East African Federation (EAF) public Views

Unregistered

It seems you do not read between the lines. Tanzania is not your mother or father. We are tired of other peoples problems; we you are developed so what? Leave us alone with our poverty - Period!

You should know how happy I am for not being a Tanzanian! ask your people to go to school, only knowledge will help your country to fit in the EAC, stop the inferiority complex. It is because you are aware of your incompetence that you using other peoples' problems as an escapegoat. By the way if Tanzania is a country of angels, let's unanimously pray that all the 37 million souls in your country go to heaven overnight!
 

Hey why do u bother? what is in this for you? Can u leave Tanzanians alone??!!!!
 
nadhani maoni haya unaweza kuyasambaza kwenye mtandao


‘Woga ni silaha dhaifu katika maendeleo'
* Tumezidi kulalama

---------- EAC-----------------------------
Naomba niwarudishe katika mambo ninayofikiri ni ya msingi.
Naamini kwamba lengo ni kwa watanzania kuwa na maisha bora (hii inatakiwa kuwa ni Matakwa ya kitaifa - national interest), hii ni pamoja na

kuwa na mahali bora pa kuishi
kuwa na chakula bora cha kutosha, ikiwemo maji safi na salama,
kuwa na elimu ya ujuzi na yakuwezesha kufanya maamuzi bora kwa ujumla
kuwepo usafiri bora wa kuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine
kuwa na umeme
kuwa na huduma bora za afya etc

swali, ni namna gani shirikisho hili la afrika mashariki linaweza kusaidia kuwafikisha watanzania katika malengo hayo. kwa kweli kama lengo sio kuwawezesha watanzania basi hakuna haja, hata kidogo ya kulizungumzia swala hili (kwa sababu kutakuwa hakuna matakwa ya kitaifa)

Sijui sababu hasa ni kwanini Tanzania pamoja na kuwa na mali nyingi na watu wa kutosha, imeshindwa kufikia malengo ya hapo juu lakini baadhi ya sababu nafikiri ni;

-kukoseka na kwa muongozo (katiba) sahihi kwa watanzania na,
-kukosekana kwa uongozi wenje ujuzi wa kutosha wa kuweza, angalau, kuweka msingi wa kufikia malengo hayo.

SIONI NI JINSI GANI SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI LINAWEZA KUTIMIZA LENGO HATA MOJA KWA WATANZANIA IWAPO KILA NCHI KIPEEKEE IMESHINDWA!!

hivyo nafikiri, wabongo turudi kwenye maabara (drawing board) tufanya uchunguzi wa matatizo makubwa yanayotukabili.


--------------lugha/language--------------

Kuna tatizo la lugha bongo.

kwa mtazamo wangu mfumo wa elimu wetu unabidi uweke msisitizo wa makusudi wa ufundishaji na utumiaji wa lugha fasaha Tanzania.

Msisitizo uwe kwa lugha mbili

kiswahili na kiingereza - lazima kwa kila mbongo
lugha ya kabila - option


kwa hali ya sasa wabongo wengi hawawezi kuongea kiswahili wala kiingereza kilicho fasaha.
------------------------------------------------------

asanteni.
 
Kwanza napenda kuipongeza serikali kwa kutoa nafasi hii ili wananchi watoe maoni yao juu ya mambo muhimu yanayohusu nchi yao. Tatizo kubwa ni kuwa wananchi walio wengi hawajui watoe wapi maoni yao.

Maoni yangu mimi ni kuwa sisi nchi tatu tutafute uwezekano wa kushirikiana kibiashara kuliko kuunganisha hizi nchi kisiasa. mimi na nisinge penda kuupoteza Utanzania wangu. Hivyo mimi sikubaliani na muunganiko huu. Pili ukiangalia Watanzania tutapoteza kwenye nyanja nyingi ukianza na ajira nakadhalika. Watanzania wana ardhi kubwa ambayo nadhani ndio Waganda na Wakenya wanayo kimbilia. Watanzania ni wapole, nisinge penda upendo wetu upunguzwe na ukorofi wa hao washirika.

kwa kumalizia ninge pendelea kama serikali ya Tanzania ingejitahidi sasa hivi kuanza kuwaelimisha wananchi wake kwa nguvu zaidi, kujitahidi kuongeza uzalishaji zaidi ikiwa ni pamoja na kujitahidi kuitumia ardhi nzuri tulia nayo na uzalishaji viwandani na baadaye katika miaka 100 ijayo ndio tufikirie kujiunga na umoja huo.
 
marais wote wana uchu wa madaraka.lakinini hakuna mwenye sifa ya kuongoza jumuiya.pili nchi ambazo zinataka shirikisho nyingine hazina sifa ya shirikisho,mfano Rwanda,Burundi,Uganga na Kenya zenyewe bado zinamachafuko ya kikabila,Uhasi,sasa sisi tuungane na nchi hizo kwa kutafuta nini.mimi nadhani sisi Watanzania hatuhitaji hilo shirikisho zaidi kama viongozi wetu wanavyodhani.
 


What is it that you expected to get from Tanzania or EAC that makes you so sour? you got a home, right? stay there and stop crying for your neighbour's house!
 
kuundwa kwa jumuia ya africa mashariki kwa kweli ni mkombozi wa wanyonge na huenda kama tutakuwa makini, tatazipiga bao hata hci za ulaya kwa sababu kuna nguvu tukizishirikisha tunaweza kwenda mbali. wabongo (watanzania) na waganda wana rasilimali nyingi lakini wakenya ni wajanja. wabongo na waganda wakitumia ujanja watakaoupata kwa wakenya, mambo yatakuwa tambarare sana.

Ukiangalia nchi kama scheck, spain na nyinginezo, zimekuwa first world baada ya jumuia ya ulaya.

hata hivyo wabongo wanatakiwa wachangamkie opportunities which come on their ways. naunga mkono jumuiya mimi kwa mikono miwili
 
May be you don't know, Spain ni nchi ambayo inapewa pesa nyingi na EU na nchi zote zinazokimbilia kujiunga na EU zinafanya hivyo kwa mategemeo ya kupata pesa za bure bure. Je Spain na Check zimekuwa first world kama unavyosema au ni vibaraka tu?

Ni sawa na Kenya unasema ni wajanja, Je ni wajanja kweli au mali yote wamewapa wageni kutoka UK? Sasa hawana wanalolimiliki na kusema ni lao bali ni mirija kutoka UK. Una data wewe za Kenya? Acha kutufunga kamba wewe. Unaifahamu Kenya vizuri au ni uzushi mwingine kama wa Spain kuwa 1st world.

Tafadhali usiweke mfano wa EU maana wamepinga kwa hali na mali hiyo jumuiya na sasa wamerudi kwenye drawing board. Mambo yatakuwa tambarare lini wakati unaongeza matatizo, masikini juu ya masikini na kwa taarifa tu kuna watu wamejua nini nyie watanzania hamkioni hivyo wanataka kuja kukichukua mapema kabla ya kuamka. endeleeni kuuza utajiri wenu kama Mkapa alivyoanza - 'a useless dog'.
 
Mini nadhani ni bora tukajitoa kwanza kwa maana ninaona mwisho sisi Watanzania tutakuja kujuta.


kwanza; gharama za uzalishaji hapa ni kubwa kulinganisha na kwa wenzetu kutokana na sababu mbalimbali ambazo zinaeleweka.

Pili; hivi sasa Watanzania walioajiriwa Kenya au Uganda ni wachache sana na hao wachache wameajiriwa katika nafasi ndogo sana katika nchi hizo kwahivyo hizi nchi mbili zina advantage ya kututawala katita maswala mbalimbali kuliko sisi.

Tatu; Watanzania ni wapole na wapenda amani kuliko wenzetu. Tusije tukaingia tukajikuta tuna haribu hii sifa.

Nne; Ardhi yetu ni kubwa na ni nzuri kulinganisha na wenzetu. Kwajinsi tulivyo lelewa wala hatujui thamani ya ardhi ukilinganisha na wenzetu. Tukijiunga tu tutajikuta sisi ni manamba katika nchi yetu wenyewe.

Kwa ujumla ningependa tupewe muda zaidi ili tuwaelimishe wananchi wetu na tujipange vizuri kwa uzalishaji wa vyakula na viwandani halafu tuangalie faida kwa watanzania kwa kujiunga na jumuia hiyo kama zitazidi hasara ndipo tujiunge. ninapendekeza uamuzi utolewe na watanzania wote ikiwezekana katika kipindi cha miaka hamsini mpaka mia.
 
