Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Kutokana na zile picha Tuusan amepost, Upanga kidogo inaonekana suburb ya jiji, Inabarbara safi kama mbili, lakini hizo zingine man, aaaah! Haiingiii akili!! Jiji si jiji bila miundo msingi!!Hiyo plot moja ya robo ekari ni $300,000
Pili nadhani Dar, hainekuwa mbali sana na Nairobi kama ingepangwa!! Zile picha pale bana, hata wakija kujenga barbara itapita wapi???
Making Kenyan Suburbs accessible is the paramount agenda in Kenya!!