East African Federation (EAF) public Views

quote_icon.png
Originally Posted by Waberoya
Thanks my brother, I am well, nalijenga taifa porini sana where internet is not available,but thanks God jamvi linaenda vizuri.

Nacheka sana ninapoona watz wengi wana copy na ku paste yaliyotokea Ulaya ndiyo tuyafanye huku, sijui tumerogwa?

Kabla ya Ulaya kuungana kila nchi ilikuwa na maendeleo kiasi gani?

I am always joking the very same joke that will make someone realise that we are living the copied life, is not ours

Tunasoma katika historia inayojulikana na kila mtu kuwa , wazungu walikuja Afrika kutafuta malighafi-hiyo ilikuwa karne ya 18! baada ya mapinduzi ya viwanda! Je sisi hiyo hali tumeifikia? have we ever experienced industrial revolution? then which century are we?

Je hawa wazungu leo hii wanapata malighafi kutoka wapi? au Mungu amewaumbia tena madini?

Lini tutaaanza kufikiri nje ya box?, kuwa, kwanza hatuishi karne ya 21, pili maisha haya ya 'Science and Technology' tumetupiwa siyo yetu na hata kama tunaishi humo, tuyaweke katika mazingira ya kumkomboa na kumfanya mwafrika kuwa valuable person mwenye idea za tofauti kabisa za kimaendeleo, na kisingizio kisiwe mbona Ulaya waliungana!!

Economics ideas are dynamic and unpredictable, wakati nchi za West africa ziligawanywa ili eti zikiwa ndogo watapata maendeleo ya haraka! nchi kama China zilitegemewa zitakuwa maskini!! leo hii situation is different, kitu gani kimetokea mwaka juzi na jana kuhusu uchumi kuyumba wa dunia hii? Lini waafrika tutakuwa na kanuni zetu za uchumi kulingana na hali halisi ya nchi zetu na sio kusoma tu akina Monte carlo! hatujafikia kiwango hata cha kuiga ya hawa wenzetu, maana mpaka sasa kila tufanyacho hatufikirii kwa undani tuna copy na kupaste!

mbaya zaidi ni pale watawala wanajua wana uwezo(capital) elimu nzuri wao na watoto wao, wamewatayarisha watoto wao katika global stage, inapofikia kuona kuna wasomi wanatoa solution rahisi za uchumi kwa kulibatiza shirikisho , si ndio uthibitisho wenyewe kuwa we have nothing new! na ya kuwa bado tunatawaliwa na idea zote za wenzetu wameendelea vipi, lakini kama hata una copy mtu mwenye busara ngau ni yule huwa anawaza hali yetu zaidi na sio kufananisha ulaya na Tz! what a shame!

Ndio aibu kwani siri? kwani vijana wetu wanaosoma special schools za Mzumbe, Ilboru,Kibaha na Tabora sio ndio wengi wao wanaosoma computer science, electrical engineering na electronics vyuo vikuu? je kuna computer tuna-manufacture humu nchini?, umeme wetu ukoje? kabla ya kutibu magonjwa kama haya ambao ni upele wa usoni! tukikumbatiana wote wenye upele tutapona??

Nauliza lini msomi wa Tz, atawaza tofauti kabisa , bila kusema mbona Europe ilikuwa hivi na Asia ilikuwa vile? kwa nini tunajidhalilisha, kwa kufikiria tumeendelea sana, hata kufuata njia za wazungu , wakati tuna tamaduni, na backgrounds tofauti? IMEANDIKWA NA Waberoye post 1295 under Thread East African Federation.

.............................................................................................................................................................................

RealDull, read this post #1295! It wil help u to catch me in my previous post on theory and practical.
Tafadhali soma hii post, A MUST READ POST!!!!!!!!

Uliyoyaandika ndio matatizo makuu yanayotufanya turudi nyuma. Watu wanashindwa kuelewa kuwa Economics ideas are dynamic and unpredictable. IDEA za 1990 zinaweza zikawa zimepitwa na wakati mwaku huu. Wakati ambao tunawasomi wetu (maprofesa zaidi ya ujerumani na uingereza ktk karne ya 18) ni wakati wa kufanya utafiti EAF na kutumia nadharia zetu zinazoendana na hali halisi under ground.

