East Africa’s Largest University, University of Dodoma

Kama kunaweza kuaccomodate wanafunzi 30k basi kitakua ligi moja na udom
 
Ok,
Can you justify 70K students at the University while the Average graduates are 8-10k per annum?
Graduation in some Kenyan universities (UoN being one of them) takes place twice a year ndio maana akuambia kwamba December huenda number of graduates ikafika over 10k, bringing the total number close to 20,000 in a year. Hope unaelewa sasa
 
Nadhani ni kwasababu kozi zao ni miaka 4 mpaka 6 wakati huku ni miaka 3 mpaka 5

Hata ukiweka hizo variables zote, hata useme 50% ni Medical students ukijumlisha na Engineering huwezi pata 70K
 
Hata ukiweka hizo variables zote, hata useme 50% ni Medical students ukijumlisha na Engineering huwezi pata 70K
Jamani, mbona unapigana vita yenye si yako? Wao wenyewe ndio wamesema wako na hio idadi ya wanafunzi, sasa mbona ubishane like your life depends on it? Ama unataka kusema UoN doesn't know its student population?
 
Two graduations
Mid na End year.
Roughly over 17k always...

Hehehe, mnaniquote mara kumi kumi,
Next time please align with your colleagues before replying, see you said 10k now is 20k
This makes even your 70k unreliable,
Swali langu lilikuwa na huo mtego na kweli ukadumbukia,

Ok My next question to you,
In total how may students graduates in Kenya annually, from all universities?
Twende tu taratibu.
 
Wewe uko na wivu za kike sana. Kuna shemeji wangu moja anasemaga wivu wa nja! Amesema vizuri sana kwamba graduation hufanyika mara mbili taking the total number of graduants the whole to ROUGHLY 17k. Ni wapi amesema 20k?
 
Ok Sawa, Kindly respond to the next question.
 
The Magnificent, University of Dodoma

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…