East African Federation (EAF) public Views

East African Federation (EAF) public Views

"The protocol, which was signed on November 20, last year, allows free movement of goods, services, capital and labour in the bloc. It comes into effect at midnight.":frusty:
 
ningependa EAC iwepo bila Kenya; mimi nawaona hawa ni wezi tu; majirani wanaotuangalia kwa jicho la Husda. Wa Tz tuweni macho na hawa jamaa; Nasikia walishawahi kujitangangazia Mt.Kill upo Naii.

Let's make their life miserable here in Tz.
 
Let's make their life miserable here in Tz.

hahahahahaha... wacha nitafute link nikueleze jinsi kibaki alisema... hamwezi fanya chochote, hii ni gumzo tu kama ya pale kijiweni, you can do nothing. Ingekuwa Mkenya anatoa hilo tisho, ninge gwaya kidogo, lakini mbongo, wala siogopi.
 
Kama ni habari ya FREE LABOUR and CAPITAL sioni kama ni tatizo hapa! Kwenye ardhi, chonde chonde, Kenya ardhi imeisha, Burundi na Rwanda ndio hakuna hata pa kuweka miguu, Uganda nako ndio hivyo, tutatoana macho jamani mbele ya safari! Oh, oooooo!
 
The Head of State pointed out that the Common Market will also lead to the free movement of labour,services within the region and open up employment opportunities for people of the East African Community member states.

"The Common Market will avail greater opportunities for trade in goods and services. The common market will also provide opportunities for greater capital mobilization to boost investment in the region," President Kibaki said.

President Kibaki was speaking Wednesday evening at Kenyatta International Conference Centre, Nairobi where he officiated at the colourful launch.

The President, therefore, urged elected leaders at all levels to embrace the market and the East African Community integration in general.

The President said public servants should also play a greater role in the process to enable Kenyans to reap the benefits of this positive development, noting that despite the huge potential benefits inherent in the East African Community integration process some Kenyans were still not fully aware about what the community means to them.

"It is my expectation that public servants charged with executing the Common Market especially those responsible for immigration, labour, customs and education will facilitate the process rather than adopt a control attitude," President Kibaki said.

Noting that the existence of work permit fee chargeable to EAC citizens seeking employment in the region is a barrier to the enjoyment of the freedom of movement of workers, the President pointed out that Rwanda and Kenya have entered into a bilateral arrangement where they have mutually waived the fee for work permits for their citizens.

In this regard, the Head of State directed the Kenyan Immigration Minister to waive fees on work permits for all East African citizens to facilitate the EAC citizens seeking work in Kenya.

President Kibaki also called for amendment of national legislations which are not in harmony with the requirements of a Common Market as espoused in the Protocol to conform with the new development so as to extend national treatment to all EAC citizens.

In this connection, the President directed the Attorney General to take measures to prepare a miscellaneous amendment Bill to table in Parliament for their consideration.

President Kibaki also took the opportunity to salute the founding fathers of EAC Mzee Jomo Kenyatta, Mwalimu Julius Nyerere and Dr. Milton Obote for their vision and thanked them for planting the seed of East Africa.

"Despite the challenges we have faced their vision of a strong East African Community has lived on," the Head of State said.

Noting that the community is now made up of five states following the successful entry of Rwanda and Burundi, the President also commended the people of these two nations for having the faith and trust to join the East African Community.
capital, goods and
Said the President: "Together we are now five countries with a total area of 1.85 million square kilometers, a combined population of 126 million people and a combined GDP of 75 billion U.S. dollars. This is a great region with vast potential for business and social networking for our people.


President Kibaki also noted with satisfaction the successful implementation of the East African Customs Union is bringing tangible benefits to all the EAC partner states, adding that the revival of the Community in general has led to increased trade among the partner States.

He observed that contrary to fears that were expressed, implementation of the Customs Union has now led to increased revenues across all the partner states.

"Increased cross-border investment within the region is being realized and firms are now increasingly basing their business plans on the regional market, rather than the national market," the President said.

The President also pointed out that the Foreign Direct Investment trend in the EAC region has been on the upward trend, saying according to the Uganda Investment Authority Kenya is among the top 10 sources of foreign direct investment to Uganda with 27 licensed investment projects worth 158 million US dollars


In Tanzania, President Kibaki said, Kenya is the second biggest investor with 270 companies operating there providing jobs for more than 100,000 people.


In this connection, the President also saluted modern day movers of the community, Kenya's retired President Daniel Arap Moi, retired President Benjamin Mkapa of Tanzania and President Yoweri Museveni of Uganda who held a meeting in Harare, Zimbabwe in 1991 and agreed to revive the East African Community.

