Je wajua?Unregistered said:Kenya na nchi jirani ndio walivyo maji yamewafika shingoni, wakenya wameitwa ni Manyang'au, uliza kwa nini waitwe nyang'au? Wamemchora rais wa Tanzania ati analambwa miguu na waandishi wa habari mithili yeye ni muumba. Sisi Tanzania hatuna tabia na maadili haya kwa viongozi wetu.
Vile vile wamemsuta rais eti anaongelea nchi yao pale alipokwenda Marekani, Sasa kwa sababu waandishi wengi wa Tanzania hawakujibu mapigo hayo sisi kama watanzania tumeamua kujibu.
Tunafahamu fika wenzetu walizoea tangu enzi walipopata uhuru kuwatukuza viongozi wao kila wakati wa taarifa ya habari, sijui ni mara mia ngapi hivi kwa siku na hawajaacha tabia yao chafu ya kuweka vinyesi kwenye mifuko ya Rambo. Haya sio matusi ni ukweli wa mambo hebu kaangalie maana ya nyang'au.
Tukumbuke ya wahenga, waliosema ‘ukiwasha moto kuuzima si jambo rahisi', sasa leo hii wanaomba samahani kwa mlango wa nyuma ya kwamba matusi yaachwe; hebu uliza nani alianza? Sio hivyo tu wanaendelea kututukani wanasema hatukusoma, sisi ni maskini wakutupwa n.k. sisi hatuwezi kukaa kimya tu kama waandishi wa habari walivyofanya – ukweli unauma.
Ukweli wa mambo ni kwamba hii federation inaletwa sio kuwanufaisha watanzania wote; ni wale ambao tayari wanafaidika hivyo wanahitaji kujiongezea maslahi yao. Tunao wakenya, waganda, warundi n.k. ambao wamejaa kama utitili, nakumbuka wale wliokuja kwanza kwanza miaka ya 1980 wakati wa kumuondoa nduli, tuliambiwa ni wakimbizi na tuwasaidie, walikuwa hawana kitu masikini, leo hii ni matajiri wa kutupwa na wanatamba; hata kwao hawataki kurudi tena na wanawakaribisha wenzao waje kufaidi. Kulikoni Tanzania? Political Liberation of Africa finished!
Tumewakaribisha hawa jamaa sebuleni sasa wanataka kuingia chumbani tena sio kwa amani bali fujo (fast track).
Watanzania wenzetu wameisha sema tena sio siri itabidi waanzishe kikosi cha wazalendo kupigania uhuru wa nchi hii? Hili si la mzaa tukumbuke 1998 wakati yule jamaa aliyejificha tora bora alivyowaonya nchi za magharibi na wakampuuza, leo mapigano yanaendelea. Hivi sio vitisho ‘mwenye macho haambiwi atazame'.
Uongozi wa CCM ulipiga kampeni wakati wa uchaguzi kuwapatia wananchi kazi na wale wageni wote ambao kazi zao zinaweza kufanywa na watanzania itabidi warudi makwao hususani hawa wageni kutoka Kenya, Uganda na nchi jirani. Haya ni mambo yanayofanyika diniani pote si Tanzania tu kazi ambazo wazawa tunaziweza lazima tuzifanye. Sasa kibao kinageuzwa ati tuwe na federation. Jamani tusipuuze ya wahenga ‘mwamba ngozi huvutia kwake'.
Hivi watu waliopewa dhamana ya nchi hii pamoja na usalama wa taifa wako wapi? Nchi inauzwa hivi hivi tu bure bure. Viongozi tuliowachagua wako wapi kuwaelimisha wananchi kuhusu huu uvundo.
Hata ‘generation' haijaisha tayari wale wote ambao walikuwa wanashirikiana na nchi za magharibi kutukandamiza sasa wanataka eti sisi tuungane na askari kanzu wao waliokuwa wakiwatumia. Iweje leo hii tuwe tumesahau yaliyotokea Congo, Kenya, Uganda, Somalia n.k. Hii federation ni njia nyingine ya kuanzisha vita ambavyo havitaisha ndani ya nchi yetu, ni mwanya wa kutaka kutuingilia chumbani. Waliokuwa wanatukandamiza bado wapo na wanaendelea na juhudi zao kwa njia tofauti tofauti.
