Easter Greetings To All Chit Chatters From 6-month-old Twins:Triphona and Triphonia

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
We thank God for His Graces showered upon us eversince He rewarded us with twins in the second week of October 2012.
The twins are now six months old! healthy and bouncing. Triphonia though, is the most stubborn, she cries the roof of our house off, suckles like mad,rolls on the bed and falls numerous times (we have doctored the bed though, no more falls).Triphona on the other hand is quiet, ponderous, and likes to be alone.
Baada ya shukrani hizo kwa Mwenyezi Mungu tunachukua nafasi hii kumshukuru rafiki yetu mpendwa, Kaunga kwa kuwa nasi muda mwingi kwa ushauri na matunzo, kwa sababu kama mjuavyo Kaunga ni daktari. Na si hayo tu aliyoyafanya. Hizo T-shirt za I love mum and Dad ni Kaunga aliwanunulia! Asante sana Kaunga kwa kuwa dada wa ukweli mwenye upendo. Mapacha wenyewe ndo hawa hapa chini: wa kushoto mwenye umbo dogo ni Triphona mtulivu na mwenzake ndo Triphonia mtukutu.

Tunaomba sala zenu mapacha waishi maisha marefu

hygeia & erotica

cc Baba V

TRIPHONA ANDTRIPHONIA 2.jpg
 
Last edited by a moderator:
Happy half year twins Triphona & Triphonia! LEKA DUTIGITE!! Kigoma tutakuja one day!

Happy Easter HYGEIA.
We love you too!
 
Last edited by a moderator:
We thank God for His Graces showered upon us eversince He rewarded us with twins in the second week of October 2012.
The twins are now six months old! healthy and bouncing. Triphonia though, is the most stubborn, she cries the roof of our house off, suckles like mad,rolls on the bed and falls numerous times (we have doctored the bed though, no more falls).Triphona on the other hand is quiet, ponderous, and likes to be alone.
Baada ya shukrani hizo kwa Mwenyezi Mungu tunachukua nafasi hii kumshukuru rafiki yetu mpendwa, Kaunga kwa kuwa nasi muda mwingi kwa ushauri na matunzo, kwa sababu kama mjuavyo Kaunga ni daktari. Na si hayo tu aliyoyafanya. Hizo T-shirt za I love mum and Dad ni Kaunga aliwanunulia! Asante sana Kaunga kwa kuwa dada wa ukweli mwenye upendo. Mapacha wenyewe ndo hawa hapa chini: wa kushoto mwenye umbo dogo ni Triphona mtulivu na mwenzake ndo Triphonia mtukutu.

Tunaomba sala zenu mapacha waishi maisha marefu

hygeia & erotica

cc Baba V

View attachment 88627

Thank you very much for the warm greetings from our twin babies. Happy Easter to you HYGEIA and Erotica
 
Last edited by a moderator:
HYGEIA na Erotica watoto wenu wazuri sana.
Nimewapenda sana.

Nami ngoja nifanye jitihada na mpenzi wangu Ben Saanane angalau tuweze kupata mtoto.
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu. Si tunaweza kufanya besdei pate jamani? Tuite rehearsal ya besdei yenyewe.
 
Back
Top Bottom