East African Federation (EAF) public Views

East African Federation (EAF) public Views

Rwanda, Burundi are two densely populated small countries.Logic would inform us that,these two countries are best positioned for a radical growth due to the fact of this concentration of human resource.

Expanding of their infrastructure takes much less effort as in vast countries like Tanzania and Kenya.Trickle-down economics are more visible in this kind of settings. A high income,developed Rwanda,Burundi is more likely than the rest of East Africa.

They got more to offer East Africa than they will ever get from us.We should be honored they even thought of joining EAC.
 
Butiku naye yuko Bungeni au naye ana influence gani ya kumsaidia mama Kate Kamba,

Ila huyo mama ni bomu sana! au ni Kampeni za kaka yake Mkapa.
 
UDP ni branch ya CCM na ukitaka kuona kwamba Chadema yaogpwa na CCM utaona kweney chaguzi hizi .CCM hawako tayari ku side na Chadema na ndiyo Chama pekee ambacho bara ni tishio.

Mimi nilikuwa kimya kwa muda sasa mwisho nilijua Masha atapita hata kam asiporudi CCM alipo panatosha maana ni branch ya CCM . Watu serious kama Baregu hawawezi kupita maana they speak their mind and stand for the Nation .Hii ndiyo CCM ya JK ambayo mlidhani ina nasfuu kumbe imejificha inafanya mauaji chini kwa chini .
 
Kenyans are now talking. wow. so, they can do without tanzania. They can remove their investments in tanzania and invest somewhere, like somalia, ethiopia, sudan etc. Surely this man doesn't know what he is talking about. I am sure he doesn't own even a kijiko cha chai.

The owners of those viwanda anda investments in tanzania will skin him/her alive. that is blasphemy. Kenyans, do not cheat yourselves. You need us more than we do to you. So, there is big infrastructure project to link lamu. That's very good. Go there then. The war lords in Somalia would like it.

So do the janjaweed in sudan. they will enjoy your goods, they will protect you and your wealth with guns and bazookas. You don't have to worry my dear kenyan. You go there and enjoy the life of hell!
 
african said:
in all honesty,

kenyans may be proud but they are showing voice of reason.they have put data and endured tanzanians abuse yet they still call you "brothers".kenyans dont really need tanzania,(and im not even east african my gairlfriend from zanzibar had to translate the sawhili).kenyans have a trade pact with sudan and ethiopia.thyre better off education wise,economically.they have survived corrupt govts,economic mismanagement and frozen doner aid.and they have come on top,unlike the other two countries who beg the west for everything.

the main reason EAC broke up waz:

1-kenya was capitalist.tanzania was socialist.you can never reconcile these two opposing ideologies.
2-tanzania had a maoist leader who believed in equality,justice and progress.uganda had a savage dictator who killed with indscretion.

nyerere hated kenyan capitalism and called them hyenas.yet when years later even to buy toilet paper tanzanians had to go to Nairobi.thats why he stepped down.but he was a great visionary.the reason why tanzania does not have tribalism like kenya is because of the community spirit that came with ujamaa.

nyerere hated Idi Amin and his brutal regime.they never saw eye to eye.in both these equations,tanzania is common.so stop blaming kenyans for everything.

from the replies i have read here,tanzanian replies in general are just emotional utterances full of negativity and "victim mentality".kenyans have demonstrated confidence(not arrogance) and they know their faults and although they have not appologized,they use reconciliatory language for the most part.and facts and figures to back it up.

think big,tanzanians.you are using village mentality."emancipate yourself from mental slavery,none but ourselves can free our minds" bob marley.redemption song.

Here comes the judge. A wrong judge. Instead of putting forward arguments for or againts the issues raised, he is revisiting ujamaa/capitalism debate. I think that is vintage. I would suggest that he picks an argument and reason for or against, if you can. Kenyans and tanzanians are not at war here, and truly we are brothers and sisters, and brothers and sisters do argue, even calling each other names!

I do not think arguments for best conditions for federation does equate to thinking small, nor is it village mentality. But just in case it is, the better, since more than 60% of tanzanians are villagers anyway.

