Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Kutokana na zile picha Tuusan amepost, Upanga kidogo inaonekana suburb ya jiji, Inabarbara safi kama mbili, lakini hizo zingine man, aaaah! Haiingiii akili!! Jiji si jiji bila miundo msingi!!Hiyo plot moja ya robo ekari ni $300,000
Nairobi has been developing so fast. Massive malls, tall buildings. Life in teh future will be awesome
Hiyo plot moja ya robo ekari ni $300,000
Hiyo section mnapost wastani 10 times a day, I didn't intend to where you headed.Kutokana na zile picha Tuusan amepost, Upanga kidogo inaonekana suburb ya jiji, Inabarbara safi kama mbili, lakini hizo zingine man, aaaah! Haiingiii akili!! Jiji si jiji bila miundo msingi!!
Pili nadhani Dar, hainekuwa mbali sana na Nairobi kama ingepangwa!! Zile picha pale bana, hata wakija kujenga barbara itapita wapi???
Making Kenyan Suburbs accessible is the paramount agenda in Kenya!!
Nastydar is growing but kwa surburbs aisee bado sana...
Dar itafika hapo siku moja. Things take shape slowly. back in 2007 ungeniambia Thika Road itakuwa inakaa like it is today singeaminidar is growing but kwa surburbs aisee bado sana...
Really?View attachment 468600
It will participate in the Next Winter Olympics. Kenya Ice Hockey Team
they are hoping to qualify. Dont know how far they have progressedReally?
Very lovely photo of Nairobi EverSuper African metropolis
Upper Hill, Nairobi