East African Federation (EAF) public Views

Wewe ndugu mtanzania uliye andika haya maoni sikulaumu kwa maoni,ila ujinga ulionao wa kutofahamu historia ya africa ilivyo gawanywa na wakoloni na kuchora mipaka ya africa ilivyo.hii ndiyo maana mfano unapata kabila moja ama ndugu wagawanywa na mpaka wa nchi mbili,sawa na wamarekani na warusi walivyogawana ujerumani baada ya vita vya pili vya dunia.nakuonya kutozungmzia usiyojua kuhusu wanyamulenge,soma historia upate ukwili wa mambo yakuwa siwanyarwanda.


 
Wewe ndugu mtanzania uliye andika haya maoni sikulaumu kwa maoni,ila ujinga ulionao wa kutofahamu historia ya africa ilivyo gawanywa na wakoloni na kuchora mipaka ya africa ilivyo.hii ndiyo maana mfano unapata kabila moja ama ndugu wagawanywa na mpaka wa nchi mbili,sawa na wamarekani na warusi walivyogawana ujerumani baada ya vita vya pili vya dunia.nakuonya kutozungmzia usiyojua kuhusu wanyamulenge,soma historia upate ukwili wa mambo yakuwa siwanyarwanda.


 
kiburi cha watanzania kama wewe hakifai kwani upende usipende jirani wako ni jirani wako na nibora jirani rafiki kuliko jirani adui.wewe niana yaweusi waowabaguwa wenzao kutoka afrika wakiwa ulaya kwakuwa wametoka africa haijaendelea.wewe ni mlevi wa kiburi,nasifikiri unajua maana ya heshima.



 
Wabunge wa Afrika Mashariki hawa
Yumo Walid Kabourou
Maprofesa wadondoka
Wawili wa zamani warudi
Na Bakari Mnkondo, Dodoma

HATIMAYE Watanzania watakaoiwakilisha nchi katika Bunge la Afrika Mashariki wamepatikana katika matokeo ambayo yamerudisha sura mbili tu za zamani huku maprofesa wakikataliwa. Wabunge wa zamani waliofanikiwa kurudi ni George Nangale na Kate Kamba.

Akitangaza matokeo hayo jana jioni, Msimamizi wa Uchaguzi, ambaye pia ni Katibu wa Bunge, Damian Foka alisema wabunge tisa waliotakiwa wamepatikana.

Foka aliwataja washindi kuwa ni Dk. Didas Massaburi aliyepata kura 137, akifuatiwa na Dk. George Nangale kura katika mabano (132) na Dk. Aman Walid Kabourou (130). Kura zilizopigwa ni 244 na iliyoharibika ni moja.
Matokeo hayo ni kwa kundi la wanaume Tanzania Bara ambalo lilikuwa na wagombea tisa, huku watatu ndio wakiwa wanatakiwa.

Katika kundi la wanawake lililokuwa na wagombea wanane, wakiwa wanatakiwa watatu, walioibuka na ushindi ni Sebtuu Mohammed Nassor (135), Janeth Mmari (126) na Kate Kamba (117). Kura zilizopigwa ni 244 na zilizoharibika ni nne.

Foka aliendelea kuwataja washindi katika kundi la kutoka Zanzibar, lililokuwa linahitaji washindi wawili kuwa ni Abdallah Ali Hassan Mwinyi(166), akifuatiwa na Dk. Said Gharib Bilal (126) kati ya kura zote 244 zilizopigwa.

Kwa kundi la wapinzani, lililokuwa na wagombea watano baada ya wawili wa CUF kujitoa, ambapo alitakiwa mtu mmoja, Dk. Fortunatus Masha alifanikiwa kuibuka kidedea kwa kupata kura 202 kati ya 244 zilizopigwa. Moja iliharibika.
Kura walizopata kwa ambao hawakuibuka washindi ni kama ifuatavyo: kundi A, Mohfoudha Alley Hamid (105), Janeth Mbena (80), Hulda Kibacha (57), Dk. Teleza Huvisa (59) na Dk. Rose Maeda(39).

Katika kundi B la Zanzibar, Remedius Kissasi (75), Isack Sepetu (36), Dk. Makame Ussi (25) na Nassoro Mugheiry (60). Walioshindwa katika kundi la upinzani ni Victoria Mwanjisi wa TLP (15), Meja Jesse Makundi wa TLP (0), Mutamwega Mgahywa wa TLP (5), Profesa Mwesiga Baregu wa CHEDEMA (30).

