Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Hello wana East.
Leo nakuja na ulinzi wa anga katika nchi za East Africa hususani nchi zinazotumia Ndege vita generation za kutoka Russia.
Kuna makampuni haya mawili ya Russia ambayo yanatengeneza ndege.
UTANGULIZI
Baada ya USSR kuvunjika, utengenezaji na uuzaji wa slaha kutoka katika makampuni ya ndege nchini Russia uli[ungua kwa kasi. Ndipo 20 February 2006 raisi wa Russia Vladimir Putin alisaini Presidential Decree No. 140 kwamba Ilyushin, Irkut, Mikoyan, Sukhoi, Tupolev na Yakovlev kwamba yatakuwa makampuni ya United Aircraft Corporation (joint-stock company) ili kuwezesha uzalishaji kuongezeka.
Bila kupoteza muda kabisa tunakuja hapa EAC. Utagundua kwamba Uganda wamenunu ndege vita kutoka Sukhoi ambayo inakwenda kwa jina Su-30. Huku kwa upande mwingine Tanzania ikiendelea na ndege kutoka Mikoyan. Kenya yenyewe imejitenga kabisa katika hili suala yenyewe ikitumia ndege vita kutoka USA(Steal Technology). Tanzania imekuwa ikitumia series mbalimbali za Mikoyan. Kulingana na website ya TPDF inaonesha kwamba Kwa sasa Tanzania inatumia Ndege vita aina ya Mig-29.
Mig-29 inayotumiaka Tanzania ipo upgrated kuweza kufiti 4.5 Generation of Fighter Jets.
Tembelea hapa: Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
Mig-29
Su-30
Tofauti ya Sukhoi Generation na Mikoyan generation
Sukhoi zimetengenezwa kwa ajili ya long range fighting lakini Mikoyan zimetengenezwa kwaajili ya short range fighting. Kwa upange wa ndege za USA hizi ndege mbili unaweza ukafananisha kidogo na F-15 and F-16. Japo Su-30 na Mig-29 zipo na uwezo mkubwa dhidi ya F-15 and F-16.
Kwa upande wa anga utagundua Uganda na Tanzania wananunua silaha kwa kushirikiana. Ikumbukwe ndege hizi Su-30 na Mig-29 zilitengenezwa katika nyakati tofauti, ikumbukwe kuwa mig-29 zilitengenezwa wakati mmoja na Su-27. Lakini kumekuwa na upgrade kutoka Su-27 mpaka Su-30 wakati huo huo jina la mig-29 limebakia pale.
Mpaka kwa sasa Mig-35 na Su-35 zimetengenezwa na lengo ni lile lile tu.
Ikumbukwe kwamba Mikoyan zimetengeneza kwaajili ya kuwa na speed kubwa wakati Sukhoi zimetengenezwa kwaajili ya kwenda mbali. Wataalamu wa mambo ya kivita wanasema Mikoyan zinafaa sana kwaajili ya interception kutokana na speed zake kuwa kubwa. Wakati Sukhoi zenyewe zimetengenezwa kwa lengo la air superior.
Kama tunataka fast interceptor Mig-29 ni bora zaidi inazizidi F-15/16/18, Su-27/30/35, Rafale, Eurofighter etc. Inazidiwa kidogo na F-22.
Tofauti ya Su-30 na Mig-29 ni kwamba Su-30 inaweza ikaonekana kiurahisi kwenye radar kutokana na umbo lake kuwa kubwa na kwamba inabeba siraha nzito nzito. Huku Mig-29 ni vigumu kuiona kwenye radar na kwamba speed yake ni kubwa.
Conclusion
Kama itatokea vita kati ya Uganda na Kenya. Kenya itapigwa hand down kutokana na ubora wa fighter jets za Uganda.
Kama itatokea Vita Kati ya Tanzania na Kenya. Kenya itapigwa hand down kutokana na ubora wa fighter jets za Tanzania.
Kama itatokea Vita na tayari ilishawahi kutokea kati ya Tanzania na Uganda kwa sasa. Uganda hawezi kutumia ndege yake Su-30 kutokana na kwamba itaangushwa na SAM zilizopo TZ. Vita ikitokea kati ya Tanzania na Uganda Fighter Jets zilizopo zitakuwa siyo primary. Hata hivyo wanajeshi wa Uganda wote wamepata mafunzo toka TZ. Kwahiyo TZ itashinda Hand down.
Mwisho kabisa: Strategies za kila nchi zinatofautiana. Kwa upande wa Kenya tunaona kuwa wanatumia pesa nyingi sana kununua zana ambazo hazina uwezo kwenye medani. Kenya inatumia F-5 ambazo ni second generation. Hata kama Kenya itatumia F-15 au F-16 bado katika haitaweza kufua dafu.
Ushauri kama kenya inataka kweli kuimaridha Air base wanatakiwa wanunue F-22. Na ikitokea hivyo basi nchi jirani kama Uganda na Tanzania watanunua Su-35 na J-20. Upande wa strategy kenya imezidiwa kidogo.
Karibuni sasa tujadili kwa undani zaidi.