Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manyang'au kwani wa maana basi..Watapinga data hizi subiri waje
Mnalialia vyuma vimekaza, afu jirani wapendwa tunawakumbuka msimu wa krisimasi na mwaka mpya kisha tukiwaletea grisi mnaanza kunyeta? Dah.Manyang'au kwani wa maana basi..
Ila isije wale walioogopa machafuko wakati wa uchaguzi nawo wamejumlishwa?!
yani we mleta mada ni sawa na kushangaa wamarekani wamekuja kwa wingi zaidi Tanzania kutembea kuliko watanzania waliotembelea marekani.
Nakuona, yaani unavobadilisha gia arthini, heshma jombaa. Nimekubali.watanzania mna akili fupi sana.indication yae ni kwamba wakenya wana uchumi mzuri wa kuweza kutoka na kuspend nchi nyingine. simple logic mnashindwa kuelewa.