Maneno ka haya ndio yamefanya tumepga mnada ving'ombe vyenu mnabak kulia lia ...ukiona wee ndio unamfatafata mtu ambae hana tym na kuja kwako ujue wee ndio unashida na ni waz wakenya mnashida dats y kutwa kujipendekeza huku idiotsMsijaribu kutukasirisha... We literally feed you.
Wakati mwingine ishu ya uchumi huwa inachangia.........!Ukienda Arusha utashangaa kuona magari mengi sana yenye plate number za Kenya mfano Christmas hii na mwaka mpya kulikua na wakenya wengi sana Arusha kwenye hotels na maeneo ya starehe mpaka huwa najiuliza mbona wakenya ni wengi sana Inamaana huko kwao hakuna sehemu nzuri za kujidai?
duh,jamaaa wa LDC povuuuu kweli..maskini nyie wakutupwa mna mikono ya gundi😀Thubutuuu tuwazuie kuingia ndio utaona balaa lake itakua kama USA na Mexico baada ya trump kusema atajenga wall wa Mexico wote walikua vichaa, kwa kifupi Kenya inaitegemea Tanzania kwa kila kitu na Tanzania haina chochote chenye interest Kenya huu ukweli umeelezwa kwenye hii taarifa.
Bila Tanzania nyie ni marehem we are planning to build the one massive wall mkae huko na njaa zenuduh,jamaaa wa LDC povuuuu kweli..maskini nyie wakutupwa mna mikono ya gundi😀
My friend we love the way you are coming hiyo ni service export to us mna kuja kwa gharama zenu na mnaleta chapaa Tanzania at your own cost sasa sie tunawachagiza tu endeleeni kumiminika Tanzania ila hatutaki jam toeni pesa msepe huko kibera mkazikusanye upya then bring it again in bulk.Si ajabu kuwa nchi zinazotoa watalii wengi ndizo zilizochapa hatua kubwa kimaendeleo.
Wale kidogo Wa kikenya wenye uwezo Wa kutalii had I Tz ni ashiria ya hatua za nchi hii kiuchumi.
N/B overnight domestic tourist's in Kenya were 3.6million
Domestic travel grows past tourism board targets
Hahaha wagwan. Povu leo limekutoka hadi basi. Povu lenyewe la persil ata sio omo. Dah.My friend we love the way you are coming hiyo ni service export to us mna kuja kwa gharama zenu na mnaleta chapaa Tanzania at your own cost sasa sie tunawachagiza tu endeleeni kumiminika Tanzania ila hatutaki jam toeni pesa msepe huko kibera mkazikusanye upya then bring it again in bulk.
Ukienda Arusha utashangaa kuona magari mengi sana yenye plate number za Kenya mfano Christmas hii na mwaka mpya kulikua na wakenya wengi sana Arusha kwenye hotels na maeneo ya starehe mpaka huwa najiuliza mbona wakenya ni wengi sana Inamaana huko kwao hakuna sehemu nzuri za kujidai?
kwa hiyo watuletee tu ming'ombe kuja kuchunga na vifaranga fake?Hiyo inamaanisha watz wengi ni maskini, hawana uwezo wa kutalii hata hapo Kenya.
Karibuni sana...! wakati Wakenya wakienda Arusha na Tz nyumbani kwa ujumla, mimi najivinjari huku Karen, mchana nitaenda KSL kwajili ya swimoo na washkaji zangu wachache wa kikenya.Kuna raha flan ukiwa nje ya kwenu unaipata....wacha waje zaidi na zaidi ,karibuni tena Majirani
Swimoo, dah. Hao washkaji zako mkifika KSL waulize kuhusu duff mpararo, kisha nasubiri uje na mrejesho.Karibuni sana...! wakati Wakenya wakienda Arusha na Tz nyumbani kwa ujumla, mimi najivinjari huku Karen, mchana nitaenda KSL kwajili ya swimoo na washkaji zangu wachache wa kikenya.
Poapoa mkuuSwimoo, dah. Hao washkaji zako mkifika KSL waulize kuhusu duff mpararo, kisha nasubiri uje na mrejesho.
Mtu anaitwa Mtanzania aliumbwa kiajabu sana, ni mwenye desturi ya kulalamikia kila kitu.
Ifahamike Wakenya tuna hulka ya kupenda kutemebelea maeneo hususan msimu wa Krisimasi, ukisoma taarifa nyingi utaona hoteli zetu zilifurika watalii wa ndani, sasa kuna wale wanadiriki kutoka nje ya nchi na kuja kwenu, lakini bado mivivu mnalalamika, ilhali nyie muda wote mlikaa Dar hadi msimu ukaisha.
Kumbe hawa jama wana tusengenyaUkatalii nin kenya ambacho tz hakipo hahahahaha si bora niende zanzibar
watanzania mna akili fupi sana.indication yae ni kwamba wakenya wana uchumi mzuri wa kuweza kutoka na kuspend nchi nyingine. simple logic mnashindwa kuelewa.Ukienda Arusha utashangaa kuona magari mengi sana yenye plate number za Kenya mfano Christmas hii na mwaka mpya kulikua na wakenya wengi sana Arusha kwenye hotels na maeneo ya starehe mpaka huwa najiuliza mbona wakenya ni wengi sana Inamaana huko kwao hakuna sehemu nzuri za kujidai?
factsHiyo inamaanisha watz wengi ni maskini, hawana uwezo wa kutalii hata hapo Kenya.