East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

Acha kudanganya F-5 mlizonazo ni zile zile za zamani, tena zimechakaa sana kiasi kwamba gharama za kuziservice imekua kubwa sana, wabunge wenu wanapiga kelele kuomba zinunuliwe ndege mpya lakini serikali yenu imesema haina pesa badala take inataka kununua used F-16 kutoka Jordan, lete ushahidi kama zilifanyiwa marekebisho.

Kenya Hanna attack helcopters za kisasa hata moja, attack helicopters ndogo sana tena za kizamani sana, tena hazizidi 10, helicopters nzuri mlizonazo ni for transportation, Tafadhali taja attack helicopters za kisasa mlizonazo kama kweli unajua unalozungumza.
F16 have been in operation for two years now our F 5s have undergone various upgrades by the help of the Israeli s and even bought some of their upgraded versions
 
A war is all about tactics not weapons or manpower. So, the country with a better tactical assault team is always fierce in the war zone. Weapons are meant to instill fear onto enemy's mind and then tactics comes along. That is why Israel won 6 day war. And that is why US failed in Afghanistan. If you have a well trained army, especially on war tactical aspect then weapons will be used even less.
 
Ubaya wako unajiona mjuaji sana lakini hujui chochote. I have first hand information about kdf.since 2011 less than 400 soldiers died in the line of duty.
El adde was the only instance kdf lost a battle and the number of casualties is btwn 100 to 200 and this because the commander at the camp ignored intelligence. This happens even to more advanced militaries
Kulbiyo they repelled the attack though they suffered high number of casualties at around 50. at kulbiyo alshabaab lost over 1000 fighters in one battle.
The first town kdf took from alshabaab was Tabda hundreds of alshabaab died and only 1soldier was killed.
The second major Town was Belles kokani 20km from Tabda here British trained snipers provided long range support for the infantry.
Jillib was another major alshabaab strong hold which was taken by kdf
Dholbey,Ra'skamboni,Afmadow,Faffadam,Hayo,Arhmadow,Horsi,Hayo and Kismayu are just but a few among many that kdf liberated and none of them has ever been taken back.Normalcy returned to those towns paving way for NGOs and relief aid to reach the civilians
Ethiopia previously lost towns to alshabaab have suffered more casualties.
Kdf has demolarised alshabaab completely and even managed to create wars and inside leadership wrangles within alshabaab .
The isolated attacks happening in Kenya are carried out by alshabaabs sympathersiers in the NfD district due to geopolitical issues.
The frequency of the attacks have greatly reduced in the last 3yrs as a result ofthe weakened alshabaab.
Acha blah..blaah.. blaah, lete ushahidi wa haya yote unayosema, kila mtu anaweza kupiga domo tupu kama wewe inavyopayuka, kama serikali yenu imekataa kutoa idadi kamili ya waliokufa katika zile kambi mbili, hiyo idadi ya kati ya 100 na 200 umeitoa wapi?. Kwamba wanajeshi 1000 Alshabab waliuliwa, unamdanganya nani?, haijawahi kutokea vita yoyote hapa duniani baada ya vita kuu ya pili ya dunia ambapo wanajeshi 1000 wameuliwa katika shambulio moja. Tafadhali lete ushahidi wapi imetoa hizi data, otherwise ni muendelezo wa tabia yenu kujisifia kwa kupika data.
 
You can't compare Congo and Somalia .Alshabab even operate ZPUs and anti aircraft guns. The Somalia operation succeeded! How has the West performed in Iraq and Afghanistan? Do you have any idea of their REAL CASUALTIES?.. most kdf soldiers have died through Roadside IEDS.which even the US are still struggling with. IEDS have caused over 66% of all coalition forces casualties in the Afghanistan war.
Uganda was bogged down in a six or seven block radius of Mogadishu for four years and only sortied out in late 2011 after Alshabaab numbers had been substantially reduced by the kdf in Southern Somalia.Mogadishu based fighters moved south to reinforce losing positions reducing pressure on the UPDF. The Afmadhow battle alone killed over 200 AS fighters. By the time Kismayu was captured a total of 3000 were dead. Mind you Ethiopia temporarily occupied Mogadishu but withdrew and the US,UN Western experience there early 90s was painful. Also Ug got a lot of help from US PMCs during their occupation but still couldn't make any headway. Apart from El Adde disaster i don't think we have ever suffered any serious losses.

Kazi yenu imeisha Somali?,
Does Somali have functioning Government?
Kwa nini mliingia vitani as Kenya na baadae mkambilia kwenye Afican forces?

