Guest from Wazua
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 212
- 95
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umetumia utadhani halafu nije kukenua sehem ambayo niya kudhania kumbe... hahahaa mambo madogo ktk miji inayokuwa kwa kasi nduguDuh!!! hii utadhani ulaya, akina MOTOCHINI hamna haja ya kuenda ulaya kama unataka kukenua, ingia tu Nairobi na utapenda halafu geuza.
Wow!!! so so breathtaking, time to bring out a camera.
Duh!!! hii utadhani ulaya, akina MOTOCHINI hamna haja ya kuenda ulaya kama unataka kukenua, ingia tu Nairobi na utapenda halafu geuza.
Mkuu kwa nairobi hakuna ubishi ,unaweza kusema haupo africa master plan nzuri , usafi unafanyika hakuna kwa africa mashariki kama nairobi.ndio maana makampuni mengi base yao wameweka nairobi.
Asante mkuu, kwa vijana wengi ambao hawaja barikiwa kutoka nje ya mpaka wa nchi yao kama MOTOCHINI utakuta wapo huku wanabeza tu kwa kutegema hadithi za vijiweni. Yaani mimi kuna sehemu ndani ya Nairobi huwa nahisi kama sio nchi yangu aisei, yaani panapendeza hadi nabaki nimezubaa.
mkuu kwa habari ya Nairobi, ni jiji zuri sana kwa east africa, pamoja na kwamba haliwezi kushindana na jorburg au capetown ambazo kidogo utaona ni western. nairobi imejengeka sana, but unfortunately when you go around the city you find that, it is still an "african city", uchafu bado upo tofauti na majiji ya asia au america etc. its fair to say that, nairobi is a major city, lakini bado ni african city with african nature. ukiona majengo mazuriii lakini watu wanaoruzura mtaani wamepoteza matumaini ni masikini wa kutupwa. sura zimekuwa frustrated tofauti na nchi za wenzetu majiji mazuri na watu unakutana nao sura za furaha walau. nimeishi kenya, nimeishi na huko unakowatukana wenzio kuwa hawajatoka nje labda wewe hujatoka nje ya kenya au east africa,...nimeishi asia, nimeishi amerika, nimeishi ulaya. hivyo nairibo inaweza kuitwa jiji zuri kwa minajiri ya kiafrica "an african city" iliyojaa uchafu na masikini compared to mordern cities of the other world.Asante mkuu, kwa vijana wengi ambao hawaja barikiwa kutoka nje ya mpaka wa nchi yao kama MOTOCHINI utakuta wapo huku wanabeza tu kwa kutegema hadithi za vijiweni. Yaani mimi kuna sehemu ndani ya Nairobi huwa nahisi kama sio nchi yangu aisei, yaani panapendeza hadi nabaki nimezubaa.
knmkuu kwa habari ya Nairobi, ni jiji zuri sana kwa east africa, pamoja na kwamba haliwezi kushindana na jorburg au capetown ambazo kidogo utaona ni western. nairobi imejengeka sana, but unfortunately when you go around the city you find that, it is still an "african city", uchafu bado upo tofauti na majiji ya asia au america etc. its fair to say that, nairobi is a major city, lakini bado ni african city with african nature. ukiona majengo mazuriii lakini watu wanaoruzura mtaani wamepoteza matumaini ni masikini wa kutupwa. sura zimekuwa frustrated tofauti na nchi za wenzetu majiji mazuri na watu unakutana nao sura za furaha walau. nimeishi kenya, nimeishi na huko unakowatukana wenzio kuwa hawajatoka nje labda wewe hujatoka nje ya kenya au east africa,...nimeishi asia, nimeishi amerika, nimeishi ulaya. hivyo nairibo inaweza kuitwa jiji zuri kwa minajiri ya kiafrica "an african city" iliyojaa uchafu na masikini compared to mordern cities of the other world.
alikuwa anawapa moyo tu. kwa mtu aliyeishi western countries, hakika akija nairobi atajua tu kuwa amefika africa. its an african city, still that african nature is there. mazingira bado machafu, recreation bado sana, gardening bado sana na uchafu bado. small european cities au hata towns au hata villages wanakua wasafi sana, gardening nzuri, housing nzuri. have you ever been out of Nairobi even once?kn
kuna mzungu alikuja nairobi akasema u can mistake nairobi na small european cities so acha kuita city yetu chafu
alikuwa anawapa moyo tu. kwa mtu aliyeishi western countries, hakika akija nairobi atajua tu kuwa amefika africa. its an african city, still that african nature is there. mazingira bado machafu, recreation bado sana, gardening bado sana na uchafu bado. small european cities au hata towns au hata villages wanakua wasafi sana, gardening nzuri, housing nzuri. have you ever been out of Nairobi even once?