Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,356 Reaction score 38,922 Jan 4, 2018 #41 yani we mleta mada ni sawa na kushangaa wamarekani wamekuja kwa wingi zaidi Tanzania kutembea kuliko watanzania waliotembelea marekani.
yani we mleta mada ni sawa na kushangaa wamarekani wamekuja kwa wingi zaidi Tanzania kutembea kuliko watanzania waliotembelea marekani.
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 9,604 Reaction score 8,812 Jan 4, 2018 #42 SADOCK NJIGINYA said: Watapinga data hizi subiri waje Click to expand... Manyang'au kwani wa maana basi.. Ila isije wale walioogopa machafuko wakati wa uchaguzi nawo wamejumlishwa?!
SADOCK NJIGINYA said: Watapinga data hizi subiri waje Click to expand... Manyang'au kwani wa maana basi.. Ila isije wale walioogopa machafuko wakati wa uchaguzi nawo wamejumlishwa?!
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Jan 5, 2018 #43 jebs2002 said: Manyang'au kwani wa maana basi.. Ila isije wale walioogopa machafuko wakati wa uchaguzi nawo wamejumlishwa?! Click to expand... Mnalialia vyuma vimekaza, afu jirani wapendwa tunawakumbuka msimu wa krisimasi na mwaka mpya kisha tukiwaletea grisi mnaanza kunyeta? Dah.
jebs2002 said: Manyang'au kwani wa maana basi.. Ila isije wale walioogopa machafuko wakati wa uchaguzi nawo wamejumlishwa?! Click to expand... Mnalialia vyuma vimekaza, afu jirani wapendwa tunawakumbuka msimu wa krisimasi na mwaka mpya kisha tukiwaletea grisi mnaanza kunyeta? Dah.
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Jan 5, 2018 #44 Waterloo said: yani we mleta mada ni sawa na kushangaa wamarekani wamekuja kwa wingi zaidi Tanzania kutembea kuliko watanzania waliotembelea marekani. Click to expand... Waterloo said: watanzania mna akili fupi sana.indication yae ni kwamba wakenya wana uchumi mzuri wa kuweza kutoka na kuspend nchi nyingine. simple logic mnashindwa kuelewa. Click to expand... Nakuona, yaani unavobadilisha gia arthini, heshma jombaa. Nimekubali.
Waterloo said: yani we mleta mada ni sawa na kushangaa wamarekani wamekuja kwa wingi zaidi Tanzania kutembea kuliko watanzania waliotembelea marekani. Click to expand... Waterloo said: watanzania mna akili fupi sana.indication yae ni kwamba wakenya wana uchumi mzuri wa kuweza kutoka na kuspend nchi nyingine. simple logic mnashindwa kuelewa. Click to expand... Nakuona, yaani unavobadilisha gia arthini, heshma jombaa. Nimekubali.