East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

Wakenya mpo vizuri sana, wabongo tumebaki makelele
 
Uwezi uka compare DSM na Nairobi zipo sehemu tofauti kabisa Nairobi ni locked city while DSM ni city ipo kando ya bahari, kwa sehemu nzuri ya kuishi kwa upande wangu ni DSM with more BATA places, compare Nairobi na Dodoma na DSm na Mombasa.
Haya mapambano ya TZ nd KE leo tu nimeona uzi miwili umu, ifike tuweke uzia kila moja aweke picha za nyumba yake anayoishi ili tuone kati ya KE na TZ wapi wanamaisha bora (NB nyumba iwe yako sio ya Kupangisha)
 
wewe mbung'o, watoto wangu mimi hawako huko kibera, wapo shule bording school PEMBROKE, nimewaleta huko wapate cheti chenye hadhi ya UK na wajue kiingereza kizuri. najua hata wewe uwezo wa kumpeleka mtoto wako hapo hauna na hautakuja kuwa nao. wakiwa kenya wanaongea kiingereza cha uingereza hapo shuleni kwao, nikija kuwachukua nyumbani wanaongea kiswahili cha kitanzania. hizo lugha zenu za matatu hawazijui kabisa.




we dwanzi acha uongo sema kiwango chako kenya labda uishi kibera wala mashule ya juu acha kijilinganisha nayo tena nairobi mashule ya hali ya juu ni mengi jua kua sisi tumeyasomea hayo mashule na watoto wetu wasomea ya juu zaidi...uko na ushamba mwingi ata nashangaa nairobi ulikua wapi huo ushamba wako n wa dar wala sio nai
 
We Hute nyaa tu hapa hivi forum imelemaa
 
Last edited by a moderator:
5655137482_2fb5d30750_b.jpg
3BJZy5a.jpg
CEOxtnOUsAAEQ-7.jpg:large
rO2jHfzh.jpg
3954276757_27c3c4c024_b_d.jpg
 
this thread should never die , in honour of the pro's who risk their lives and spend time just to get a good shot of this beautiful city, it shall continue..

pics soon

9zUCIpl.jpg
 
this thread should never die , in honour of the pro's who risk their lives and spend time just to get a good shot of this beautiful city, it shall continue..

pics soon

9zUCIpl.jpg

Hehehe!! No wonder MOTOCHINI has been insisting on our ingesting of the weed. Hii hata kwa milioni siwezi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom