East African: Wakenya wawapita Marekani kwa wingi wa wageni Tanzania

East African: Wakenya wawapita Marekani kwa wingi wa wageni Tanzania

Ukienda Arusha utashangaa kuona magari mengi sana yenye plate number za Kenya mfano Christmas hii na mwaka mpya kulikua na wakenya wengi sana Arusha kwenye hotels na maeneo ya starehe mpaka huwa najiuliza mbona wakenya ni wengi sana Inamaana huko kwao hakuna sehemu nzuri za kujidai?
Wakati mwingine ishu ya uchumi huwa inachangia.........!
 
Waje tu huku fursa nyingi sanaaaa...si hatuna mda tupo bize kisubiri ajira za magufuri bhana
 
Thubutuuu tuwazuie kuingia ndio utaona balaa lake itakua kama USA na Mexico baada ya trump kusema atajenga wall wa Mexico wote walikua vichaa, kwa kifupi Kenya inaitegemea Tanzania kwa kila kitu na Tanzania haina chochote chenye interest Kenya huu ukweli umeelezwa kwenye hii taarifa.
duh,jamaaa wa LDC povuuuu kweli..maskini nyie wakutupwa mna mikono ya gundi😀
 
Si ajabu kuwa nchi zinazotoa watalii wengi ndizo zilizochapa hatua kubwa kimaendeleo.

Wale kidogo Wa kikenya wenye uwezo Wa kutalii had I Tz ni ashiria ya hatua za nchi hii kiuchumi.

N/B overnight domestic tourist's in Kenya were 3.6million
Domestic travel grows past tourism board targets
My friend we love the way you are coming hiyo ni service export to us mna kuja kwa gharama zenu na mnaleta chapaa Tanzania at your own cost sasa sie tunawachagiza tu endeleeni kumiminika Tanzania ila hatutaki jam toeni pesa msepe huko kibera mkazikusanye upya then bring it again in bulk.
 
Hahaha wagwan. Povu leo limekutoka hadi basi. Povu lenyewe la persil ata sio omo. Dah.
 
Ukienda Arusha utashangaa kuona magari mengi sana yenye plate number za Kenya mfano Christmas hii na mwaka mpya kulikua na wakenya wengi sana Arusha kwenye hotels na maeneo ya starehe mpaka huwa najiuliza mbona wakenya ni wengi sana Inamaana huko kwao hakuna sehemu nzuri za kujidai?

Mtu anaitwa Mtanzania aliumbwa kiajabu sana, ni mwenye desturi ya kulalamikia kila kitu.
Ifahamike Wakenya tuna hulka ya kupenda kutemebelea maeneo hususan msimu wa Krisimasi, ukisoma taarifa nyingi utaona hoteli zetu zilifurika watalii wa ndani, sasa kuna wale wanadiriki kutoka nje ya nchi na kuja kwenu, lakini bado mivivu mnalalamika, ilhali nyie muda wote mlikaa Dar hadi msimu ukaisha.
 
Watanzania wengi walifurika kenya mwaka 2017 kumtembelea Lissu kuliko kwenda kutalii na kufanya starehe....
Roger that..
 
Wengine mnaona sifa kutembelewa na wakenya wakati wengi wenu hamtembei. Hata pale Namanga tu au Isebania. Hata mguu mmoja hamtoi vijiweni mnakatalia vijijini kama wa kule Longido.
 
Hiyo inamaanisha watz wengi ni maskini, hawana uwezo wa kutalii hata hapo Kenya.
kwa hiyo watuletee tu ming'ombe kuja kuchunga na vifaranga fake?
mm ninhekuwa kiongozi ule UKUTA wa Mbuguni ningeujengea Namanga na Taveta
mijitu imekataa hata kusaidia ujenzi wa Barabara ya Arusha Taveta tumeishia pale Tengeru tu
 
Kuna raha flan ukiwa nje ya kwenu unaipata....wacha waje zaidi na zaidi ,karibuni tena Majirani
Karibuni sana...! wakati Wakenya wakienda Arusha na Tz nyumbani kwa ujumla, mimi najivinjari huku Karen, mchana nitaenda KSL kwajili ya swimoo na washkaji zangu wachache wa kikenya.
 
Karibuni sana...! wakati Wakenya wakienda Arusha na Tz nyumbani kwa ujumla, mimi najivinjari huku Karen, mchana nitaenda KSL kwajili ya swimoo na washkaji zangu wachache wa kikenya.
Swimoo, dah. Hao washkaji zako mkifika KSL waulize kuhusu duff mpararo, kisha nasubiri uje na mrejesho.
 
Mtu anaitwa Mtanzania aliumbwa kiajabu sana, ni mwenye desturi ya kulalamikia kila kitu.
Ifahamike Wakenya tuna hulka ya kupenda kutemebelea maeneo hususan msimu wa Krisimasi, ukisoma taarifa nyingi utaona hoteli zetu zilifurika watalii wa ndani, sasa kuna wale wanadiriki kutoka nje ya nchi na kuja kwenu, lakini bado mivivu mnalalamika, ilhali nyie muda wote mlikaa Dar hadi msimu ukaisha.

nani kalalamika. we acha longolongo njoo utembelee Tanzania.

hata Mimi wiki iliyopita nimeendesha gari toka Arusha mpaka wilaya ya Nyasa. nimetoka Arusha nikaingia Manyara nikaweka kambi, kesho yake nikaingia Kondoa, Dodoma, Mtera hadi Iringa nikaweka kambi nikaingia Ruaha National Park. kesho kutwa yake nikaingia Makambako Njombe nikalala Mbinga. HALAFU Nyasa.
nilichogundua nchi imefunguka SANA. pia sehemu zote nilizokuwa nimepiga kambi, kulikuwa na waTanzania wengi kwenye mapumziko ya mwisho mwaka. niliwakuta wakenya pia Manyara.
utalii wa ndani unakuwa sana.
 
Ukienda Arusha utashangaa kuona magari mengi sana yenye plate number za Kenya mfano Christmas hii na mwaka mpya kulikua na wakenya wengi sana Arusha kwenye hotels na maeneo ya starehe mpaka huwa najiuliza mbona wakenya ni wengi sana Inamaana huko kwao hakuna sehemu nzuri za kujidai?
watanzania mna akili fupi sana.indication yae ni kwamba wakenya wana uchumi mzuri wa kuweza kutoka na kuspend nchi nyingine. simple logic mnashindwa kuelewa.
 
Back
Top Bottom