President Kibaki that the Harare meeting led to the establishment of the Permanent Tripartite Commission in 1993 and the formation of the EAC Secretariat in 1996, institutions which oversaw the negotiations and the ultimate signing of the Treaty for the Establishment of the East African Community on 30th November 1999.

"The Treaty which came into force on 7th July, 2000 provided for the four land marks in the EAC integration process of the Customs Union, Common Market, Monetary Union and ultimately the Political Federation," the President pointed out.

The President congratulated all citizens of East Africa for the historic achievement and wished them great prosperity under the East African Common Market.

Speaking during the occasion, Vice- President Kalonzo Musyoka commended President Kibaki and other EAC Heads of State for expanding the community to five members with a population of 126 million people.

The Vice-President noted that the integration process has come a long way and a lot of progress has been made, adding that the EAC now stands tall as a regional economic bloc.

On his part, East African Community Minister Amason Kingi thanked President Kibaki for according full support to the EAC integration process.

Minister Kingi said the President's dedication and commitment to the EAC has boosted his ministry's morale and enabled it to conduct its activities successfully.

Other speakers at the occasion were the Kenya Association of Manufacturers Chairman Vimal Shah and the East African Community Permanent Secretary David Nalo.






sasa naingoja speech ya kikwete akiamuru work permits ziwe abolished na watu wawe huru kununua mashamba Tanzania. How much I love being an East African citizen.
 
Sidhani kama atathubutu kutoa statement kama hiyo ndugu yangu. Hiki ni kipindi cha muhimu kwake ataogopa kukosea step.
Atasema yooote, lakini hilo la kufuta work permits...mh!
 
sasa naingoja speech ya kikwete akiamuru work permits ziwe abolished na watu wawe huru kununua mashamba Tanzania. How much I love being an East African citizen.

work permit na kununua mashamba kuna uhusiano gani smatta, hivi unafikiri icho kitu kitaweza kutokea katika ulimwengu huu wa sasa kwamba mkenya aruhusiwe kununua mashamba tz?...

The only mashamba utapata hapa ni kwa njia ya uwekezaji tu, na sheria hapa tz inakuruhusu kupata ardhi hadi kwa miaka 99 pamoja na kwamba wewe ni mkenya, but only kwa kuwekeza, tatizo nyie mnakuja kwa nia ya kugrab our land, na sio kufanya biashara etc..icho kitu sahau.

Mtaruhusiwa kuja kufanya kazi hapa sawa, lakini hamtakuja kupata nafasi ya kumiliki ardhi hapa tz hata siku moja...na hata ukinunua kwa njia isiyo halali, utakuwa umeweka asset yako kwenye risk kubwa kwasababu muda wowote selikali ikikugundua, utafyata mkia mara moja.
 
JK, AM SURE WILL NOT MOVE HIS LIP ON THIS, NA HATA AKISEMA itakuwa so mean!....Being a Tanzanian, i cross my fingers over this matter!...Issues concerning land are very poorly managed here at country level, what is it gonna be coming intergration?...Upimaji wa viwanja vya nyumba za kuishi tu umeshindikana nchi hii (pamoja na kwamba ni maeneo ya mijini)., WHO is gonna manage the vast land lying in the villages from Mtwara up to Kyaka, and Mafia to Kigoma...!~The no-man's-land will at last gain permenent ownership now...Nitapata ugonjwa wa MOYO soon..ni bora kufa kuliko kushuhudia MAJI-TAKA hii in-store for us!
 
Heshima mbele Smatta,

Nadhani suala la ardhi halimo kwenye market protocol,bila shaka umeamua kuwachokoza waTz pengine kuchangamsha jamvi.
 
Kama ni habari ya FREE LABOUR and CAPITAL sioni kama ni tatizo hapa! Kwenye ardhi, chonde chonde, Kenya ardhi imeisha, Burundi na Rwanda ndio hakuna hata pa kuweka miguu, Uganda nako ndio hivyo, tutatoana macho jamani mbele ya safari! Oh, oooooo!

Capital hamna shida bro. Labor ni tatizo kwa kuwa hao jamaa ni vilaza tu. Hakuna ujuzi wanaoleta, waje wafundishe kiingereza watoto wetu kwa bei poa, hiyo labda. lakini hawana lolote jingine. Hatuhitaji mhasibu wa kuja kuhesabu hela hapa TZ, we can do it good.

Kwenye sciences they are going to spoil our kids, nilisoma na wakenya na waganda..kichwani watupu. Na ninajua kwa nini! Kutandika vitanda, hata waTZ nadhani wanajua sana au watajua. Hizi nchi zote nimeshazitembelea, hizo huduma wanazosema wanajua, ni mtazamo.

