Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
"The protocol, which was signed on November 20, last year, allows free movement of goods, services, capital and labour in the bloc. It comes into effect at midnight.":frusty:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let's make their life miserable here in Tz.
sasa naingoja speech ya kikwete akiamuru work permits ziwe abolished na watu wawe huru kununua mashamba Tanzania. How much I love being an East African citizen.
Kama ni habari ya FREE LABOUR and CAPITAL sioni kama ni tatizo hapa! Kwenye ardhi, chonde chonde, Kenya ardhi imeisha, Burundi na Rwanda ndio hakuna hata pa kuweka miguu, Uganda nako ndio hivyo, tutatoana macho jamani mbele ya safari! Oh, oooooo!
sasa naingoja speech ya kikwete akiamuru work permits ziwe abolished na watu wawe huru kununua mashamba Tanzania. How much I love being an East African citizen.
In Tanzania, President Kibaki said, Kenya is the second biggest investor with 270 companies operating there providing jobs for more than 100,000 people.
====
sasa naingoja speech ya kikwete akiamuru work permits ziwe abolished na watu wawe huru kununua mashamba Tanzania. How much I love being an East African citizen.
[/COLOR]
Just a bit curious, do you own land in your country? do you have a good paying job there?. Are you ready to leave your good life behind and go to TZ to start over?...:twitch:
Expectation za watu juu ya hii kitu zimekuwa ni kubwa zaidi ya hali halisi. Ni kweli kazi zinaweza patikana lakini majirani wasidhani kuwa zitakuwa ni "dream jobs" . Kuna wabongo wengi tu ambao tu/wanaishi na kufanyakazi, biashara nje ya nchi mbona sijaona kama tu/wanatamani kurudi kwa sababu tu ya hii protocol!, uchumi bado unakua kwa hiyo kazi bado nizilele zakupigania kwa manati na hakika preference zitakuwa ni kwa wazawa wa nchi husika.
Watakaofaidika ni wale ambao nia yao ni kuwekeza katika biashara kwenye nchi husika.
I repeat again and again, there are no Kenyan companies in Tanzania but Western companies that are incorporated in Kenya that are now either diversifying or divest in Kenya and invest in Tanzania so the Lame Kibaki should corrrect his statements NO KENYAN OWNED COMPANIES that invested in Tanzania, keep dreaming to be second investor in Tanzania! Keep fantasizing!
Capital hamna shida bro. Labor ni tatizo kwa kuwa hao jamaa ni vilaza tu. Hakuna ujuzi wanaoleta, waje wafundishe kiingereza watoto wetu kwa bei poa, hiyo labda. lakini hawana lolote jingine. Hatuhitaji mhasibu wa kuja kuhesabu hela hapa TZ, we can do it good. Kwenye sciences they are going to spoil our kids, nilisoma na wakenya na waganda..kichwani watupu. Na ninajua kwa nini! Kutandika vitanda, hata waTZ nadhani wanajua sana au watajua. Hizi nchi zote nimeshazitembelea, hizo huduma wanazosema wanajua, ni mtazamo. Nilshasubiri huduma kwenye vinchi vyao kama ninavyosubiri hapa Bongo, hamna lolote. Bongo hapa inategemea unakwenda wapi na management iko vipi, na kwao ni hivyo hivyo tu. Michosho tu, hakuna cha nini wala nini. Wasituletee njaa zao kwa ku-take advantage ya wala rushwa wa immigration. Lakini kitaeleweka, sisi tumeshika mpini. Na wewe Smatta unasema nini kuhusu kibaki, kile kikongwe kijizi cha urais, unadhani kinaweza dictate terms kuhusu Jamhuri ya Muungano? Au ni kujiliwaza tu. Nasikia Raila amepata mtindio wa ubongo, pole bwana. Nadhani ni stress ya kuibiwa kura na kibaki na kupokwa urais!
I'm officialluy pi$$ed-off with our leadership. WOTE waliofanikisha hili I hope they die of cancer..yeah tena ile ya tiGOni.
For now, just for now...they win, but who laugh last........Nchi nd'o ishauzwa hivyo na hawa mafisadi....:sad:
For now, they win, but who laugh last........