Tatizo hili kubwa mno KENYA, na ni ndogo sana Tanzania. N husababishwa na kasumba na ukoloni mambo leo ambao uko mkubwa sana nchini KENYA. Homa hii imeambukizwa kwa miaka kadhaa nchini KENYA na imerithiwa toka kwa akina NJONJO. Akieleza kuhusu kazi ambazo mtu mweusi hawezi kufanya, mwaka 1974, alitaja udaktari na upilot, kitu ambacho leo kuna madaktari na mapilot kibao weusi.

Mtihani mkubwa tulio nao ni kuwasaidia ndugu zetu wAKENYA( akina RealDull) wafike hapa tulip​

Zawadi Ngoda said:
RealDull, ...... No.... No ....... Noooo, Not ur theory at all!!!!!!!! Ha ha haa. Usinivunje mbavu. n

Nadharia zako kwa maendeleo ya EAF ni chini ya sifuri, YAANI MINUS. Pengine uanze upya!!! Lakini usisahau kitu kimoja... Lete theory za EAF za 2010 na sio 1817 za ulaya... umenipata. Nafahamu hukunipata katika post yangu hapo awali. What i need is to take u home (EAF) and give us theory based on the real situation of mwananchi in EA and what is practicaly done in thoes countries. Na sio kutuletea mambo ya ulaya na HOLY WOOD hii leo wakati upo EA.

Unajua kwanini nimekubatiza jina la RealDull? Kwa sababu ni mvivu kutumia akili yako kutatua matatizo ya EAF. Badala yake unajiangalia wewe kama wewe itavyokufaidisha hii EAF na sio kwa wananchi wote wa EAF. Na hili sio lengo la kuwepo na kutoa hoja hapa JF. sUALA LA WEWE NA FAMILIA YAKO HALITUHUSU HAPA, Lete mjadala mpana zaidi kama mtu uliyekwenda shule.

Narudia tena, No....no.......no.....not ur theory.............!!!!!!!!!
Very dowdy indeed, I won't be wrong to call you the most counterfactual guy on the forum, and you jazz me a lot. Wewe uliyekwenda shule hukufunzwa kufuatia maagizo. Since the beginning u've been trolling, don't you notice that, which of any your posts is related to the main issue in any way. All you do is analyze comments of others, a clear sign of obliviousness. Worse, you don't even seem to grasp the content in the posts. Who talked about HOLYWOOD and Familia, not me definitely.

It would be best if quit being shy and give us your take on EAF, so we can analyze you too, but don't just keep on trailing behind comments and trying to improve what has already been said, it gives an obtuse image of yourself.
 
Mkuu AB, naomba uangalie upya hizi thread za EAC ikiwezekana uzi-combine watu wanapost mara mbilimbili zinatuchanganya!

Sasa imekuwa kama a beauty contest..
 
Very dowdy indeed, I won't be wrong to call you the most counterfactual guy on the forum, and you jazz me a lot. Wewe uliyekwenda shule hukufunzwa kufuatia maagizo. Since the beginning u've been trolling, don't you notice that, which of any your posts is related to the main issue in any way. All you do is analyze comments of others, a clear sign of obliviousness. Worse, you don't even seem to grasp the content in the posts. Who talked about HOLYWOOD and Familia, not me definitely.

It would be best if quit being shy and give us your take on EAF, so we can analyze you too, but don't just keep on trailing behind comments and trying to improve what has already been said, it gives an obtuse image of yourself.

Slow down son you killin em
 
kenyans use their passports as id's. so what is the difference??

second, more kenyans have kenyan passports than the sum total of tanzanians that own tanzanian passport.

plus if the other 4 nations descide to use ID's then at some point tanzania will have to do the same thing.

i dont see the big deal about this but if tanzanians like this rule then more power to them.
 
duuuh, ebana eeeh!!!
 