Katika kundi hilo, wagombea wawili kutoka CUF, Profesa Abdallah Safari na Mohamad Dedes walijitoa. Walioshindwa katika kundi D ni Goodluck Ole Medeye (51), Evod Mmanda (9), Profesa Samwel Wangwe (115), Dk. Norman Sigalle (124), Dk. Richard Kassungu (21) na Handley Mafwenga (27).Baada ya matokeo kutangazwa wote walioingia katika kinyanganyiro hicho waliyakubali matokeo na kusema uchaguzi ulikuwa safi.

Hata hivyo, Profesa Beregu, Mgahywa na Victoria waliingia mitini hivyo hawakupata nafasi ya kuelezea uchaguzi huo.

Source: Uhuru 03-Nov-2006
 
Kwakweli uliyo sema ndugu Nego yamenigusa roho,mungano ndio unaofaa na ilasiokuogopana nakudharauliana sote tunachakufunzana nakuchangia muungano wakufaa waafrica mashariki kwani huo ndio ukweli wamamba kama ulivyo sema.africa yahitaji watu wenye mawazo kama yako ili ipige hatua kwenye nyanja zote.shukrani Nego


 
[/QUOTE

This is the best i have read from my brothers south of the boarder.
 
Ni kweli Kenya inalingia misaada iliyokuwa inamwagwa na UK na nchi za magharibi kuonesha kwamba Unyang'au ni mzuri. Tupo hapa duniani na wakati unakwenda na hivi sasa wamegundua kwamba misaada yote waliyopata hawana amani na walioiba mapesa ndio wenye kutamba. Rushwa na uongozi m'bovu ndio umetawala nchi zote zilizokuwa zinaibeza Tanzania.

Hebu angalia Mombasa ilivyoharibiwa na askari wa kukodiwa, Somalia, Angola na Congo ni nchi ambazo zimelelewa na mabeberu kama yai. Utajiri wa kenya sio wao, viwanda vyote vinamilikiwa na makampuni ya nje. Ni upuuzi tu wa hivi majuzi wa kuuza makampuni yetu bongo bure bure tu.

Kama sisi kweli ni maskini kiasi hicho mbona hawaishi kuja kutafuta kazi kwetu na kuja kuuza bidhaa zao Bongo. Kwanini wasiwauzie marafiki zao?

Kwa kweli hili la federation likitokea watu watapoteza maisha ndani ya bongo na amani itakwisha. Nyie msione watu wa TZ wakimya ngoja tuone? yaani nyang'au waje watutawale no way . Over my dead body.
 
I just don't like this Federation. (a) Tanzania has to build better roads across the country just like Kenya and Uganda, (b) Tanzania has to strengthen the primary and seconday school education just like Kenya and Uganda, (c) Kenya and Uganda have to learn to be tolerant of opposing ideas, (d) Kenya and Uganda must first eliminate tribalism among their population, (e) Uganda has to learn how to believe in democracy.

I think the most pressing issue here will be about land. Essentially, most of Tanzania's land is a public property while it is private property in Kenya and Uganda. Therefore (f) Tanzania's rural land should not be shared, how, I dnot know.
 

Nyangau haji kutawala Tanzania. Nyangau ataka kufanya biashara na Watanzania. Period.
 
Unregistered said:
Nyangau haji kutawala Tanzania. Nyangau ataka kufanya biashara na Watanzania. Period.



Nyang'au ni nyang'au tu, biashara ya nyang'au ni ya kinyanga'u tu.

Wakenya si compatible no waTz. Sorry, no Tz in EAF, let Somalia in instead.
 
Wengi wetu katika mjadala huu wana hofu ya kwamba "manyagau" wataka kutawala nchi zingine ambazo hazijiwezi kiuchumi. Lakini hata merikani,..wao wenyewe bado huonana kijicho hadi waleo toka civil war yao 1860'S. Bado wanaoishi eneo la Newyork ,hudharao wanaoishi pande za mississippi.. Lakini kenye kikafanya merikani kuendelea mpaka mahala wapo leo ni ..biashara ndugu zangu...biashara isio na mipaka ,hakuna kuonyesha pasi unapovuka mpaka.

Ikiwa sio biashara ya high volume huko mererikani,..state nyingi sana upande wa kusini zingalikuwa nyuma sana..kwani hata sasa ziko nyuma bado.The main objective ya east africa federation ni biashara na mwishoe inatufaidi kimaendeleo . Mkenya halisi.
Unregistered said:
Nyangau haji kutawala Tanzania. Nyangau ataka kufanya biashara na Watanzania. Period.
 
