Hahahahaha, tangu 2012 hadi Leo hazijafika?, mbona hatuzioni zikifanya kazi huko Somalia badala yake mnapeleka vile vipopo bawa ambavyo vinaweza kutunguliwa hata kwa manati?. Hata katika list ya silaha za KDF hizi hazipo, huu ni muendelezo wa kusema mlima Kilimanjaro upo Kenya.
Niwaulize ninyi nyang'au, washirika wenu katika ulinzi ni nchi za magharibi, vipi mnaanza kujisogeza na kuegemea nchi za mashariki?, USA haiwezi kukubali Kenya kwenda kununua silaha Russia, ona jinsi USA inavyoitishia India na Uturuki kwa sababu tu wanataka kununua S-400 toka Russia, ninahisi hiyo ndio sababu kubwa kwa Kenya kutoendelea kununua hizi helicopters.