East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

Hovyo kabisa.. Unategemea wazungu wakulilinde.... What if wakiamua kuondoka
Hakuna mzungu anaemlinda muafrika, marekani inaanzisha military bases ili kuweza kutafuta masoko na kuuza silaha zake kirahisi, Kenya na Tz zikipigana Mmarekani atakaa karibu na kumshawishi mkenya silaha za kununua kutoka kwake, atauza technology na mengine mengi.
 
Soma historia..wakati Moja idi amin alitaka kutumia hayo majet y Russia kubomb NRB..Israel n USA wakarespond ilibidi a acheze chini
Hapa unaleta maana ipi? Kwahiyo mnategemea USA ataingilia kati kama mtataka kupigwa?
 
Read BTW the lines.. US hawaezi Kubali nchi zilizo Jaa maskini kupigana n either kuintervene ama sanctions ambazo zitatuhemesha
Nothing btw youe lines. Nchi yenye njaa labda ni kenya pekee.
 
Correction annael. Bado tz hatuna MIG - 29
Bado tunatumia Mig- 21. Na 2008 zilifanyiwa upgrade na china zikawa F- 7. Uganda tu ndio wana Mig - 30.
And interms of interceptor Mig - 29 si bora kuliko F- 16, Raphale.

F-16 Zili undergo upgrade BLOCK B, Block C, Block D na sasa BLOCK F.
F-16F. Ni more advanced kuliko hata F-16 yakwanza.
Hizi hata israel wanazitumia mpaka leo kwenye vita zao.

Rafale F1 una i undergrade. Hii ni zaid ya interceptor , designed as multirole fighters.
Best kuliko hata F-16, na katika mazoezi ktk hali fulan iliizidi F- 22. Ni highly manuverable sababa ya canal delta wing configurations.
 
Hatuna uwezo wa kununua chinese J-20 sababu haziuzwi. China wenyewe hawaziuzi.

Su-35 maybe , ila tatizo gharama za uendeshaji. Ndege hizi hazigawiwi kama pipi.

Mpaka sasa ni nchi tatu zenye su -35. Indonesia , china na urusi wenyewe. Curently india order bado haijakamilika.
 
Asante kwa maelezo yako.
Mimi nimeleta taarifa na nikaweka link kabisa labda hukuangalia link niliyoiweka.
Hebu fuatilia kwenye hiyo link utaelewa ninamaanisha nini. Vitu vingine huwa haviwekwi wazi moja kwa moja.
Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
 
Mig - 29 si superior to Su - 30. Halafu kaka tz tuna mig-21. Si 29.
Wakenya waliwezinwa sifa halaf hakuna kitu yani ni mabongolala unatumiaje f5 nyakati hizi.. Hyo ndege ata manati inaitungua.. But naomba kufaham Why Mrusi anatumia Su 30 kule Syria.. Hatumii Mig 29 coz naona kwa maelezo hako Mig ni superior to Su_30
 
Na mimi nakuelekeza tu uende wikipedia website zenye taarifa sahihi. Japokuwa lugha ni ya kiingereza lakin utajua vingi.
 
Ukisoma kwa makini maelezo yangu utaelewa nilikuwa ninamaanisha nini.
Su-35 hiyo inakuwa kwaajili ya kuangamiza. Lakini likija suala la interception Mikoyan zinafaa.
Hapo nilikuwa ninaongelea ikiwa kenya wataweza kufanya upgrade ya Air force yao na kupata F-22 basi sisi tutaenda kwenye Mig-35 au J-20.

Kwanini kwa upande wa A-100 MRL imewezekana? Maana ni nchi tatu tu zinazomilk hizi silaha (China, Pakistan na Tanzania)
 
Na mimi nakuelekeza tu uende wikipedia website zenye taarifa sahihi. Japokuwa lugha ni ya kiingereza lakin utajua vingi.
Wewe maana ni waajabu sana. Mimi nakuletea taarifa kutoka website ya TPDF halafu wewe unaniambia niende wikipedia!?
Ninaweza kwenda wikipedia na kubadilisha sasa hivi kisha utashangaa.
Hebu sasa check hii link: Tanzania Air Force Command - Wikipedia
 
Hakuna anaejua. Ila ujue F-22 na F-35 haziuzwi na hakuna export version. Only huwa zinatolewa kwa washirika wamerakani tena kwa idhini ya bunge la congress na white house ndio ziende. Uingereza na israeli tu ndio wamepata, na tena F-35 tu. F- 22 haijauzwa kwa nxhi yoyote ile.

Unaposemea upgrade jua ni gharama. Currently nchi zetu hizi hazina uwezo wa kuoperate stealth. Ni very expensive 10 times kuliko hata ndege tulizonazo.
That why hata russia walifunga project ya T-50 moja ya chanzo ni gharama kubwa kupita kiasi.

To me ni bado sana sana, na mpaka nchi husika waruhusu. Na itachukua muda sana

Nikwambie hiyo picha ya hiyo ndege. Ina logo ya indian airforce ambao bado anatumia Mig-29. Hiyo si logo ya airforce ya jwtz.

So kuwepo na oicha haimaanishi tz wanazo. Otherwise state inge confirm maana si jambo la kujificha.
Wewe maana ni waajabu sana. Mimi nakuletea taarifa kutoka website ya TPDF halafu wewe unaniambia niende wikipedia!?
Ninaweza kwenda wikipedia na kubadilisha sasa hivi kisha utashangaa.
Hebu sasa check hii link: Tanzania Air Force Command - Wikipedia
 
Na mimi nakuelekeza tu uende wikipedia website zenye taarifa sahihi. Japokuwa lugha ni ya kiingereza lakin utajua vingi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wikipedia huwa sio source yakutegemea.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikwambie hiyo picha ya hiyo ndege. Ina logo ya indian airforce ambao bado anatumia Mig-29. Hiyo si logo ya airforce ya jwtz.

So kuwepo na oicha haimaanishi tz wanazo. Otherwise state inge confirm maana si jambo la kujificha.
India ndio walioupgrade hizo mig-29 iliziweze kufit kwenye under license. Sasa nikuulize TPDF ni waongo kuweka hiyo picha?
 
India ndio walioupgrade hizo mig-29 iliziweze kufit kwenye under license. Sasa nikuulize TPDF ni waongo kuweka hiyo picha?
Huyu jamaa umesha mmaliza na Wikipedia yake??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ North Korea tumewahi watumia pia ku upgrade messel zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…