Wa Tz wanaonyesha a high level of fear....ni sawa tu.." Usimwamshe mbwa aliyelala ,kwani akiamka,utalala mwenyewe."
Unregistered said:
Nyang'au ni nyang'au tu, biashara ya nyang'au ni ya kinyanga'u tu.

Wakenya si compatible no waTz. Sorry, no Tz in EAF, let Somalia in instead.
 
Wakenya ndugu zangu mnaponzwa na jeuri yenu isiyo na msingi. Kujiona nyinyi matajiri ili hali mu maskini imewafanya waTz tusite kuungana nanyi.
Wengi wa wakenya ni mithili ya bwana Njonjo! Wanajivunia visivyo na maana; kiingereza(lugha ya kikoloni), utajiri ambao ni wa wachache(wengi hoi kuliko hata watz) nk.

Wakenya iingie vichwani mwenu kwamba ujamaa ambao tulikuwa tunaufuata umeleta mafanikio makubwa sana kijamii, japo kiuchumi haukutupeleka mbali. wengi mnaubeza sana mkidai umetufanya wavivu. Makala nyingi za bwana Obo(east african) zimekuwa zimelenga kutukebehi sana! Nataka kuwaeleza kwamba tunasita kujiunga na EAF kwa sababu zifuatazo:

1. Hatuna uhakika sababu zilizowafanya mvunje EAC ya kwanza bado zipo au la. Akina Njonjo Kenya wameisha? Obo na wenziwe wengi mbona wako kinjonjo njonjo?
2. Tz tumetumia muda na rasmali nyingi sana kujenga umoja, mshikamano na moyo wa kitaifa na kufutilia mbali ukabila. Kenya hili hamkulipa kipaumbele kabisa na jamii yenu ni ya kimakundi ya kikabila sana. Hamuoni mtaturudisha nyuma kuanza kuhangaika na vitu hivi badala ya kujikita kuhangaikia uchumi?
Angalia makampuni ya Kikenya yaliopo Tz, yanaajiri wakenya tu na ukifuatilia kwa undani hata hao wakenya ni kabila moja!

3. M7 anatia doa demokrasia ya EA, kuungana naye ni kutaka matatizo ya kugombea madaraka, ukizingatia ametamka hata huo uboss wa EAF anautaka. Jadi hiyo hatuna Tz.

4.Rushwa Kenya ni mdudu sugu ambaye atahitaji gharama kubwa kumng'oa. Wakenya wamuondoe kwanza kabla hatujaingia EAF.

Mwisho nasema Tz bado haiko tayari kuingia EAF. Naaamini hivyo.
 
CCM Jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

YAANI WAMEAMUA KUMUACHA PROFESSOR BAREGU NJE!!!!!!!!!!!

YAANI CCM WANAFANYA UTANI HATA KWENYE MAMBO MUHIMU NJE YA NCHI!!!!!!!!!!!

MIMI SI CHADEMA LAKINI NIMESIKITIKA.

JAMANI TUAMKE HAWA CCM WANATUPELEKA PABAYA!!
 
Kiswahili chako tu kinaonyesha kwamba wewe si mtanzania, na wakenya niliokaa nao ndio husema"yenyu" badala ya "yenu", kwahiyo kwahilo usitake kutudanganya. Pamoja na kukuumbua hapo juu, bado ninaungana mkono na wewe kuhusu watu ambao wanawatukana wakenya au/na waganda. sio ustaarabu kwani sisi sote ni majirani kwa miaka mingi, na haifai kutukanana kwa namna hiyo bila misingi yeyote.

Ila ukweli upo palepale kwamba, Tanzania haitanufaika na muungano huu kama ambavyo Kenya na Uganda zitanufaika, hivyo maandalizi madhubuti yanahitajika kwa upande wa Tanzania ili kuwa kwenye kile ninachokiita "level playing field" kabla ya Muungano,na hi inahitaji muda na kuwekeza.

Hata Uingereza ambayo ilikua inaruhusu sana wale watu wa kutoka ulaya mashariki kuja kufanya kazi kwao bila kibali chochote baada ya nchi zao kuruhusiwa kuingia kwenye Shirikisho la kiuchumi la ulaya, sasa wanapinga "free movement of labour" kutoka hizi nchi zitakazoingia kwenye umoja huo hapo Januari mwakani sababu kubwa ikiwa kwamba walifanya makosa hapo nyuma wakati Polandi, Chekoslovakia na wengine waliporuhusiwa na wao hawakuweka masharti ya ajira.
 