Nchi zinazoandikwa vizuri leo hii katika nchi za magharibi – Kenya, Malawi n.k. ukisoma habari ya bongo basi ni mambo mabaya ya kutudhalilisha ambayo hayaandikwi kama ya wenzetu. (Utakumbuka serikali ya waingereza walivyoilalamikia BBC kuhusu habari ya kimbunga kule Florida hawakupenda habari ziandikwe zilivyokuwa lakini kwa sisi ni sawasawa). Kenya wataendelea kutumiwa na marafiki zao tu hawana ujanja. Ujanja wao ni wa alinacha. Mtoto wa chui leo hawezi kuwa paka.
Kenya wanataka hadi kesho na mtondogoo kudominate East Africa na hii ni strategy tu wameisha kubaliana wamtumie M7 ambaye ana uloho wa madaraka.
Hivi leo kweli Watanzania tumelewa amani na tunadiriki na kufikiria nchi zote hizi zilizotuzunguka ambao wanauana kila siku wanafurahia amani yetu? Wana lao jambo na ni vyema kujiweka tayari kwa ufisadi wowote maana lazima kuna mkono wa mtu. Hii ajenda sio ya Kenya, Uganda wala Warundi na kibaraka wao M7.
Wametafuta sababu na wanaona jinsi tulivyoshindwa kumiliki mali zetu na kuwaachia wafanye wanavyotaka kwenye mikoa ya Mwanza, Kagera, shinyanga, Kigoma, na ukanda wote wa mpaka na Kenya ambako njia za panya zimeshamiri.
Turudishe heshima yetu. Please do not play around with this stability built.
Dua la kuku halimpati mwewe.
Unregistered said:Je wajua?
Kweli Kabisa kwa wale wote wanao penda maendeleo!
"Hata wakati wa biashara ya utumwa kulikuwepo na waafrika wenzetu ambao walikuwa tayari kuwauza wenzao kwa wazungu au waarabu. Hao pia walikuwa vi-kulacho, wakiwemo baadhi ya machifu, wafanyabiashara na kadhalika."
Kulingana na lahaja/lafudhi yako (yani accent) wewe ni msukuma au mhaya. Wazee wetu wazanzibar, kina Titutipu na wengineo, walifanya makosa makubwa! Hawaku wauza wote utumwani, tusingalikuwa na watu wanao tumia hisia badala ya maantiki!
Je unakumbaka .......'Yalio pita sindwele tugange yajayo' Ikiwa mtu mawazo yake mafupi kuna makosa akiambiwa wazi wazi?
Ikiwa SADAC haina ajenda ilo fichwa................ sisi wazanzibari hatujui tuelimishe tafadhali. Kwani walo leta mpasuko Zanzibar niwa Tanganyika. Sasa mnataka kuzidi kutunyanyasa, sini udikteta huu jamaani?
Unregistered said:That Kenyan saying Kenyans should ignore the forum is an ignoramous who has no business being a Kenyan.So i'm supposed to figure his/her feelings have been hurt.Tough shyt.This touchy touchy ooh i'm offended attitude is bull.This ain't the era of good feelings.As a Kenyan i'm 50-50 on this EAF thing.I happen to understand the British have been a pain in the behind as per the Euro. union.What do they know about these kind of integration that we don't know?An EAF
might sound good but it smells fishy.
Unregistered said:Yeah, chances are you fool are just a TZN masquerading as kenyan. its obvious you aren't kenyan, and you just want to act like one, the thing is let fools argue with fools, if you are a kenyan arguing about this issue with tanzanians who by the way think,you are an arrogant,greedy and predatory scavenging hyena maybe you deserve to keep arguing on this forum.if you have any substance and and common sense you would keep off the insult market this forum has turned out to be and let tanzanians settle their own differences on the issue of EAC,
well as for exposure, the only idiots exposed are TZN and their insecurities and xenophobiaand this silly shithole you call forums, we don't beg to join you, you have your differences and you solve it on your own,it is pointless to prop your low self-esteem by pointing out your neighbours problems. idiocy is rampant and this forum is a den of vultures fool of dinosaurs.keep your fossilized ideas to yourself and eat your patriotism for breakfast you inconsequential idiotUnregistered said:Chances are - you have been exposed with your idiotic views and you feel isolated. Tanzanias are far ahead of your thoughts, we are not going to sell our country to you or anybody else who thinks he can come with this federation idea. As for insults, you started and now you just got a preamble. Better discussions about important things will follow without you.
