wewe mbung'o, watoto wangu mimi hawako huko kibera, wapo shule bording school PEMBROKE, nimewaleta huko wapate cheti chenye hadhi ya UK na wajue kiingereza kizuri. najua hata wewe uwezo wa kumpeleka mtoto wako hapo hauna na hautakuja kuwa nao. wakiwa kenya wanaongea kiingereza cha uingereza hapo shuleni kwao, nikija kuwachukua nyumbani wanaongea kiswahili cha kitanzania. hizo lugha zenu za matatu hawazijui kabisa.
this thread should never die , in honour of the pro's who risk their lives and spend time just to get a good shot of this beautiful city, it shall continue..
pics soon