The reference to Bob Marley ... quite unrelated to prevailing issues. Wonder what would be the next reference from the judge? It would probably be: "Legalise it"

Tanzanias know they need kenya, just as kenyans need tanzania, that is a fact and the starting point. Now, take it from there, and be useful to this debate.
 
Quote [...Tukija ona wakenya wananufaika tutawafukuza kwa mashoka, mikuki na mapanga. Wakenya nao wakija ona sisi hatutaki kuwapa ardhi huku kwetu tukienda kwao kutafuta kazi watatufukuza kwa mishale. Itakuwa ni kazi kubwa. Ni lazima tujenge misingi imara ya uchumi; ya kuaminiana; na kuheshimiana....] Unquote

Maneno mazuri kiasi. Hili ni la msingi. Ushirikiano ambao hauna misingi mizuri husababisha matatizo baadaye, pamoja na kuwa yenye nia nzuri ya maendeleo. Nafikiri hii mijadala sasa ni juhudi za kujenga misingi hiyo kabla ya kuingia humo.

Kwa sababu hiyo, siyo vizuri kutumia lugha kali, lugha kama hizo hukwamisha mawasiliano mazuri!! JENGA HOJA.
 
Kaborou ni seshemu ya wanasiasa wasio na adhamira ya kweli ya kutetea umma. Ni adui namba moja wa maemdeleo ya siasa Tanzania. Heri yake YUDA ambae badae nafsi ilimsuta kwa usaliti alioufanya! Kabrou haonyeshi dalili ya kung'amua usaliti alioufanya.

CCM wanataka kuua upinzani,wako busy kuhonga na kurubuni wanasiasa wa upinzani.Mambo yanaenda ovyo kabisa,kipindi muhimu kama hiki tunajadili uwezekano wa kuwa na jumuiya ya Afrika mashiriki,kipaumbele kwa siasa za Tanzania kilipaswa kuwa maslahi ya Tanzania kwenye shirikisho na sio sehemu ya CCM kutoa zawadi kwa wanasiasa waliowahonga ambao wamekwisha dhihirisha hawana msimamo. NI wanafiki. Je tutakuwa salama kuwakilishWa na wanafiki?

Kama aliweeza kuisaliti CHEDAMA na wanachadema waliokuwa wanapigwa na dola kumtetea atashindwa vipi kuisaliti Tanzania kwa kupewa donge nono na Kenya au Uganda huko bungeni? Hivi CCM huwa wanafikiria kwa umbali huu? Au wanajifanyia tu mambo kwa malengo ya kujinufaisha kisisasa? Je mueelekeo wa CCM kwa sasa ni kuua upinzani na si maendelo ya Tanzania? Kipaumbele chao sasa hivi ni kipi? Tanzania au CHADEMA na CUF?

Suluhisho ni kuondoa mfumo unaokumbatia watu kama Kabrou. Mfumo unaokumbatia unafiki,mfumo ulio poteza muelekeo!
_________________
 
Wanaforum,

Hivi Kuna uhusiano wowote kati ya huyu Abdala Ali Hassan Mwinyi na Ali Hasan Mwinyi(Raisi mstaafu)? na Said Gharib Bilali ana uhusiano n Bilali waziri kiongozi mstaafu?
 
Bravo Zitto Kabwe!!! Kweli ndo maana kijana huyu amekuwa mbunge kwa umri mdogo alionao. Hawa wanaopiga kelele eti watu wasiungane baadhi wanaishi ulaya na marekani ambako wanaosha mbwa za wazungu na wengine wamejivua ubongo na kujipachika ukimbizi ili wapewe hadhi ya ukimbizi.
 
watu waunganeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kule ulaya watu ni wamoja. Mfaransa anaenda kule England au germany kwa drivinf license si passport. Anafanya anavyotaka. Mbongo au Mkenya akitaka kwenda Uganda anagongesha mhuri na kupewa siku kiduchu. Watu waungane tuwe kama wazungu.

Alafu kwenye forum hii nimeona watu kama matinyi wakisema eti kuungana na kenya ni dhambi, ha,ha,ha.....................

Matinyi uko wapi? umeacha kazi nzuri ukaaenda US kufanya nini? Sasa watu wemye vipaji kama wewe wanatoweka badala ya kukaa hapa na kushindana na wakenye kwenye shirikisho.........

Bwana, tuungane, wabongo wawe seriuos si kuogopa.
 