Kwa wale ambao wanatamani kusoma maoni ya wakenya kuhusu EAST AFRICA naomba mbonyeze hapo chini.

http://kikuyu.com/eve/forums/a/tpc/f/497108348/m/6601057271?r=6601057271#6601057271

Au soma:

 
Kwa wale ambao wanatamani kusoma maoni ya wakenya kuhusu EAST AFRICA naomba mbonyeze hapo chini.

http://kikuyu.com/eve/forums/a/tpc/f/497108348/m/6601057271?r=6601057271#6601057271

Au soma:

i think the shyt has hit the fan.Suddenly u Tzerians have realised Kenyans were not for EAF in the first place.U thought Kenyans would come begging on your streets for a kumbaya.Fat chance.We don't represent that way.We flow an roll as to the call of the new dawn.The Kenyan way.Big up Kenyans!!Say a hell ya!!
 
Nyachae: Fight against tribalism is a challenge for all

Story by ANGWENYI GICHANA
Publication Date: 2/25/2007

The fight against tribalism in the country is a challenge for every Kenyan, Roads minister Simeon Nyachae said yesterday.

The Ford People leader said: “Tribalism will not die in this country and the whole world soon. I’m not propagating tribalism but you cannot kill tribes. They are here to stay.”

He however urged communities to positively use their tribes in uniting all Kenyans.

Speaking at Gusii Institute of Technology during the launch of Abagusii Cultural and Development Council, the Nyaribari Chache MP said uniting the Kisii community for a common cause was not propagating tribalism.

He hailed the formation of the council and asked the elders and members not to politicise it. “Keep us (politicians) off your organisation if you want to succeed,” said the Roads minister.

He asked the clergy to bar politicians from taking over funeral ceremonies. “It is very sad that we are allowed to politic at funerals. Pastors should not allow politicking at funerals. Because of politicking, I fear going to funerals,” he added.

He was accompanied by Planning minister Henry Obwocha, assistant minister for Sports Joel Onyancha, MPs Mwancha Okioma, Godfrey Masanya, Zebedeo Opore, Jimmy Angwenyi, Stephen Manoti and Hezron Manduku.

Mr Nyachae hinted that his days in politics were numbered. “I have been at the top and I am now coming down. When the right time comes, I will retire from politics,” he said.
 
Unregistered,
The message itself is delivered by one Kikuyu!, a proud Kikuyu before his country, yet you cant see the problem..

Kenyans are much likely to be alone on this. because even Ugandans will never join partnership with Kenya!.. that is a fact, none of east african country can deal with Kenyans except Tanzania. We understand you better than anyone out there and we can handle your blaaa! blaaa! blaa!..

Tanzanians are more comfortable with the expression of intense feelings. Kenyans and Tutsis not Rwandese dreads intensity, especially on heated conflict which points to them.
Now, these Kikuyu have emotionally withdraw by aggressively expressing their resentments in a derogatory manner as if they are on cannabis, cocaine, or other mood altering chemical. Do they represent Kenyans or Kikuyu tribe?
Problem we have with Zanzibar is nothing more than just Constitutional. nothing to deal with tribalism. or explain common sydrome of tribalism as you have practice in the passed and still preach.
You define Political party by tribes, life style and all you touch stink tribalism.. we don't.

Now, demonstrating through verbal threat, trying to lie or deceive Tanzania in order to avoid exposing broken agreements or irresponsible behavior is one thing. Finding a new partner is another!
Shop around brother, you may come to see the light.
 
What use is an East African president if he is not elected?


E-mail: cobbo@nation.co.ke

Ujinga usio kifani, tumekuwa tunauliza kila siku nini katiba ya hii jumuiya lakini hatupati jibu, sasa ni wachache tu walioahidiwa vyeo na matajiri wao ndio wanajua siri.
 
Mbeya residents want EA federation deferred
 
Ninadhani ninazifahamu hasara za kujiunga. Ninaomba mtu yoyote aorodheshe faida za huu umoja kwa Watanzania, Wakenya, na Waganda. Unajua tukishughulika na faida kulinganisha na Hasara tutakuwa na uwezo wa kufika mwisho na kujua kama umoja huu ni mzuri au mbaya. Faida ziwe zinamlenga Mwana wa Africa Mashariki na sio wageni waliowekeza au wanaotarajia kuwekeza katika nchi hizo.
 
Mjadala unaelekea patamu; hivi ndivyo alivoona Gado

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…