East African: Wakenya wawapita Marekani kwa wingi wa wageni Tanzania

East African: Wakenya wawapita Marekani kwa wingi wa wageni Tanzania

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
13,277
Reaction score
40,924
Tanzania ni nchi nzuri sana kiasi kwamba inavutia mpaka wa afrika wenzetu kuwa na ndoto za kuingia Tanzania siku moja katika maisha yao na sio wazungu tu kama tulivyozoea.

Najivunia kuwa mtanzania mwenye nchi inayopendwa kote duniani.

  • Data from Tanzania’s Immigration Services Department released in October revealed a “notable increase” in the number of visitors from Kenya, at 233,730 — an increase of 36,000 from the 2015 figures.
  • Tanzania is a popular tourist destination as it is home to Africa’s tallest mountain, Mt Kilimanjaro, Serengeti National Park, where the famed annual migration of wildebeest takes place, and the Ngorongoro Crater.
  • India also displaced the UK in the third position of visitors to the country. The shift in the position of India was largely attributed to an Indian community celebration — Dawoodi Bohra’s Milad-un-Nabi, that took place in Dar es Salaam in October 2016.

The number of Kenyans visiting Tanzania has increased, surpassing the US as the largest source market for the country in 2015.

Data from Tanzania’s Immigration Services Department released in October revealed a “notable increase” in the number of visitors from Kenya, at 233,730 — an increase of 36,000 from the 2015 figures.

In 2016, 86,860 Americans visited Tanzania, followed by 69,876 Indians and 67,642 Britons.

Tanzania is a popular tourist destination as it is home to Africa’s tallest mountain, Mt Kilimanjaro, Serengeti National Park, where the famed annual migration of wildebeest takes place, and the Ngorongoro Crater.

Kenyans went to Tanzania for meetings and conferences, business and to visit friends and relatives, in that order.

The majority of visitors from the top source markets to Tanzania who came for leisure and holidays were from the US, the UK, Italy and Germany,” reads International Visitors’ Exit Survey Report.

Foreign exchange

This means that although Kenya had the largest number of visitors to Tanzania, the European countries brought more foreign exchange earnings.

Visitors from China had the highest average expenditure of $541 per person per night. Visitors from Burundi and Zambia had minimal average expenditures of less than $100 per person per night, including accommodation.

“Tourists who came to visit friends and relatives were mainly from Kenya and the UK. Visitors from Zambia and Zimbabwe mostly came for business,” notes the report.

Uganda and Burundi were new entrants on the list of the top source markets for Tanzania, which was attributed to proximity and increasing business interactions. The two countries replaced the Netherlands and Switzerland.
 
Watapinga data hizi subiri waje
Ukienda Arusha utashangaa kuona magari mengi sana yenye plate number za Kenya mfano Christmas hii na mwaka mpya kulikua na wakenya wengi sana Arusha kwenye hotels na maeneo ya starehe mpaka huwa najiuliza mbona wakenya ni wengi sana Inamaana huko kwao hakuna sehemu nzuri za kujidai?
 
Kuna raha flan ukiwa nje ya kwenu unaipata....wacha waje zaidi na zaidi ,karibuni tena Majirani
 
Ukienda Arusha utashangaa kuona magari mengi sana yenye plate number za Kenya mfano Christmas hii na mwaka mpya kulikua na wakenya wengi sana Arusha kwenye hotels na maeneo ya starehe mpaka huwa najiuliza mbona wakenya ni wengi sana Inamaana huko kwao hakuna sehemu nzuri za kujidai?
Wanatuponda bure tu siku zote kumbe kumbe nchi yetu wanaifurahia.
 
Wanakuja huku kwa urahisi wa maisha.
Ukumbuke akipambana akapata elfu 10 ya kwao, akija huku inakuwa laki mbili hivyo matumizi yake wewe ni shahidi
 
Wanatuponda bure tu siku zote kumbe kumbe nchi yetu wanaifurahia.
Thubutuuu tuwazuie kuingia ndio utaona balaa lake itakua kama USA na Mexico baada ya trump kusema atajenga wall wa Mexico wote walikua vichaa, kwa kifupi Kenya inaitegemea Tanzania kwa kila kitu na Tanzania haina chochote chenye interest Kenya huu ukweli umeelezwa kwenye hii taarifa.
 
"Lack of economic facts" hiyo niishara kwamba Kenya wana middle class citizen ambao ni muhimu for economic development .......ss tuna tabaka la la chini peasants na last juu watawala....boost our own tourism hatuezi tunategemea ma jilani zentu.
 
Taarifa inasema wakenya wanaingia Tanzania kwa sababu kuu ambazo ni meetings, conferences, kusalimia and business, huwezi kuwalinganisha watanzania na wakenya kwenye tourism industry wakati huna data za watanzania wanaotembelea tourism attractions na za wakenya wanaotembelea tourism attractions Tanzania.
 
haijalishe wamekuja Kenya conference kutembelea ndugu nk jambo muhimu they spend their money while in Tz that tourism is all abt......kuliko ss tuko jilani na ma Hotel mbuga za wanyama ila hatuwezi spend nite uko....kazi yetu nikulalamikia serikali na kuikosoa tu......hatuwezi ku boost local tourism tunajaza ma baa na shopping centres bila kununua bidha uko. ......kwamfano mlimani city au lock mall mwz kila anae Ingia angekua anunua bidha moja tu wangekua hamna kitu hizi siku kuu zote......ila tunaenda uko for widow shoping kuuonyesha mavazi meeting place kwa wapendanao na limbukeni tu
 
Ila hili ongezeko la wakenya katika kipindi cha uchaguzi wao uliojaa vitisho na hofu, halitupatii picha halisi, tusubiri tuone mwaka huu kama idadi itaongezeka au kushuka, ninadhani kwa sababu ya hali ya kiusalama katika mwaka wa uchaguzi, wakenya wengi walihamisha baadhi ya shughuli, ndugu na jamaa zao huku Tanzania kwa muda.
 
Msijaribu kutukasirisha... We literally feed you.
 
Ukienda Arusha utashangaa kuona magari mengi sana yenye plate number za Kenya mfano Christmas hii na mwaka mpya kulikua na wakenya wengi sana Arusha kwenye hotels na maeneo ya starehe mpaka huwa najiuliza mbona wakenya ni wengi sana Inamaana huko kwao hakuna sehemu nzuri za kujidai?
Wanajisikia nyumbani zaidi wakiwa Tz.
 
Back
Top Bottom