Nilishasubiri huduma kwenye vinchi vyao kama ninavyosubiri hapa Bongo, hamna lolote. Bongo hapa inategemea unakwenda wapi na management iko vipi, na kwao ni hivyo hivyo tu. Michosho tu, hakuna cha nini wala nini. Wasituletee njaa zao kwa ku-take advantage ya wala rushwa wa immigration. Lakini kitaeleweka, sisi tumeshika mpini.

Na wewe Smatta unasema nini kuhusu kibaki, kile kikongwe kijizi cha urais, unadhani kinaweza dictate terms kuhusu Jamhuri ya Muungano? Au ni kujiliwaza tu. Nasikia Raila amepata mtindio wa ubongo, pole bwana. Nadhani ni stress ya kuibiwa kura na kibaki na kupokwa urais!
 
sasa naingoja speech ya kikwete akiamuru work permits ziwe abolished na watu wawe huru kununua mashamba Tanzania. How much I love being an East African citizen.

Just a bit curious, do you own land in your country? do you have a good paying job there?. Are you ready to leave your good life behind and go to TZ to start over?...:twitch:

Expectation za watu juu ya hii kitu zimekuwa ni kubwa zaidi ya hali halisi. Ni kweli kazi zinaweza patikana lakini majirani wasidhani kuwa zitakuwa ni "dream jobs" . Kuna wabongo wengi tu ambao tu/wanaishi na kufanyakazi, biashara nje ya nchi mbona sijaona kama tu/wanatamani kurudi kwa sababu tu ya hii protocol!, uchumi bado unakua kwa hiyo kazi bado nizilele zakupigania kwa manati na hakika preference zitakuwa ni kwa wazawa wa nchi husika.

Watakaofaidika ni wale ambao nia yao ni kuwekeza katika biashara kwenye nchi husika.
 
In Tanzania, President Kibaki said, Kenya is the second biggest investor with 270 companies operating there providing jobs for more than 100,000 people.

====

sasa naingoja speech ya kikwete akiamuru work permits ziwe abolished na watu wawe huru kununua mashamba Tanzania. How much I love being an East African citizen.

I repeat again and again, there are no Kenyan companies in Tanzania but Western companies that are incorporated in Kenya that are now either diversifying or divest in Kenya and invest in Tanzania so the Lame Kibaki should corrrect his statements NO KENYAN OWNED COMPANIES that invested in Tanzania, keep dreaming to be second investor in Tanzania!

Keep fantasizing!
 
[/COLOR]

Just a bit curious, do you own land in your country? do you have a good paying job there?. Are you ready to leave your good life behind and go to TZ to start over?...:twitch:

Expectation za watu juu ya hii kitu zimekuwa ni kubwa zaidi ya hali halisi. Ni kweli kazi zinaweza patikana lakini majirani wasidhani kuwa zitakuwa ni "dream jobs" . Kuna wabongo wengi tu ambao tu/wanaishi na kufanyakazi, biashara nje ya nchi mbona sijaona kama tu/wanatamani kurudi kwa sababu tu ya hii protocol!, uchumi bado unakua kwa hiyo kazi bado nizilele zakupigania kwa manati na hakika preference zitakuwa ni kwa wazawa wa nchi husika.

Watakaofaidika ni wale ambao nia yao ni kuwekeza katika biashara kwenye nchi husika.

Heshima mbele mkuu,

Of course I own land in Kenya, but I wouldn't mind getting another piece in a foreign country with so much mineral potential, its every mans dream to own a piece of land that might strike oil, gold, gas or any other valuable natural resource....

And no am not employed, am a businessman hapa tanzania na Nrb. so i'll be realising my benefit faster than most of you employed workers.
 
I repeat again and again, there are no Kenyan companies in Tanzania but Western companies that are incorporated in Kenya that are now either diversifying or divest in Kenya and invest in Tanzania so the Lame Kibaki should corrrect his statements NO KENYAN OWNED COMPANIES that invested in Tanzania, keep dreaming to be second investor in Tanzania! Keep fantasizing!

Usitutoe nje ya mada, tushakuskia, hayo makampuni si ya babu zetu ni ya wazungu sijui waarabu (I swear this doesnt bother me at all, never has and never will), sawa? sasa changia mada bila kutuchanganya na rhetoric za nani ana own nini, usiangalie ya wenzako wewe hapo ulipo una nini kilichoandikishwa kwa jina lako? thought so. Tuchangie bila matusi wala kupiga vifua, Julai Mosi ndio hii, twamgoja mkulu kikwete aseme yalio moyoni.
 
