East Africa’s Largest University, University of Dodoma


Safi mkuu, Uzi huu unazungumzia ukubwa,
Tukija kwenye Ubora wa Elimu hii ni changamoto ya Africa nzima, Pengine Egypt niwaondoe hapa maana walau they’ve got something to show, pengine kidogo na SA,
Wengine wote tumezalisha wezi tupu wanaozungumza Kingereza.
 
Hayo majengo sioni ya 12 floors Kama ile ya MKU alafu bado naona majengo 6, 194 yako wapi? [emoji16][emoji16]
Udom haina majengo marefu ila ina majengo mengi ya ghorofa 4 au 5 kama sikosei. College ya education ina majengo 20 ya ghorofa 4 ambapo kila moja lina uwezo wa kubeba wanafunzi wasiopungua 500. Hapo sijazungumzia lecture rooms, library na laboratories.
 

[emoji120][emoji120]Open the stupid-men’s blind eyes.
 
Hapo umenena. Halafu ubora mara nyingi wanaupima kwa publications na Web presence ambapo kwa sie wabongo bado tupo nyuma maana vyuo vyetu havijawekeza sana kwenye Internet.
 
Ukubwa wa chuo sio eneo baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni facilities na wanafunzi, wacha kujitoa ufahamu
 
Wow, Nairobi uni 70 000, kuna pia distance learning? Au hao ni fulltime students?
Do you want to join the best University in EA and the ninth best in the continent? I can help you
 
Udom inafasilities za kila aina buda, inamajengo na sekta tofauti na kila sekta ina majengo sio chini ya kumi ya floor 5 each kubeba capacity kubwa ya wanafunzi . Wanafunzi bado hawatokuwa wengi coz wanafunz wa diploma waliondolewa pale na vyuo ni vingi Tz na wahitim wa kidato cha sita ni wachache sana kwa mwaka atleast nowdays idadi ni kubwa wasomi ni wengi kdgo ndo mana idadi yazidi kukua pale
Ukubwa wa chuo sio eneo baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni facilities na wanafunzi, wacha kujitoa ufahamu
 
Ukubwa wa chuo sio eneo baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni facilities na wanafunzi, wacha kujitoa ufahamu
Kwani udom ina facilities chache?.halafu uwingi wa wanafunzi unafanyaje chuo kiwe kikubwa?(kwa mimi naona chuo kitakua congested na sio kuwa ni kikubwa). Naomba unielimishe vizuri hapo maana elimu haina mwisho
 
Yani chuo kina uwezo wa ku host wanafunzi 40000 tu
Hao wote wanakaa ndani ya chuo, sasa UON kina uwezo wa kubeba wanafunzi hao on campus?. Halafu usilinganishe chuo kimoja kikubwa cha Udom na UON ambayo ina campuses na constituent colleges zaidi ya 10. Tanzania chuo kikikua tu kinaanza kujitegemea, Sokoine University, Ardhi University, na Muhimbili university zilikua chini ya Udsm lakini siku hizi vinajitegemea.

UDOM ndio chuo pekee Tanzania na East Africa (arguably) ambacho ukidahiliwa tu huna wasiwasi na accommodation ila hivi vingine ukifika tu 2nd year unaanza kuishi kwa kuungaunga na kubebwa. Wanafunzi 40k ndani ya eneo moja usifanye mchezo.

Hapa hatufanyi mashindano ila tunaongea facts tu. UDOM ina miaka 12 toka ianze kufanya kazi na kufika 2025 inategemea kuwa na wanafunzi 50k ndani ya hiyohiyo campus moja. Sikipendi chuo cha Udom hata kidogo ila mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Eti 50k..cheki [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
WaKenya jameni msibishane na hawa majamaa. Its clear they're provoking you for the sake of keeping the site busy. Wakianza kubishana na mambo ya UDOM I was expecting you don't even mention KU ama UoN. Kuna ingine inaitwa South Eastern iko Kitui it's a perfect fit for them. Tusipatie hawa washenzi airtime jameni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…