East African Federation (EAF) public Views

Siko na nerve ya kuguswa. A man of ur foolish level can touch no nerve of any sane man. Kwanza waonekana ni proud criminal, na ni aibu kwa kweli kujisia UWIZI, hio ndio sababu mojawapo why Tz do not like the mungiki in our hoods.
 
BTW, wewe bichboi Smatta, nilishakwambia kuwa nakuzidi elimu sio wewe tu, Rais wako mama yako, babu yako mpaka ardhi unayokanyaga..Bwe he he he..

Kuna uwezekano umenishinda elimu, sikatai, lakini hela babu, naeza lisha ukoo wako mzima mwezi moja na pesa yangu ya kulewa ya wiki mbili..
 
Sijakuelewa ewe Mtanzania.. Ongea lugha aambayo watu wa kawaida wanaeza elewa... KIMADA, TELEKEZA W.T.F????

hivi smatta haujui maana ya "telekeza"?, masikini mkenya huyu...unajua wakenya walivyo wajinga, huwa wanafikiri wanaweza kumrekebisha mtz kiswahili, jamani jamani...hahaha. ukienda kwenye thread zao, wanasema watz hawajui kuongea kiswahili...sisi watz wote tunaelewa maana ya hayo maneno aliyoandika jamaa. nyie wakenya ndo mnahitaji kwenda darasani kabisa ili mjue kiswahili kwasababu siku zote mnachafua lugha hii. huwa sipendi kabisa hata kusikiliza kiswahili cha kikenya, kina kera kusikiliza ujue.
 
Kuna uwezekano umenishinda elimu, sikatai, lakini hela babu, naeza lisha ukoo wako mzima mwezi moja na pesa yangu ya kulewa ya wiki mbili..

ivi ni hela gani mkenya anaweza kumringishia mtz? debe tupu halikosi kulia!
 

uyu jamaa yuko fluent in his languages...hivi "kwenyu" ni lugha gani?, alikaribia kitambo..alikaribia kufika wapi....anasubiri kula nchi na wafalme...hahaha, anafikiri tz ni kenya. pole samaki pole...hii ndio type ya akili za kikenya..yaani hapo ndo amewaza hadi amefika mwisho.
 
Kuna uwezekano umenishinda elimu, sikatai, lakini hela babu, naeza lisha ukoo wako mzima mwezi moja na pesa yangu ya kulewa ya wiki mbili..

nitakuwa nakusaidia kurekebisha kiswahili chako hadi pale utakapokijua vizuri. najitolea kukufundisha bure smatta.hakuna malipo hapa, ni bure.
 
Sijakuelewa ewe Mtanzania.. Ongea lugha aambayo watu wa kawaida wanaeza elewa... KIMADA, TELEKEZA W.T.F????

Wacha ngebe wewe jamaa wakikuacha solemba utajijuu. Hivi umekwisha waalika vimada wenzio wangapi .... ...... tangu wakuweke sidhani kama utatoka salama. Vipi Mungiki brother bado anakujengea? Au siku hizi umeacha kulialia kama katoto kalikokosa lawalawa?
 
Kuna uwezekano umenishinda elimu, sikatai, lakini hela babu, naeza lisha ukoo wako mzima mwezi moja na pesa yangu ya kulewa ya wiki mbili..


Wacha porojo wewe ungekuwa na fweza si ungenunua kisiwa chako? Au ungewasaidia kibera kwenye ukoo wako na wala usingekaa kimada.
 
tena wanaishi kwa shida ajabu. wamejazana kule sinza, chumba kimoja wanaweza kukaa hata sita...ukitaka kuwamaliza, watishie kuitonya polisi...wanaweza wakakupatia hela zote kukuhonga walivyo waoga.
 
hahahaha.. you illiterate Tanzanian fruits, touched a nerve ha? This EAC thingy is making y'all piss your pants, guess its too late, we in this together, only the strong survive in this man eat man society, recess is over, the race begins.

And FYI, I dont need any swahili lessons, ile nilifunzwa primary na high school nimeridhika nayo, haijawahi nisaidia licha ya kuniwezesha kuskiza wadada wakibongo
 
πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:umenibamba buda!!!

hawa ma bure wananijazz mbaya, kazi kuchoochana then wana complain kwa mods watu wakishika nare. wacha wapige tu mdomo hapa lakini in the real sense tunawamada economically kejani kwao, they dont know who we be.
 

Indeed, english is widely spoken globally but that would not make me envy what I would call 'Kenyan english'! Neither would I like to learn or listen to 'Kenyan Swahili'!
 

Hili suala la mwanamuziki si la kulitetea...kama alikuwa hana kibali cha kazi hiyo ni sababu tosha tena ya msingi ya kumweka ndani.Tusipende kutetea mambo ambayo ni kinyume na sheria ambazo taifa limejiwekea.Kwa mfano hata wakenya watakapokuja Tanzania na kumiliki ardhi bila kupitia njia na taratibu halali za nchi yetu tutachukua hatua za kuwanyang'anya ardhi kulingana na sheria zetu.

Kimsingi sioni kama wakenya wako juu ya wa-Tanzania...hata kidogo...kinachotokea ni kusaidiai kubadilisha mtazamo wetu na kujiandaa kukabiliana na ushindani.Tanzania ni ya-kwetu,we know it better kuliko mgeni mwingine yeyote kwa hiyo tukiwa tayari kufanya shughuli zetu kwa bidii basi hakuna tatizo lolote ambalo hawa wakenya wanaweza kutuletea.Ni hofu tu ambayo hiko miongoni mwetu!
 
Indeed, english is widely spoken globally but that would not make me envy what I would call 'Kenyan english'! Neither would I like to learn or listen to 'Kenyan Swahili'!

.....which renders your previous points daft:

SpinDoctor said:
Hehehe! Have you ever wondered why the native English language speakers would always ask you what language do you speak in your country? Well, I reckon you would not even know why!
 
You are very right, cheeky twat! You must be one of the smartest Kenyan I have ever known!

See how catachrestics run out of their sporadic shrewdness and starts acting dotty. U should have have known that Native English consists of less than 10% speakers.
Hey, I'm not a cheeky twat, neither do you know me, hope you don't Spin in that direction again.
 

Duh! Jamaa limemwaga mitusi! Sijui lilisomea matusi wapi hili Nyang'a!
 
..this comes frm a Q&A session that the Min for EA had with the members of Parliament.

..Tanzanias land laws still apply.

 

wewe kichwani ni mweupeeeee, huna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…