Capital hamna shida bro. Labor ni tatizo kwa kuwa hao jamaa ni vilaza tu. Hakuna ujuzi wanaoleta, waje wafundishe kiingereza watoto wetu kwa bei poa, hiyo labda. lakini hawana lolote jingine. Hatuhitaji mhasibu wa kuja kuhesabu hela hapa TZ, we can do it good. Kwenye sciences they are going to spoil our kids, nilisoma na wakenya na waganda..kichwani watupu. Na ninajua kwa nini! Kutandika vitanda, hata waTZ nadhani wanajua sana au watajua. Hizi nchi zote nimeshazitembelea, hizo huduma wanazosema wanajua, ni mtazamo. Nilshasubiri huduma kwenye vinchi vyao kama ninavyosubiri hapa Bongo, hamna lolote. Bongo hapa inategemea unakwenda wapi na management iko vipi, na kwao ni hivyo hivyo tu. Michosho tu, hakuna cha nini wala nini. Wasituletee njaa zao kwa ku-take advantage ya wala rushwa wa immigration. Lakini kitaeleweka, sisi tumeshika mpini. Na wewe Smatta unasema nini kuhusu kibaki, kile kikongwe kijizi cha urais, unadhani kinaweza dictate terms kuhusu Jamhuri ya Muungano? Au ni kujiliwaza tu. Nasikia Raila amepata mtindio wa ubongo, pole bwana. Nadhani ni stress ya kuibiwa kura na kibaki na kupokwa urais!

Ndugu zanguni, msiogope MCHAKATO WA hii EAC.

Katika mazingira yeyote yale TZ ndio tutawaongoza na ndio maana wanatulilia.

Kwanza nchi yetu ni kubwa kuliko zao.

Pili idadi yetu ni kubwa kuliko wao.

Tatu kisiasa tumejipanga vizuri zaidi kuliko wao.

Nne tunakubaliana sana wenyewe kwa wenyewe licha ya tofauti za makabila kuliko wao.

Tano sauti yetu ndio kubwa kuliko wao, angalia tulivyochelewesha mpango mzima mpaka hapa tulipo fikia kwani wao walitaka mambo yote yatokee kwa mwaka mmoja tu bila kupanga mikakati.

Sita, wanajua kuwa wao wanatuhitaji zaidi kuliko tunavyowahitaji hivyo ikiwa mambo yatakwenda mrama kwetu kuuvunja huo muungano ni jambo la siku moja tu. Tulishawahi kufanya hivyo si wageni wa hilo. Hii inawafanya wao wawe na tahadhari kabisa.

Saba tunaongoza katika hali ya hewa nzuri, ardhi nzuri katika kilimo, madini, misitu, maji (mito, maziwa, bahari) na hata watalii huongezeka kuja TZ mwaka hata mwaka huku Kenya iliyokuwa ikiongoza kwa watalii leo wanapungua. Sasa mnahitaji nini zaidi!

Hivyo napenda kuwatoeni wasi wasi kabisa kuwa mambo yatakuwa shwari. La msingi hapa ni kwa Watanzania kila mmoja wetu kuchukua nafasi kama kiongozi popote pale alipo. Uongozi, ninamaana kuwajibika na kuwa mstari wa mbele katika ubunifu na utendaji wa kazi ambao ndio utamuwezesha mtanzania kuwa na uchumi bora.

Kwa maneno mengine, pengine ningesema kuwa - kila mtanzania lazima aichukulie nafasi hii kama positive katika kukuza uchumi wake binafsi na kuacha kukaa vijiweni na kulalamika kuwa wanakuja kuchukua mali zetu, kwani wewe uko wapi? Huu ndio utandawazi hatuwezi kuuzuia, kilichopo ni kuvua nguo na kuogelea katika bahari hiyo.
 
I'm officialluy pi$$ed-off with our leadership. WOTE waliofanikisha hili I hope they die of cancer..yeah tena ile ya tiGOni.
 
Kwa wale mnaoshangilia its sad so little u do know..typical wabongo.. The next move ni kwa waamerika kuweka military base.
 
For now, they win, but who laugh last........

...Its time Chama Cha Majambazi was shown the door. I dont believe Kikwete and his gang listened
to the voice of the people. Hawa wakenya ni wezi na sio siri..nd'o maana wana moto na hii kitu.
Nashangaa Muungwana na wenzie wameshindwa kuona hili jambo.

Anyway I dont sweat it much, maana like you said when it comes to the last laugh this thing will
collapse just like the previous one.

Yangu matho tu!
 
Back
Top Bottom