East African Federation (EAF) public Views

Habari nyingine hii hapa juu ya sheria za nchi husika kutumika kwenye jumuiya mpya:

Front Page 1

Source: Arusha Times.
 
Very dowdy indeed, I won't be wrong to call you the most counterfactual guy on the forum, and you jazz me a lot. Wewe uliyekwenda shule hukufunzwa kufuatia maagizo. Since the beginning u've been trolling, don't you notice that, which of any your posts is related to the main issue in any way. All you do is analyze comments of others, a clear sign of obliviousness. Worse, you don't even seem to grasp the content in the posts. Who talked about HOLYWOOD and Familia, not me definitely.

It would be best if quit being shy and give us your take on EAF, so we can analyze you too, but don't just keep on trailing behind comments and trying to improve what has already been said, it gives an obtuse image of yourself.
 
Mkuu AB, naomba uangalie upya hizi thread za EAC ikiwezekana uzi-combine watu wanapost mara mbilimbili zinatuchanganya!

Sasa imekuwa kama a beauty contest..
 
Slow down son you killin em
 
kenyans use their passports as id's. so what is the difference??

second, more kenyans have kenyan passports than the sum total of tanzanians that own tanzanian passport.

plus if the other 4 nations descide to use ID's then at some point tanzania will have to do the same thing.

i dont see the big deal about this but if tanzanians like this rule then more power to them.
 
duuuh, ebana eeeh!!!
 
WORD!!!!

tanzanians are inherently lazy, i do not blame them, i blame their govt for forcing the socialistic mentality on them just the same way as kenyans got corrupt during the ultra corrupt moi regime when corruption became rampant
 
hehehee... seems like i have to remind this zawadi ng'onda guy that he need to stop his communist approaches.

achana na hawa mafala. hawawezi shika rada. nimafala na wamesota mbaya sana.

mtu hana any lakini anabishana na sonko kama smatta. enyewe hawa wadhii jo wananijazz sana
 
MODS hivi kwani mnaruhusu watu wachache wachafue hewa humu???kuna watu hawawezi kuvumilia kuona haya sasa wakijibu kwa style ya jino kwa jino mtaishia kuwaban ilhali wachochezi mnawaacha waendelee.......
 
cry baby, you wanna run to ur mama and cry about kenyans on this forum???

grow the hell up
 
Duh kazi kweli kweli.
 
...i dont understand this guy!
 
MODS hivi kwani mnaruhusu watu wachache wachafue hewa humu???kuna watu hawawezi kuvumilia kuona haya sasa wakijibu kwa style ya jino kwa jino mtaishia kuwaban ilhali wachochezi mnawaacha waendelee.......

Kabebe box mbali, na uache double standards...
 
Less than 1% of Tanzanians own a passport na guys still support that BS? OK ignorant people go ahead and make your life harder maana thats what you do best,and how does passport(not ID) improve your security?
 
Wakimbizi utawaona tu wanaanza kulialia kama chiriku, na bado sisi Watanzania tunasema hakuna Nyang'au wala kimburu yoyote atakayetubabaisha ndani ya nchi yetu. Ati kuna mkataba ambao sijui nani yule na alijojo walikubaliana. Sisi ndio wenye nchi na walipa kodi tutaamua nini cha kufanya pasipo kushurutishwa na nyang'au au kimburu yoyote. The buck stops here!

Tuliwaambia tangu halifu nyinyi ni ukelele tu hapa lakini hamuwezi kutufanya chochote sisi Wabongo.
 
Less than 1% of Tanzanians own a passport na guys still support that BS? OK ignorant people go ahead and make your life harder maana thats what you do best,and how does passport(not ID) improve your security?

Ndugu yetu Koba, naomba unifahamishe kidogo, kwani nyie wanyarwanda kila mtu ana ID? Hata hivyo uelewa wangu nchi yenu na idadi yenu ni ndogo kama mkoa mmoja tu wa Tanzania!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…