this forum is jus full of fringe tanzanian views, it is pointless for kenyans to keep arguing with people who always say, "we dont want the federation" and then keep on ranting about nyangaus and all that shyt, i question the honsty and integrity of this forum and its "moderators" I wish all level headed people will stay off this forum let the buggers deal with their own crap, i have said, please Keep off .don't argue with this BONGO lala's they are a ery small minority of disillusioned tanzanians who couldn't get ahead in life and are lookin for scapegoats, most tanzanians have no problems with the federation its only ten tanzanian guys who keep contributing to these forum who have a problem, the 20 million of them out there are ready to go on with the community, even JK is good with it,Unregistered said:well as for exposure, the only idiots exposed are TZN and their insecurities and xenophobiaand this silly shithole you call forums, we don't beg to join you, you have your differences and you solve it on your own,it is pointless to prop your low self-esteem by pointing out your neighbours problems. idiocy is rampant and this forum is a den of vultures fool of dinosaurs.keep your fossilized ideas to yourself and eat your patriotism for breakfast you inconsequential idiot
Unregistered said:tmost tanzanians have no problems with the federation its only ten tanzanian guys who keep contributing to these forum who have a problem, the 20 million of them out there are ready to go on with the community, even JK is good with it,
Unregistered said:Yeah, chances are you fool are just a TZN masquerading as kenyan. its obvious you aren't kenyan, and you just want to act like one, the thing is let fools argue with fools, if you are a kenyan arguing about this issue with tanzanians who by the way think,you are an arrogant,greedy and predatory scavenging hyena maybe you deserve to keep arguing on this forum.if you have any substance and and common sense you would keep off the insult market this forum has turned out to be and let tanzanians settle their own differences on the issue of EAC,
TzPride said:----------------------
Kumbuka...
Huu si mjadala wa muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar, ni juu ya EAF. Unatakiwa utoe maoni yako kama Mtanzania, kama unaukana uraia wako basi hilo nalo ni jambo lingine. Sawa yakhe?
------------------Unregistered said:Kenyans should really consider the effect of joining with Tanzania.
Tanzania allows wildlife hunting!....they call it 'sport hunting' as though there is any sport in killing elephants just for the ivory.
And they still have the guts for blaming Kenya for their tourism state.
Already we have a problem because Amboseli crosses both countries. Kenya spends time and energy to protect wildlife and yet when they season cross to Tanzania...they shoot them down.
This has happened to many prime elephant bulls! Imagine it takes a whole 40-50 years for an elephant bull to reach its prime, most strong and healthy mating and then all it needs to do is making the mistake of crossing into Tanzania where they shoot it down as hunting is legal!!!
And they still have the guts to blame kenyans over the state of their tourism...wont be surprising that the animals sense how Tanzanians treat them and in a while some will simply not cross over.
If we join with them Tanzanians might come in and kill of all our animals that we are working so hard to preserve!
Unregistered said:Udikteta maradufu
Hutaki wazanzibari watoe maoni yao? Kutoa maoni sio kukana uraia. Hilo ni dhana laki zuzu kabisa.
Talk to Zanzibaris about hunting and oppressing pple.TzPride said:------------------
Mmmhh!!..you dont hunt and kill animals but you hunt and kill yourselves!!!. Ethenic clashes! mmh...Keep it for yourself .