Serikali yenu inawatajia gharama mlizotumia kwenye hiyo vita?
 
Hakuna anaejua. Ila ujue F-22 na F-35 haziuzwi na hakuna export version. Only huwa zinatolewa kwa washirika wamerakani tena kwa idhini ya bunge la congress na white house ndio ziende. Uingereza na israeli tu ndio wamepata, na tena F-35 tu. F- 22 haijauzwa kwa nxhi yoyote ile.

Unaposemea upgrade jua ni gharama. Currently nchi zetu hizi hazina uwezo wa kuoperate stealth. Ni very expensive 10 times kuliko hata ndege tulizonazo.
That why hata russia walifunga project ya T-50 moja ya chanzo ni gharama kubwa kupita kiasi.

To me ni bado sana sana, na mpaka nchi husika waruhusu. Na itachukua muda sana
Mkuu F35 mbona kama zipo Norway hebu fuatilia
 
African Military Blog | Promoting African Defence and Security

kilaza alieanzisha uzi huu ingia hapo kisha tuzungumze
Kijana acha mbwembwe. Hako ka blog kamesajiliwa mwaka jana tu. Update yake imefanyika last month.
Ukitaka kuleta vya kuleta tutaweka information zaidi

1539793355735.png
 
Acha blah..blaah.. blaah, lete ushahidi wa haya yote unayosema, kila mtu anaweza kupiga domo tupu kama wewe inavyopayuka, kama serikali yenu imekataa kutoa idadi kamili ya waliokufa katika zile kambi mbili, hiyo idadi ya kati ya 100 na 200 umeitoa wapi?. Kwamba wanajeshi 1000 Alshabab waliuliwa, unamdanganya nani?, haijawahi kutokea vita yoyote hapa duniani baada ya vita kuu ya pili ya dunia ambapo wanajeshi 1000 wameuliwa katika shambulio moja. Tafadhali lete ushahidi wapi imetoa hizi data, otherwise ni muendelezo wa tabia yenu kujisifia kwa kupika data.
My content can't be found anywhere in the internet am not an internet troll to give you website links to prove shit.furthermore everybody can operate websites nowadays.
Even alshabaab have their propaganda websites.
Am giving you facts on the ground Do your research and prove me wrong !
 
Facts based on your ego, we know you nyang'au very well, big heads full of shit, too proud but nothing to show on the ground, cooking information to satisfy your failed state. KDF is very weakest army in east Africa
 
F16 have been in operation for two years now our F 5s have undergone various upgrades by the help of the Israeli s and even bought some of their upgraded versions
It is only Egypt army in Africa which have F -16, you wanted to by used from Jordan by deal went wrong because you went bankrupt, show evidence if your old F-5 underwent upgrading, you know nothing even about your own country.
 
Kijana acha mbwembwe. Hako ka blog kamesajiliwa mwaka jana tu. Update yake imefanyika last month.
Ukitaka kuleta vya kuleta tutaweka information zaidi

View attachment 901247
kuwa mtanzagiza ni full majanga! hivi date ya blog kuanzishwa ina discredit information oliopo kivipi?? mbona wewe huu uzi umeutoa mkunduni mwako jumapili tu?
 
Facts based on your ego, we know you nyang'au very well, big heads full of shit, too proud but nothing to show on the ground, cooking information to satisfy your failed state. KDF is very weakest army in east Africa
Tanzania army are used for kazi ya mkono hahahahahaha aka modern slaves... no fighting experience hahahahahaha
 
Hahahahaha, tangu 2012 hadi Leo hazijafika?, mbona hatuzioni zikifanya kazi huko Somalia badala yake mnapeleka vile vipopo bawa ambavyo vinaweza kutunguliwa hata kwa manati?. Hata katika list ya silaha za KDF hizi hazipo, huu ni muendelezo wa kusema mlima Kilimanjaro upo Kenya.

Niwaulize ninyi nyang'au, washirika wenu katika ulinzi ni nchi za magharibi, vipi mnaanza kujisogeza na kuegemea nchi za mashariki?, USA haiwezi kukubali Kenya kwenda kununua silaha Russia, ona jinsi USA inavyoitishia India na Uturuki kwa sababu tu wanataka kununua S-400 toka Russia, ninahisi hiyo ndio sababu kubwa kwa Kenya kutoendelea kununua hizi helicopters.
 
evidence
 
rudi ukachimbe mawe na jeshi lenu.. wacha tuendele kuwa the strongest no wonder Americans only deal with Kenya and Ethiopia.. and not jeshi laku chimba mitaro kama nyini
 
Back
Top Bottom