Eric Ongara said:
Wanaforum,

Hivi Kuna uhusiano wowote kati ya huyu Abdala Ali Hassan Mwinyi na Ali Hasan Mwinyi(Raisi mstaafu)? na Said Gharib Bilali ana uhusiano n Bilali waziri kiongozi mstaafu?
Nadhani akina Bilali wana undugu. Wakati Bilali akiwa mwalimu wa physics pale chuo kikuu miaka ya themanini alikuwa na ndugu yake ambaye naye alikuwa msomi; nadhani ndiye huyu.

kwa mtindo wa Tanzania, sintashangaa kama hata huyu Mwinyi ni mtoto wa Rais Mwinyi. Si Unajua jinsi uzawa wa Karume na Mwinyi walivyobebeshwa madaraka kiulaini pale Tanzania?
 
Mzee ES imekuwaje 'Dr' Sigara katupwa nje? kwa sababu najua ni rafiki yake sana 'Dr' Nchimbi- na nasikia alikuwa anampigia debe la nguvu sana tu! Au ndo kusema Nchimbi nguvu zake kisiasa katika CCM zinapungua?
 
hujakosea huyo aliyeshinda ubunge wa afrika mashariki ni mtoto wa Mzee Mwinyi na huyo mwingine ni ndugu ya Dk Bilali aliyekuwa waziri kiongozi, jamani kwakifupi tu ni kwamba hapa kuna mambo mengi yametokea,
kwanza idadi ya wabunge wote kutoka tanzania ni wabunge 9,
sasa inakuwaje tanzania bara yenye watu milioni 35 ipate nafasi tano halafu zanzibar yenye watu milioni mbili ipate nafasi 3?
hii maana yake nini??

Halafu kitu cha pili ni kuwa upinzani walipewa nafasi moja lakini la kusikitisha ni kuwa hata huyo mbunge mmoja amechaguliwa na wana cmm inakuwaje hapa ??

Halafu tatu hii ccm jamani sasa inatupeleka kubaya,
hivi inamaana mtu tu akiwa mtoto wa mkubwa ndio anajua uongozi??
ni kigezo gani wametumia kuwachagua hao watoto wa mwinyi na huyo wa bilali?
sasa hivi nasikia yule mtoto mwingine wa mwinyi ndio anaandaliwa akachukue urais wa zanzibar, sasa inamaana kuwa serikali ya zanzibar ni kifalme au inakuwaje?

mbona wanataka kupeana urithi hawa watu?? jamani watanzania amkeni taifa linakwenda na maji.
 
Unregistered said:
Kenyans are now talking. wow. so, they can do without tanzania. They can remove their investments in tanzania and invest somewhere, like somalia, ethiopia, sudan etc. Surely this man doesn't know what he is talking about. I am sure he doesn't own even a kijiko cha chai. The owners of those viwanda anda investments in tanzania will skin him/her alive. that is blasphemy. Kenyans, do not cheat yourselves. You need us more than we do to you. So, there is big infrastructure project to link lamu. That's very good. Go there then. The war lords in Somalia would like it. So do the janjaweed in sudan. they will enjoy your goods, they will protect you and your wealth with guns and bazookas. You don't have to worry my dear kenyan. You go there and enjoy the life of hell!

------------------------------------

YOU HAVE SAID IT ALL BROTHER!! hahahaha...what arrogant kenyan he/she is?!

That's why one man said earlier that Kenyans can do better in federation with the northern neighbours. Their community is so disintegrated, Tz can't bare that at this time. Somalia is a good match to Kenya- go ahead and make a nice and cool federation.

Hatufanyi kosa la piliiiiiiiiiiiiiii. Period!
 
ninaona rais wa awamu ya pili sasa mamo yake SUPER!!

Ni kama vile anawaanda wanaye ili hapo baadaye waje washike madaraka ya nchi yetu wakuze uchumi wa nchi yetu kama mmoja wetu alivyowahi kusema humu.
 
kama Dr.Samuel Mwita Wangwe ameshindwa katika huo uchuguzi, basi tuna kila sababu ya kuamini kwamba wapiga kura, Wabunge wa CCM, hawakuwa makini ktk kutekeleza wajibu wao.