Told you so but the Forum admin decided to delete my post!Unregistered said:this forum is jus full of fringe tanzanian views, it is pointless for kenyans to keep arguing with people who always say, "we dont want the federation" and then keep on ranting about nyangaus and all that shyt, i question the honsty and integrity of this forum and its "moderators" I wish all level headed people will stay off this forum let the buggers deal with their own crap, i have said, please Keep off .don't argue with this BONGO lala's they are a ery small minority of disillusioned tanzanians who couldn't get ahead in life and are lookin for scapegoats,
Unregistered said:Zanzibar, COMESA, SADAC na EAF
Kwa zaidi ya miongo mitatu, Zanzibar imekuwa chini ya minyororo ya watanganyika. Kwakweli hili si swala laku puuzwa bila kulitazama kwa maakini. Kuna maswali kadha ya kujibiwa:
1. Zanzibar imenyanyaswa vipi?
2. Zanzibar inahaki yaku jiunga na makundi kama SADAC/COMESA n.k.
3. Zanzibar inapaswa kuwa pamoja na Tanganyika katika shirikisho la Afrika Mashariki
4. Uaamuzi ni wa wazanzibari
Zanzibar Imenyanyaswa Vipi
Baada ya kunyonya mali ghafi ya Zanzibar, walafi na mabaradhuli toka bara sasa wana tuchukulia hivi hivi! Karafuu ya Zanzibar, kwa zaidi ya miaka 30 imeisaidia kuinua uchumi wa Tanganyika uliokuwa matatani kwa shauri ya serere holela za chama tawala (Ujamaa). Leo wazanzibari walo amua kukimbilia nchi kama Oman, UAE (kwajumla Umangani) na hata Ulaya na marekani wameweza kuji mudu na kwakweli wana uwezo waki fedha. Hizo hela wanazituma mara baada ya mara ilikuwasaidia ndugu jamaa na marafiki. Wanaipa TRA nafasi yaku toza ushuru za uwongo na kweli!
Kweli tulidanganywa kabisa kujumuika na mahayawani walio nyonya mali ghafi ya Zanzibar! Laiti Zanzibar ingelikuwa peke yake leo tusingalikuwa namatatizo ya kiuchumi. Tume beba mzigo wa Tangayika na sasa wana taka kutupele SADAC! Jamaani tuna ukoo upi nahao wana SADAC wanao pigiwa debe kila kukicha? Lazima tuamke. Wazanzibari wote wajitokeze kwenye kikao hichi na waseme waziwazi hatutaki hiyo SADAC ukoo wetu ukaribu na wenzentu walo COMESA k.m. Misiri, Libya ambao wako COMESA. Pili wenzetu wako Kismayu (Somalia), Lamu, Siyu, Pate n.k. Hatutaki hiyo SADAC. Tumeikataa katukatu! Unyanysaji ni lazma ukome.
Zanzibar inahaki yaku jiunga na makundi kama SADAC/COMESA n.k.
Zanzibar ni mwana chama kamili wa Islamic Conference Organization (ICO), FIFA n.k. Zanzibar inahaki ya kujiunga na COMESA. Nimuhimu sana kwa waakilishi wetu wa upinzani na serekali waungane pamoja ilitulitatue swala hili la muhimu sana kwa wafanyi biashara Zanzibar. Miaka nenda miaka rudi tumekuwa tukizungumzia free port je hii free port ni yakuwanufaisha wa lafi toka Tanganyika? Unyanyasaji utakoma.
Zanzibar inapaswa kuwa pamoja na Tanganyika katika shirikisho la Afrika Mashariki
Tangayika itajiamulia yenyewe, Zanzibar siyo koloni ya Tanganyika. Matokeo ya kura yata onyeshwa waziwazi kwamba Wazanzibari wote wana tazama mashariki na watanganyika Kusini (Je kwa wale walo wahi kuishi umangani mwakumbuka ile riwaya ya mkusni?) Kwa hivyo si lazma tuwe pamoja. Hapo ndipo unyonyaji wa mali ghafi ya Zanzibar uta koma kabisa!
Uaamuzi ni wa wazanzibari
Haya yote, kama ilivyo desturi ya wazanzibari yata aamuliwa kupitia kura. Pasipo kuingiliwa kati na mahayawani big brother ukweli utajitokeza. Baada ya kura, Zanzibar itakuwa huru na unyanyasaji na unyonyaji wa mali ghafi utakoma!
Zanzibar itakuwa huru! Free at last ..
Unregistered said:Talk to Zanzibaris about hunting and oppressing pple.
Wild animals are just as important as humans. We need each other to co-exist as our ancestors have already done.
Tanzanians are destroying that balance by legalizing hunting...and its not even them who shoot for food or something its foreigners you allow to come do it just for sport and for trophys...your ancestors must be turning in their graves!