hahaha kwani nimeguza nerve nini? was just telling you the truth, and i've been in Tanzania making good money before you got that visa to the US to do whatever it is you pretend to do there (of which am sure they pay peanuts for washing the aged in elderly homes).. Ive tried my hand in 4 different business ventures in Tanzania so that crap you are talking about frustration za maisha dont apply to me.. You guys are funny, mie niko na ndugu anauza ETR(electronic tax regs.) huko and he is making a kill as if there are no Tanzanians who can offer the same services, last weekend I was with these dudes saying that after our friend sells you all the ETR machines, he will start training y'all lazy fruits for a fee on how to beat the tax system using the ETR. Rundi nyumbani Abdul, walahi ndugu zako wana miaka kama ishirini kufika intellectually mahali waAfrica wengine tupo.. true story.

hhhehehe nimcheka hapo pa kiroro, I dont sip scotch like your Russian wannabe, nanywa Tusker, beer yangu nchi yangu.

WORD!!!!

tanzanians are inherently lazy, i do not blame them, i blame their govt for forcing the socialistic mentality on them just the same way as kenyans got corrupt during the ultra corrupt moi regime when corruption became rampant
 
hehehee... seems like i have to remind this zawadi ng'onda guy that he need to stop his communist approaches.

achana na hawa mafala. hawawezi shika rada. nimafala na wamesota mbaya sana.

mtu hana any lakini anabishana na sonko kama smatta. enyewe hawa wadhii jo wananijazz sana
 
MODS hivi kwani mnaruhusu watu wachache wachafue hewa humu???kuna watu hawawezi kuvumilia kuona haya sasa wakijibu kwa style ya jino kwa jino mtaishia kuwaban ilhali wachochezi mnawaacha waendelee.......
 
cry baby, you wanna run to ur mama and cry about kenyans on this forum???

grow the hell up
 
kenyans use their passports as id's. so what is the difference??

second, more kenyans have kenyan passports than the sum total of tanzanians that own tanzanian passport.

plus if the other 4 nations descide to use ID's then at some point tanzania will have to do the same thing.

i dont see the big deal about this but if tanzanians like this rule then more power to them.

Duh kazi kweli kweli.
 
quote_icon.png
Originally Posted by Waberoya
Thanks my brother, I am well, nalijenga taifa porini sana where internet is not available,but thanks God jamvi linaenda vizuri.

Nacheka sana ninapoona watz wengi wana copy na ku paste yaliyotokea Ulaya ndiyo tuyafanye huku, sijui tumerogwa?

Kabla ya Ulaya kuungana kila nchi ilikuwa na maendeleo kiasi gani?

I am always joking the very same joke that will make someone realise that we are living the copied life, is not ours

Tunasoma katika historia inayojulikana na kila mtu kuwa , wazungu walikuja Afrika kutafuta malighafi-hiyo ilikuwa karne ya 18! baada ya mapinduzi ya viwanda! Je sisi hiyo hali tumeifikia? have we ever experienced industrial revolution? then which century are we?

Je hawa wazungu leo hii wanapata malighafi kutoka wapi? au Mungu amewaumbia tena madini?

Lini tutaaanza kufikiri nje ya box?, kuwa, kwanza hatuishi karne ya 21, pili maisha haya ya 'Science and Technology' tumetupiwa siyo yetu na hata kama tunaishi humo, tuyaweke katika mazingira ya kumkomboa na kumfanya mwafrika kuwa valuable person mwenye idea za tofauti kabisa za kimaendeleo, na kisingizio kisiwe mbona Ulaya waliungana!!

Economics ideas are dynamic and unpredictable, wakati nchi za West africa ziligawanywa ili eti zikiwa ndogo watapata maendeleo ya haraka! nchi kama China zilitegemewa zitakuwa maskini!! leo hii situation is different, kitu gani kimetokea mwaka juzi na jana kuhusu uchumi kuyumba wa dunia hii? Lini waafrika tutakuwa na kanuni zetu za uchumi kulingana na hali halisi ya nchi zetu na sio kusoma tu akina Monte carlo! hatujafikia kiwango hata cha kuiga ya hawa wenzetu, maana mpaka sasa kila tufanyacho hatufikirii kwa undani tuna copy na kupaste!

mbaya zaidi ni pale watawala wanajua wana uwezo(capital) elimu nzuri wao na watoto wao, wamewatayarisha watoto wao katika global stage, inapofikia kuona kuna wasomi wanatoa solution rahisi za uchumi kwa kulibatiza shirikisho , si ndio uthibitisho wenyewe kuwa we have nothing new! na ya kuwa bado tunatawaliwa na idea zote za wenzetu wameendelea vipi, lakini kama hata una copy mtu mwenye busara ngau ni yule huwa anawaza hali yetu zaidi na sio kufananisha ulaya na Tz! what a shame!