Dr.Samuel Wangwe ni msomi na mtafiti wa masuala ya kiuchumi. moja kati ya mambo ambayo amekuwa akiyatafiti miaka ya karibuni, ni mahusiano ya kiuchumi ktk Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Kwa kweli nimepigwa na butwaa.
 
Kwa kweli tuangalie points sio kutuambia kwamba kule ulaya watu wanavuka mpaka kwa driving licence. Nani alikudanganya? Hayo mambo yaliisha baada ya 11/9. Hata kama ukiingia utafanya kitu gani? Kazi huwezi kupata ki-ulaini kama unavyofikiria kwa sababu kuna vigezo tosha vya kukufanya wewe mwenyewe urudi kwenu ulikotoka au la utaishia kusafisha vyoo, kufagia barabara na kuosha mavi ya vikongwe wasiojiweza kwenye nyumba za kuwahudumia. Kule UK wanataka watu waende kufanya kazi ambazo wao hawazitaki. Yaani kuangalia vizee ambavyo havijiwezi kuamka na kuviosha, vilevile kasafisha vyoo vyao, waulize wasomali waliopewa ukimbizi wakusimulie.

TZ watu wanaingia bila mpango na baadaye wanafanya kazi ambazo zingefanywa na Watz, Hata sasa angalia kule Japan JK ameisha shituka kuhusiana na hili. Wabongo wengi wamesoma lakini hawapatiwi nafasi na hizi kampuni uchwara ambazo zinatinga bongo eti zinainvest. hebu wizara ya kazi na uhamiaji wapewe sheria kali kulithibiti hili.

Vilevile hawa watu kwa kweli hawalipi kodi? kosa la kutokulipa kodi ni kubwa sana kule Ulaya lakini hapa bongo makampuni ya kigeni ndiyo yanaongoza kwa hili.

Hebu jaribu kuuliza TRA wanachukua kodi kiasi gani kwa maofisa wajuu wa foreign companies? Hili ni rahisi sana kwani kampuni zinaeleweka lakini ni wizi tupu kaanzia mishahara wanayolipwa na nyumba za bure na magari ambayo hayalipiwi kodi. Kule ulaya benefit kama hizi zinakodishwa.

Hawa watu wamejisahau kabisa wanalipwa mishahara nje ya nchi bila kodi halafu wanajitia eti wanaishi kwa posho. Jamani huu wizi utaendelea hivi hadi lini? Uhamiaji na wizara ya kazi zihakikishe mishahara halisi ambayo hawa wafanyakazi wanalipwa na ikatwe kodi inavyostahili.


Ukiangalia web ya homeoffice.co.uk utaona hata mishahara inayoruhusiwa kwa mgeni kufanya kazi kule UK kwa sababu ya vitu kama hivi. Matatizo yetu ni mengi sasa unataka uanzishe hili federation kumfaidisha nani? Halafu punguani M7 ameisha jitangazia kuwa yeye ni rais wa kwanza!!

Kitu cha kwanza kutathmini wageni wanaofanya kazi bongo kama wanalipa kodi sawasawa na hawavunji sheria pamoja na kampuni zao. Kazi ambazo wabongo wanaweza kufanya mtu wa nje asiruhusiwe. Mishahara yote ipite benki ili tathmini ya kodi ithibitiwe, hawa watu wanaiba sana na hata ile kodi kidogo hawataki kulipa! FEDERATION ISUBIRI TUUUUU...........
 
don't blame the poor old tanzanians,they feel threatened economically by Kenyans.It is understandable ,they can't argue rationally, so far all they have been arguing about is how proud and arrogant kenyans are, no empirical or technical evidence against EAC, it is obvious these brothers suffer from serious bout of low self esteem,hapless folks have been overtaken by Ugandans who were ten times poorer than Tanzanians in 1986 but are doing better than Tanzanians now.

Tanzanians you are east africa WEAKEST LINK.
MNAJIFANYA NG'OMBE MKAMULIWE NA NANI?
 
Mzee ES,
Nipo ndugu yangu, nafurahi kukuona unazidi kukata mbuga...naona sasa hivi ulichosema kuhusu Magufuli. Naona ndani ya chama ni mwendo wa vikumbo tu sasa hivi.
 
Back
Top Bottom