Tanzania hatuko serious kabisa. Katika wote hapo sikutegemea mtu kama Professor Wangwe angeachwa. Sasa katika ujumbe wa Tanzania kuna grupu lenye "madokta" bandia wawili wenye digrii za kununua, na Dr mmoja asiye na msimamo ambaye alimsamehe Bwana Kitinye katika makosa yaliyokuwa against interest za nchi. Hili ni group la wababishaji tu, na Tanzania tutaendelea kuliwa hata huko EAC.
 
so Tanzanians think Kenyans are that desperate to integrate with them.What a load of bull.Fact is,there's other neighbours we can do more significant trade with.Uganda,Ethiopia,South Sudan,Mauritius,Seychelles,a resurgent to be stable Somalia.I can't help being giddy when i think of the incredible opportunities the biggger economies of Ethiopia,Sudan have to offer.Business with the rest of Africa is booming.

A major infrastructure project to link Lamu with the north is currently on the drawing board.We doing just fine in COMESA.An organisation u quit.FYI when u left, Egypt and Libya signed up.Still beats me why Zimbabwe,Angola an other southern countries are still in Comesa whilst they more southern than u.They also in SADC.Somehow they figured a way of hanging out in both houses.You couldn't.Wow, what a tragedy.

Maybe it's coz they are smart.Then i hear that ur role in SADC is so insignificant,that when u decide to leave nobody will notice.LOL.So what would happen if Kenyans who are among the leading investors in ur country decide to divest.I know what would happen,they would simply invest somewhere else.Better yet,they would do it at home. You underestimate Kenyan creativity,ambition,resilience and enterprise.

We survived two decades of economic mismanagement and a decade-long freeze of donor aid.Prophecies of doom against our country have been rampant but somehow it turned out some people were just having nightmares.Just so happens we really don't need donors to keep our country running.On the other hand they finance 60% of your budget.We in Kenya are fixing our loose ends an moving on.

Could be better if we didn't have to deal with Kenyan stupid politicians not to mention another hostile neighbour. We are tired of being a ring side seat to chaos that have sorrounded us for so long.Kenya is still Kenya.
 
Mzee Mafuchila,

What is up bro? long time eenh! CCM imeshitukia Ma-professor maana kina Mwakyembe walipoanjeshwa madaraka kidogo baadaye wakataka mbuzi mzima, na ni wajeuir kwenye vikao vya huko hawataki kusikiliza maagizo ya chama kilichowapeleka huko,

Otherwise mambo ni yale yale Masha amempigania baba yake ambaye yuko karibu kurudi CCM mpaka ameingia, pamoja na malipo ya kazi kubwa ya kumkampenia JK kule Mwanza, akishirikianana kina Diallo, pamoja na kwamba huyu mzee ni upinzani,

Mama Kate Kamba, kuwa hawara wa Mzee Butiku tu inatosha kuendelea huko EAC, and on and on and on .......... yaani mapak inatia kinyaa maaana walioshinda kihalali hawazidi wawili, Kaburu sina hata la kusema, ninawaachia kina Mzee Mwanasiasa, waseme!
 
in all honesty,

kenyans may be proud but they are showing voice of reason.they have put data and endured tanzanians abuse yet they still call you "brothers".kenyans dont really need tanzania,(and im not even east african my gairlfriend from zanzibar had to translate the sawhili).kenyans have a trade pact with sudan and ethiopia.thyre better off education wise,economically.they have survived corrupt govts,economic mismanagement and frozen doner aid.and they have come on top,unlike the other two countries who beg the west for everything.

the main reason EAC broke up waz:

1-kenya was capitalist.tanzania was socialist.you can never reconcile these two opposing ideologies.
2-tanzania had a maoist leader who believed in equality,justice and progress.uganda had a savage dictator who killed with indscretion.

nyerere hated kenyan capitalism and called them hyenas.yet when years later even to buy toilet paper tanzanians had to go to Nairobi.thats why he stepped down.but he was a great visionary.the reason why tanzania does not have tribalism like kenya is because of the community spirit that came with ujamaa.

nyerere hated Idi Amin and his brutal regime.they never saw eye to eye.in both these equations,tanzania is common.so stop blaming kenyans for everything.

from the replies i have read here,tanzanian replies in general are just emotional utterances full of negativity and "victim mentality".kenyans have demonstrated confidence(not arrogance) and they know their faults and although they have not appologized,they use reconciliatory language for the most part.and facts and figures to back it up.

think big,tanzanians.you are using village mentality."emancipate yourself from mental slavery,none but ourselves can free our minds" bob marley.redemption song.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…