Ndio aibu kwani siri? kwani vijana wetu wanaosoma special schools za Mzumbe, Ilboru,Kibaha na Tabora sio ndio wengi wao wanaosoma computer science, electrical engineering na electronics vyuo vikuu? je kuna computer tuna-manufacture humu nchini?, umeme wetu ukoje? kabla ya kutibu magonjwa kama haya ambao ni upele wa usoni! tukikumbatiana wote wenye upele tutapona??

Nauliza lini msomi wa Tz, atawaza tofauti kabisa , bila kusema mbona Europe ilikuwa hivi na Asia ilikuwa vile? kwa nini tunajidhalilisha, kwa kufikiria tumeendelea sana, hata kufuata njia za wazungu , wakati tuna tamaduni, na backgrounds tofauti? IMEANDIKWA NA Waberoye post 1295 under Thread East African Federation.

.............................................................................................................................................................................

RealDull, read this post #1295! It wil help u to catch me in my previous post on theory and practical.
Tafadhali soma hii post, A MUST READ POST!!!!!!!!

Uliyoyaandika ndio matatizo makuu yanayotufanya turudi nyuma. Watu wanashindwa kuelewa kuwa Economics ideas are dynamic and unpredictable. IDEA za 1990 zinaweza zikawa zimepitwa na wakati mwaku huu. Wakati ambao tunawasomi wetu (maprofesa zaidi ya ujerumani na uingereza ktk karne ya 18) ni wakati wa kufanya utafiti EAF na kutumia nadharia zetu zinazoendana na hali halisi under ground.

Tatizo hili kubwa mno KENYA, na ni ndogo sana Tanzania. N husababishwa na kasumba na ukoloni mambo leo ambao uko mkubwa sana nchini KENYA. Homa hii imeambukizwa kwa miaka kadhaa nchini KENYA na imerithiwa toka kwa akina NJONJO. Akieleza kuhusu kazi ambazo mtu mweusi hawezi kufanya, mwaka 1974, alitaja udaktari na upilot, kitu ambacho leo kuna madaktari na mapilot kibao weusi.

Mtihani mkubwa tulio nao ni kuwasaidia ndugu zetu wAKENYA( akina RealDull) wafike hapa tulip​

...i dont understand this guy!
 
MODS hivi kwani mnaruhusu watu wachache wachafue hewa humu???kuna watu hawawezi kuvumilia kuona haya sasa wakijibu kwa style ya jino kwa jino mtaishia kuwaban ilhali wachochezi mnawaacha waendelee.......

Kabebe box mbali, na uache double standards...
 
Less than 1% of Tanzanians own a passport na guys still support that BS? OK ignorant people go ahead and make your life harder maana thats what you do best,and how does passport(not ID) improve your security?
 
Wakimbizi utawaona tu wanaanza kulialia kama chiriku, na bado sisi Watanzania tunasema hakuna Nyang'au wala kimburu yoyote atakayetubabaisha ndani ya nchi yetu. Ati kuna mkataba ambao sijui nani yule na alijojo walikubaliana. Sisi ndio wenye nchi na walipa kodi tutaamua nini cha kufanya pasipo kushurutishwa na nyang'au au kimburu yoyote. The buck stops here!

Tuliwaambia tangu halifu nyinyi ni ukelele tu hapa lakini hamuwezi kutufanya chochote sisi Wabongo.
 
Less than 1% of Tanzanians own a passport na guys still support that BS? OK ignorant people go ahead and make your life harder maana thats what you do best,and how does passport(not ID) improve your security?

Ndugu yetu Koba, naomba unifahamishe kidogo, kwani nyie wanyarwanda kila mtu ana ID? Hata hivyo uelewa wangu nchi yenu na idadi yenu ni ndogo kama mkoa mmoja tu wa Tanzania!?
 
Back
Top Bottom