We thank God for His Graces showered upon us eversince He rewarded us with twins in the second week of October 2012.
The twins are now six months old! healthy and bouncing. Triphonia though, is the most stubborn, she cries the roof of our house off, suckles like mad,rolls on the bed and falls numerous times (we have doctored the bed though, no more falls).Triphona on the other hand is quiet, ponderous, and likes to be alone.
Baada ya shukrani hizo kwa Mwenyezi Mungu tunachukua nafasi hii kumshukuru rafiki yetu mpendwa,
Kaunga kwa kuwa nasi muda mwingi kwa ushauri na matunzo, kwa sababu kama mjuavyo Kaunga ni daktari. Na si hayo tu aliyoyafanya. Hizo T-shirt za I love mum and Dad ni Kaunga aliwanunulia! Asante sana Kaunga kwa kuwa dada wa ukweli mwenye upendo. Mapacha wenyewe ndo hawa hapa chini: wa kushoto mwenye umbo dogo ni Triphona mtulivu na mwenzake ndo Triphonia mtukutu.
Tunaomba sala zenu mapacha waishi maisha marefu
hygeia & erotica
cc
Baba V
View attachment 88627