwa kutengeneza ajira za Wafaransa nje na ndani ya France. Sasa hawezi kuacha benefit hiyo eti kwa sababu Tanzania wamemuomba msaada kwa mdomo, hapana, wanahisa wa TOTAL watawatolea madirishani

halafu capitalist countries wana masheria yanaitwa fiduciary responsibility, yani kampuni lazima uhakikishe unatunza na kuzalisha hela ya mwekezaji to maximum levels (nikisema mwekezaji namaanisha Wafaransa walionunua hisa TOTAL). Kwa hiyo ukitaka capitalist aende kinyume na hivyo weka hivi vitu kwenye makubaliano kimkataba. Hatujifunzi????? Daaah!
 
Back
Top Bottom